Kipini puani sio umalaya kwa mwanamke, ni tamaduni

Kipini puani sio umalaya kwa mwanamke, ni tamaduni

Kipini ni ishara
Kikuku ni ishara
Wanaotoga ulimi ni ishara
Wanaotoga kitovu ni ishara
Wengine wanatoga machoni kwenye ngozi ya kope ni ishara
Wapo ambao wanaotoga hadi k zao pia hio ni ishara

Wanaovaa wanajua wanaashiria nini
Wanaotoga wanajua wanaashiria nini

Hizo ni lugha ya alama/ishara sio kila mtu anajua
Ishara ya nini?
Mnavyosema akivaa kikuku ni kwamba anagawa nyuma, ya kwamba asiyevaa hawezi kutoa nyuma?

Inawezekana ni ishara kwa utamaduni wa kwenu, lkn kwa utamaduni wa wengine hawamaanishi hivyo.

Halafu why umchukie mtu na ishara zake? Unavutika unashindwa kujizuia?
 
why umchukie mtu na ishara zake? Unavutika unashindwa kujizuia?
Mkuu hizo ni ishara za kikundi sio za tamaduni, kuna kikundi kikiona umevaa hizo ishara kinajua wewe ni mwanakikundi mwenzao wame-take-over hio culture wameiweka kwenye signals, ukiona uulizi mara 3
 
Huo ni utamaduni wa Wahindi toka kitambo tu,sema utandawazi umefanya mpaka mtu aliyepo huko Manyovu ajue kua kumbe kuna kutoboa Pua.
 
Kipini utamaduni, nadhani tujifunze kuheshimu tamaduni za wengine bila kujali utamaduni huo unatafsiri gani katika jamii nyingine. Ila pamoja na yote mwili wa mwanamke ni pambo na mapambo ni sehemu ya urembo Kwa wanawake karibia wote.

Nadhani Kwa jamii za pwani wanawake wengi wasafi. Wanawake wanajua kuoga na kujiremba kuliko wanawake wengi wa bara.

Shida inakuja kwenye mazoea ya wanaume wengi wa bara na mfumo wao maisha na namna wanawake wake wao walivyo. Ni kweli watu wa bara ni washamba sana hilo halina ubishi,ndo washangae na kipini? 😃😃

Katika jamii yetu kipini ni sehemu ya urembo karibia Kila mwanamke ametoboa pua kuanzia vikongwe mpaka vigoli.

Shida ya watu wa bara wengi wao ni wachafu Sana halafu wanataka jamii yote iishi kama wao,kuchangamana na wanyama muda wote wanawake wenu wanapata wapi huo muda wa kuoga na kupendeza?
 
Shida inakuja kwenye mazoea ya wanaume wengi wa bara na mfumo wao maisha na namna wanawake wake wao walivyo. Ni kweli watu wa bara ni washamba sana hilo halina ubishi,ndo washangae na kipini? 😃😃
Siri ya Kipini na Siri ya Kikuku anaijua mvaaji, wewe ishia kuangalia tu kisha pita kushoto waachie wenyewe wavaaji, kikubwa fanya km urembo wa pwani tu ila usichokijua ni zaidi ya urembo
 
Yaani umchukie tu mtu kisa kaweka kipini. Kwamba ukimuona na kipini unajisikia kinakuchoma pua yako?

Chuki nyingine zinashangaza
Huko pwani ,zanzibar ,mtwara n.k usipomkuta mdada hana kipini basi tambua huyo ni wa kolomije.

Dsm vipo vingi sana
 
Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu wamevaa vipini anaona ni umalaya.

Tuelewane, siyo mtazamo sahihi.

Seeing is believing:

Siri ya Kipini na Siri ya Kikuku anaijua mvaaji, wewe ishia kuangalia tu kisha pita kushoto waachie wenyewe wavaaji, kikubwa fanya km urembo wa pwani tu ila usichokijua ni zaidi ya urembo
Nasikitika kuja kututangazia ushamba wako hapa. Kwa kukusaidia tu asili ya kutoboa pua au masikio Kwa ajili ya urembo hufanywa na wanawake. Kwahiyo kama Kuna kahaba jirani yako ana kipini ni kwasababu mwanamke,alitoboa pua kama wafanyavyo wanawake wengine katika kutafuta urembo. Huku pwani vipini wanavaa hata watoto wadogo wa kike,huo ukahaba wao wanaufanyia wapi? Au umeamua kutukana tamaduni za watu?
 
