Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

kwenye maisha you have to enjoy kwwa upande wako huwezi sema usi enjoy road trip yako in crown Athlete kisa unapishana na Benz au gwagon


kuna watu hawalipwi na mtu wana wekeza tu kwa mwenzi mwenzioo hakosi mil 200 na hana miaka mingi ni kijana tu sasa ukiiona uyo si unaweza kata tama
 
Ukitaka ku mind watu kimashinano, Jeff Bezos ana superyacht la dola milioni 500 za Kimarekani limetulia Miami.

Yani dude kubwa mpaka kutia nanga sehemu ya ma supeyacht nyingine imeshindikana, imebidi walipeleke kwenye oil tankers.

Kama mbwai mbwai, ukitaka mashindano shindana na hao kina Bezos, Zuckerberg na Musk tujue unataka kushindanankweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…