Na Kuna mwingine ni mfanyakazi wa ndani.Kuna jamaa ni CPA analipwa 9m
Boss nisaidie laki mbili nina shida sana mpaka nahisi komwe langu linafuka moshi.Ukishalipwa pesa ya madafu tu utemi wako unaishia Vingunguti.
Kuna siku nilikuja likizo Bongo, nikabadili dola nyingi sana kwa matumizi yangu, mpaka likizo ilipoisha nikawa sijamaliza zile shilingi za Tanzania kutumia. Nikajisahau nikapanda nazo ndege kurudi New York City.
Nikasema ngoja nitafute Bureau de Change ya New York City inayoweza kununua hizi hela za Tanzania na kunipa USD.
Nilizunguka sana watu wanaziangalia pesa za bongo kama makaratasi tu, hawazitambui.
Na uhaba huu wa US dollar unaweza kuwa TZS ukakosa USD. Yani hela ubabe wake unaishia kwenye mipaka ya nchi sanasana utatesa nchi jirani. Ukiingia viwanja vya kimataifa proper hela ya kibongo inakuwa kama stamp tu.
Ulikuwa unatafuta nn mpaka ukaona slip yake?Kuna mtu niliona salary slip yake mshahara 1.2M take home 500k na ushee
Ulinipa mwenyewe😂Ulikuwa unatafuta nn mpaka ukaona slip yake?
Acha kukimbia swali 😅😅😅, nasubiria jibu lisilokuwa na shakaUlinipa mwenyewe😂
Nyinyi endeleeni na maombiNa sisi ambao tumesoma na hatujapata ajira hata ya mshahara wa laki mbili tufanyeje?
NIshakutumia file zimaa😂Acha kukimbia swali 😅😅😅, nasubiria jibu lisilokuwa na shaka
Yeye watu wanalipwa mpaka 30m cio mchezo pale.Hahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.
Mkuu kwa TCC ni mishahara ya watz iyo ujakusa foreigner.kha... hawa mnaowataja ni watanzania au foreigner maana ukoo wangu jumlisha na mtaa au mitaa niliyokaa hadi umri huu sijawahi kusikia jirani au ndugu analamba mamilioni kama hayo zaidi ya wabunge na wanasiasa..
Umesoma koz gan mkuu?Napataje mchongo wa kuingia TCC?
Education huyoUmesoma koz gan mkuu?
Usitamani mali ya jirani yako....pambane utafute yakoHakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Ndiyo Ukweli Nasema Uogo Ndugu ZanguHakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Kila jambo na wakati wake, endelea kutafuta utapata tu.Na sisi ambao tumesoma na hatujapata ajira hata ya mshahara wa laki mbili tufanyeje?
Uko sahihi kabisa mkuu KirangaKulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.
Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.
Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.
Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuanzia sasa sichomi fegi Tena,ngoja nivute ya mwisho tu.Hahahha Kuna watu wako Tanzania Cigarettes Company (TCC) hapo hatari tupu.