LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Kusema ukweli kile kilikuaa ni kipindi kigumu sana kwangu na kwa kaka na Dada zangu, yaani ilikuwa kama ni panya na paka.
Nilishuhudia kwa macho yangu mama zetu wakilala kwa Balozi na Mwenyekiti wa Mtaa savabu ya kipigo.
Yaani dada zetu wakubwa na kaka zetu wote walitoroka mara kwa mara nyumbani sababu ya kushambuliwa na baba.
Siku ya mwisho kupigaa na yeye alinishambulia kwa ngumi za uso na mateke.
Ila sasa amepoa kama maji umebaki tu mdomo, pia ananikubali sana, nampenda pia maana ametupigania sana sisi kama watoto wake.
Watoto tuko 27 kwa mama 4 hivo ukali pia ulichangja kutuweka mstarini, japo yeye alipitiliza kwani akitukuta tunapiga stories jioni, akifika tu, wote tunanyanyuka na kwenda kulala.
Akiwa anatoa adhabu hatakiwi mama kuongea maana ataonekana anatetea mtoto wake hivo ataanza kuadhibiwa na yeye kwa kipigo.
Tujifunze, kila kitu ni kiasi ikizidi inakuwa sio.