kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 34
Anafanya kazi company gani ?professional yake ni nn?Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafanya kazi company gani ?professional yake ni nn?Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Ni mshahara! Ila hiyo ofisi huwa wanatoa bonus piaHuu ni mshahara au posho?
Unataka aanze Tena kutaja kampuni mkuu, labda professional yake lakini akitaja kampuni sio fair.Anafanya kazi company gani ?professional yake ni nn?
Mpaka nimecheka, kwamaba itakua posho hio nasio mshahara. Mkuu kunawatu wanalipwa mpaka mishahara ya Laki 3 na Wana bachelor degree.Huu ni mshahara au posho?
Sahihi na rafik zangu wako vyombo vya ulinz na usalam ... mwisho wa mwez vizinga huwa vingi sanaHayo mambo yasikie tu..kuna jamaa yuko private company flani kama sales Director, mshahara wake ni around 9m, ila ikipita mwezi hajanipiga kizinga cha walau laki moja basi ni bahati sana...mpaka mtu unakua unamhisi jamaa labda mshirikina.
Safi saana
Unaweza kabisa kuanza na mshahara huoHivi kwenye government kuna mtu mwenye bachelor anaweza kuanza na 3m?
Shirika gani hilo?Unaweza kabisa kuanza na mshahara huo
Unaweza kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa halmashauriShirika gani hilo?
Sina kadinya CCMUnaweza kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa halmashauri
Maeneo mengi ni mwendo wa kadi tu kama utaelewa ninacho maanisha 😃Sina kadinya CCM
Wapo Hadi milioni kibao hasa ukiajiriwa miradi inayofadhiliwa na wafadhili yaani donor funded projects pesa ndefu kuliko hiyo ila kazi zake nyingi za kufa mtu si unawajua wazungu Tena kazi zao hawahitaji mtoto wa mama au ambaye kichwa chake kimejaa maji pia marubani ndege za serikali wenye digrii ni zaidi ya hapoHivi kwenye government kuna mtu mwenye bachelor anaweza kuanza na 3m?
Hivi kwenye government kuna mtu mwenye bachelor anaweza kuanza na 3m?
Duh, 2.8 taasisi zipi hizo mkuuKuna taasisi nazifahamu wanaanzia 2.8 M entry level officers. Hizo za 3.0 M nadhani WCF, TPDC, PURA na TCRA.
Biashara zinalipaKuna wahindi wanajilipa mamilioni huko viwandani.
Hakika saving ni akili kumkichwaIngawa hakuna asietaka mshahara mkubwa, suala la saving linabaki Kwa mtu binafsi.