Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

Hayo mambo yasikie tu..kuna jamaa yuko private company flani kama sales Director, mshahara wake ni around 9m, ila ikipita mwezi hajanipiga kizinga cha walau laki moja basi ni bahati sana...mpaka mtu unakua unamhisi jamaa labda mshirikina.
Sahihi na rafik zangu wako vyombo vya ulinz na usalam ... mwisho wa mwez vizinga huwa vingi sana
 
Hivi kwenye government kuna mtu mwenye bachelor anaweza kuanza na 3m?
Wapo Hadi milioni kibao hasa ukiajiriwa miradi inayofadhiliwa na wafadhili yaani donor funded projects pesa ndefu kuliko hiyo ila kazi zake nyingi za kufa mtu si unawajua wazungu Tena kazi zao hawahitaji mtoto wa mama au ambaye kichwa chake kimejaa maji pia marubani ndege za serikali wenye digrii ni zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…