Aisee jiwe kumi kasoro chenji kidogo. Balaaa! Dah kila wikend unapiga threesome tuu 🤣🤣🤣🤣Ndugu yangu analipwa M 9.5 take home hapo+bima kibao
Mapori yapo mengi kamba zipo nyingi kachukue ujinyonge. Haiwezekani mshahara wa laki mbili ukaishi Dar labda kama upo MbwindeNa sisi ambao tumesoma na hatujapata ajira hata ya mshahara wa laki mbili tufanyeje?
Ausiokikubwa uhai
Kuna Jamaa pia naona kaitwa kwenye interview mara tatu, kafanya oral yakwanza walikua kama Saba akapenya, akaenda oral ya pili akakuta Kuna wengine 2 jumla wakawa 3 lkn hao wawili kwenye lile group lakwanza hawakuwemo, Sasa napo yapili kapenya, Leo kapiga interview ya 3. Mshahara ni mill 17 kwenye international company. Mungu amsimamie aisee.Yeah kuna jamaa mmoja private company alikuwa production engineer ilikuwa anavuta 10 million per month.
Nimewahi kupiga part time pale TCC , kwanza watu wa pale wanafanya kazi kama wapo ulaya dadek,.Hatari sana mkuu.
17,000,000/- sio mchezoKuna Jamaa pia naona kaitwa kwenye interview mara tatu, kafanya oral yakwanza walikua kama Saba akapenya, akaenda oral ya pili akakuta Kuna wengine 2 jumla wakawa 3 lkn hao wawili kwenye lile group lakwanza hawakuwemo, Sasa napo yapili kapenya, Leo kapiga interview ya 3. Mshahara ni mill 17 kwenye international company. Mungu amsimamie aisee.
Mkuu mtu analipwa milioni 10+ awe na matumizi ya ovyo kiasi gani mpaka ashindwe kusave akiba kama ya anaelipwa milioni 1?Kulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.
Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.
Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.
Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapo pia wanaopokea mpaka 90M per monthHakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Kwani milioni 10 unaiona hela nyingi sana?Mkuu mtu analipwa milioni 10+ awe na matumizi ya ovyo kiasi gani mpaka ashindwe kusave akiba kama ya anaelipwa milioni 1?
Lifestyle creep. Unafikiri mtu aliyekuwa analipwa Tshs. 1M akianza kulipwa Tshs. 10M ataendelea kuishi maisha yale yale ya awali?Mkuu mtu analipwa milioni 10+ awe na matumizi ya ovyo kiasi gani mpaka ashindwe kusave akiba kama ya anaelipwa milioni 1?
Kaka acha tu kunawatu wanaishi Nasie wengine tunaishilizia, lakini pia sio Poa interview awamu tatu sio mchezo ukitusua kweli ulistahili.17,000,000/- sio mchezo
Yeah hata hyo ni international company mkuu wana hela sio mchezo training za nje kibao kila mwisho wa mwaka.Kuna Jamaa pia naona kaitwa kwenye interview mara tatu, kafanya oral yakwanza walikua kama Saba akapenya, akaenda oral ya pili akakuta Kuna wengine 2 jumla wakawa 3 lkn hao wawili kwenye lile group lakwanza hawakuwemo, Sasa napo yapili kapenya, Leo kapiga interview ya 3. Mshahara ni mill 17 kwenye international company. Mungu amsimamie aisee.
Hayo mambo yasikie tu..kuna jamaa yuko private company flani kama sales Director, mshahara wake ni around 9m, ila ikipita mwezi hajanipiga kizinga cha walau laki moja basi ni bahati sana...mpaka mtu unakua unamhisi jamaa labda mshirikina.Mkuu mtu analipwa milioni 10+ awe na matumizi ya ovyo kiasi gani mpaka ashindwe kusave akiba kama ya anaelipwa milioni 1?
Huu ni mshahara au posho?Kuna mtu niliona salary slip yake mshahara 1.2M take home 500k na ushee
Private sector wako wanaolipwa Hadi milioni 120.kwa mweziHakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Private sector wako wanaolipwa Hadi milioni 120.kwa mwezi
Ma boss wakubwa wa makampuni ya kimataifa yaliyoko TanzaniaMfano wapi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]