Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ishara ya nini?Kipini ni ishara
Kikuku ni ishara
Wanaotoga ulimi ni ishara
Wanaotoga kitovu ni ishara
Wengine wanatoga machoni kwenye ngozi ya kope ni ishara
Wapo ambao wanaotoga hadi k zao pia hio ni ishara
Wanaovaa wanajua wanaashiria nini
Wanaotoga wanajua wanaashiria nini
Hizo ni lugha ya alama/ishara sio kila mtu anajua
Mnavyosema akivaa kikuku ni kwamba anagawa nyuma, ya kwamba asiyevaa hawezi kutoa nyuma?
Inawezekana ni ishara kwa utamaduni wa kwenu, lkn kwa utamaduni wa wengine hawamaanishi hivyo.
Halafu why umchukie mtu na ishara zake? Unavutika unashindwa kujizuia?