mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Mimi kuna mtu niliambiwa anakunja 90M/mo, zamani hizo forever imepamba moto, alikua ni wale uplines wa mwanzo tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefungua hii thread sio kwa lengo la kusoma bali ni kwa lengo la kuja kuweka vi emoji vya kucheka 😆😆Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Tuseme Mo Dewj kwa mwezi anaongiza M ngapi?Wewe misso misondo,umepigaje hapo? Ebu tupe details kidogo inakuwaje hapo investment inayompa mtu 200 m kwa mwezi
msikate tamaaNa sisi ambao tumesoma na hatujapata ajira hata ya mshahara wa laki mbili tufanyeje?
Usiogope mtu analipwa kiasi gani mshara ila vile anaweza tumia pesa imtumikie 🤔🤐Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Eti, mtu asifurahie anachopata, kwa sababu tu, kuna wengine wanamzidi.Kwahiyo akikumbuka asifurahie? Watu maskini bwana, hapo unaumia kweli kweli mtu kulipwa milioni tano
Kuna watu wana invest Ideas tu,sio pesa ndugu.Na kukunja hizo 200Mils kwa mwezi ni kawaida tu.Wewe misso misondo,umepigaje hapo? Ebu tupe details kidogo inakuwaje hapo investment inayompa mtu 200 m kwa mwezi
Well saidKulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.
Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.
Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.
Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie 🤣🤣🤣
Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Anafanya kazi kama maintanance engineer, kwenye kampuni Moja ya Petrol na Gas kigamboni.Jamaa yako ni naniii
Mtu mwenye mshahara mkubwa ana advantage kubwa yakufanya pesa imtumikie.Usiogope mtu analipwa kiasi gani mshara ila vile anaweza tumia pesa imtumikie 🤔🤐
Sawa mkuu.Nimefungua hii thread sio kwa lengo la kusoma bali ni kwa lengo la kuja kuweka vi emoji vya kucheka 😆😆
Na kusema kwamba TUJIFUNZE KUACHA UONGO
Sawa mkuu nimeacha.Acha uongo kama ww bado kabisa sasa iweje awe jamaa yako? Umetuonaje hapa jf
Kutamani nakua inspired sio kitu kibaya.Usitamani mali ya jirani yako....pambane utafute yako
Tuhamie CUBA, kwenye UJAMAA.UBEPARI NI UNYAMA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliiiKulipwa hela nyingi ni kitu kimoja, halafu kuweza kuzitunza na kuzizungusha hizo pesa ni kitu kingine.
Watu wengi wanapolipwa hela nyingi, matumizi yao yanaongezeka pia.
Kwa hivyo, unaweza kukuta mtu analipwa kidogo halafu ana uwezo wa ku save na ku invest sana, wakati kuna mtu mwingine analipwa zaidi, lakini maisha yake yana matumizi mengi sana ndiyo kwanza analipa madeni, hata ku save hawezi.
Kwa hivyo, mnavyoangalia wanaolipwa zaidi, na hili nalo mkaliangalie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa sio mbahili kabisaCEO wao anaitwa takashi arashi ngoja nimfollow linked in
Jamaa hata mishahara yao ni ya kubahatishaNaskiaga TCC NA BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA ni hatari!