Ishara ya nini?Kipini ni ishara
Kikuku ni ishara
Wanaotoga ulimi ni ishara
Wanaotoga kitovu ni ishara
Wengine wanatoga machoni kwenye ngozi ya kope ni ishara
Wapo ambao wanaotoga hadi k zao pia hio ni ishara
Wanaovaa wanajua wanaashiria nini
Wanaotoga wanajua wanaashiria nini
Hizo ni lugha ya alama/ishara sio kila mtu anajua
Mkuu hizo ni ishara za kikundi sio za tamaduni, kuna kikundi kikiona umevaa hizo ishara kinajua wewe ni mwanakikundi mwenzao wame-take-over hio culture wameiweka kwenye signals, ukiona uulizi mara 3why umchukie mtu na ishara zake? Unavutika unashindwa kujizuia?
Mi nawakubali sana. Huwa warembo sana.SIWAPENDI WANAWAKE WENYE MAVIPINI NAWACHUKIA MNO.
MAJINI CHENZIII.
Siri ya Kipini na Siri ya Kikuku anaijua mvaaji, wewe ishia kuangalia tu kisha pita kushoto waachie wenyewe wavaaji, kikubwa fanya km urembo wa pwani tu ila usichokijua ni zaidi ya uremboShida inakuja kwenye mazoea ya wanaume wengi wa bara na mfumo wao maisha na namna wanawake wake wao walivyo. Ni kweli watu wa bara ni washamba sana hilo halina ubishi,ndo washangae na kipini? 😃😃
Huko pwani ,zanzibar ,mtwara n.k usipomkuta mdada hana kipini basi tambua huyo ni wa kolomije.Yaani umchukie tu mtu kisa kaweka kipini. Kwamba ukimuona na kipini unajisikia kinakuchoma pua yako?
Chuki nyingine zinashangaza
Seeing is believing:Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu wamevaa vipini anaona ni umalaya.
Tuelewane, siyo mtazamo sahihi.
Nasikitika kuja kututangazia ushamba wako hapa. Kwa kukusaidia tu asili ya kutoboa pua au masikio Kwa ajili ya urembo hufanywa na wanawake. Kwahiyo kama Kuna kahaba jirani yako ana kipini ni kwasababu mwanamke,alitoboa pua kama wafanyavyo wanawake wengine katika kutafuta urembo. Huku pwani vipini wanavaa hata watoto wadogo wa kike,huo ukahaba wao wanaufanyia wapi? Au umeamua kutukana tamaduni za watu?Siri ya Kipini na Siri ya Kikuku anaijua mvaaji, wewe ishia kuangalia tu kisha pita kushoto waachie wenyewe wavaaji, kikubwa fanya km urembo wa pwani tu ila usichokijua ni zaidi ya urembo
Mkuu sio ushamba nimekwambia kuna kikundi kimechota hizo tamaduni mnazochukulia ni tamaduni za kawaida na kuzifanya kua km signals zao, wewe kesho vaa kikuku hata mguu mmoja pita mtaani alafu utakuja kutupa mrejesho kilikupata niniNasikitika kuja kututangazia ushamba wako hapa.
Mwanamke kujiremba ni wajibu labda kama huna mume!! Wewe jifabye hardcore uone kama hujakimbiwa.Marehemu baba alimkataza mama kututoboa sikio,
Na alimwambia watatoboa wenyewe wakijitambua,,,sasa kati ya siye watatu mmoja tu katoboa sikio, siye wawili hapana tumesimamia msimamo hakuna kutoboa,
Aisee hivi ngozi ya pua ilivyo ngumu,maumivu yake si [emoji91]?
Imagine kuna wanaotoboa mpaka mule sehemu za siriMarehemu baba alimkataza mama kututoboa sikio,
Na alimwambia watatoboa wenyewe wakijitambua,,,sasa kati ya siye watatu mmoja tu katoboa sikio, siye wawili hapana tumesimamia msimamo hakuna kutoboa,
Aisee hivi ngozi ya pua ilivyo ngumu,maumivu yake si [emoji91]?
Unajidanganya mkuu sio kwamba wewe unachukia Kitimoto basi kila unaemuona anachukia Kitimoto kula wenzio wanagonga plates km zote huku wewe unaona kinyaaHakuna mwanaume anaependa mwanamke gangastar aka ngumu kumeza.
Sasa kwanini haukunyoosha maelezo mapema? Hiyo reaction unayoiona inatokana na lugha yako ya ukakasi uliyoitumia kiasi kwamba kila mtu ameelewaku wa wewe unaona kuwa wavaa vipini ni makahaba. Ndio maana nikakuona ni mshamba kwa kuwaita wanawake wavaa vipini ni makahaba wakati nikienda kijijini kwetu wanawake karibia wote wanavaa vipini na siwapati kirahisi.Mkuu sio ushamba nimekwambia kuna kikundi kimechota hizo tamaduni mnazochukulia ni tamaduni za kawaida na kuzifanya kua km signals zao, wewe kesho vaa kikuku hata mguu mmoja pita mtaani alafu utakuja kutupa mrejesho kilikupata nini
Mimi nilimvua nikatupa choonivaa vikuku kwa mumeo.
Hakuna nilipotaja kahaba nimesema kikundi cha watu wanatumia signals za hizo tamaduni kua km urembo ila kwao ni signal, akikuona na hio signal haulizi mara nyingi anajua wewe ni memberwewe unaona kuwa wavaa vipini ni makahaba.
Kuna watu wanajua kukaza ubongo, walimu wana kazi ngumu sana madarasani, haya basi sawa kwako wewe ni urembo ila usilolijua ni zaidi ya urembo, umefurahi hapo?Mwanamke kuvaa vikuku haimaanishi kuwa unafirwa , huo ni urembo tuliorithi kutoka mashariki ya kati na ya mbali. Wanawake wa kizungu wanafanya hiyo michezo na huwezi kukuta wamevaa vikuku kwa kuwa sio utamaduni wao wa urembo.
Mwanamke jipambe kwa mumeo. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke ambaye yupoyupo tu. Inatakiwa uwe ni kiliwazo kwa mumeo, yale ambayo anayaona mchana kutwa katika mihangaiko yake basi aje ayakute ndani kwake ila akiyakosa jua kuwa atakwenda kuyatafuta nje.
Kwahiyo kipini inatoa ishara gani mkuu nipo kwa ajili ya kujifunza na mimiHakuna nilipotaja kahaba nimesema kikundi cha watu wanatumia signals za hizo tamaduni kua km urembo ila kwao ni signal, akikuona na hio signal haulizi mara nyingi anajua wewe ni member