Nasikitika kuja kututangazia ushamba wako hapa.
Mkuu sio ushamba nimekwambia kuna kikundi kimechota hizo tamaduni mnazochukulia ni tamaduni za kawaida na kuzifanya kua km signals zao, wewe kesho vaa kikuku hata mguu mmoja pita mtaani alafu utakuja kutupa mrejesho kilikupata nini
 
Marehemu baba alimkataza mama kututoboa sikio,

Na alimwambia watatoboa wenyewe wakijitambua,,,sasa kati ya siye watatu mmoja tu katoboa sikio, siye wawili hapana tumesimamia msimamo hakuna kutoboa,

Aisee hivi ngozi ya pua ilivyo ngumu,maumivu yake si [emoji91]?
Mwanamke kujiremba ni wajibu labda kama huna mume!! Wewe jifabye hardcore uone kama hujakimbiwa.

Hakuna mwanaume anaependa mwanamke gangastar aka ngumu kumeza. Ukishaibiwa mume na hao wenye vipini ndio utakuja kuelewa haya ninayoyasema
 
Marehemu baba alimkataza mama kututoboa sikio,

Na alimwambia watatoboa wenyewe wakijitambua,,,sasa kati ya siye watatu mmoja tu katoboa sikio, siye wawili hapana tumesimamia msimamo hakuna kutoboa,

Aisee hivi ngozi ya pua ilivyo ngumu,maumivu yake si [emoji91]?
Imagine kuna wanaotoboa mpaka mule sehemu za siri
 
Hakuna mwanaume anaependa mwanamke gangastar aka ngumu kumeza.
Unajidanganya mkuu sio kwamba wewe unachukia Kitimoto basi kila unaemuona anachukia Kitimoto kula wenzio wanagonga plates km zote huku wewe unaona kinyaa
 
Mwanamke toboa masikio,

Toboa pua

Toga kitovu

Toga mbususu.

Vaa hereni, vaa pete, vaa bangili , vaa shanga na vaa vikuku kwa mumeo.

Ukiachwa na huyo mwanaume ujue umelogwa.
 
Mkuu sio ushamba nimekwambia kuna kikundi kimechota hizo tamaduni mnazochukulia ni tamaduni za kawaida na kuzifanya kua km signals zao, wewe kesho vaa kikuku hata mguu mmoja pita mtaani alafu utakuja kutupa mrejesho kilikupata nini
Sasa kwanini haukunyoosha maelezo mapema? Hiyo reaction unayoiona inatokana na lugha yako ya ukakasi uliyoitumia kiasi kwamba kila mtu ameelewaku wa wewe unaona kuwa wavaa vipini ni makahaba. Ndio maana nikakuona ni mshamba kwa kuwaita wanawake wavaa vipini ni makahaba wakati nikienda kijijini kwetu wanawake karibia wote wanavaa vipini na siwapati kirahisi.
 
wewe unaona kuwa wavaa vipini ni makahaba.
Hakuna nilipotaja kahaba nimesema kikundi cha watu wanatumia signals za hizo tamaduni kua km urembo ila kwao ni signal, akikuona na hio signal haulizi mara nyingi anajua wewe ni member
 
Mwanamke kuvaa vikuku haimaanishi kuwa unafirwa , huo ni urembo tuliorithi kutoka mashariki ya kati na ya mbali. Wanawake wa kizungu wanafanya hiyo michezo na huwezi kukuta wamevaa vikuku kwa kuwa sio utamaduni wao wa urembo.

Mwanamke jipambe kwa mumeo. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke ambaye yupoyupo tu. Inatakiwa uwe ni kiliwazo kwa mumeo, yale ambayo anayaona mchana kutwa katika mihangaiko yake basi aje ayakute ndani kwake ila akiyakosa jua kuwa atakwenda kuyatafuta nje.
 
Kuna watu wanajua kukaza ubongo, walimu wana kazi ngumu sana madarasani, haya basi sawa kwako wewe ni urembo ila usilolijua ni zaidi ya urembo, umefurahi hapo?
 
Hakuna nilipotaja kahaba nimesema kikundi cha watu wanatumia signals za hizo tamaduni kua km urembo ila kwao ni signal, akikuona na hio signal haulizi mara nyingi anajua wewe ni member
Kwahiyo kipini inatoa ishara gani mkuu nipo kwa ajili ya kujifunza na mimi
 
Back
Top Bottom