Kiporo cha wali wa kwenye fridge kimenishinda

Ninapenda kula kipolo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.

Nimeshindwa pia kula kipolo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo kiwe cha lunch time.
Pole.

Jaribu ukiwa unaeka kiporo kma wali,pilau au biriani hta mchuzi pia upashe vizur kma kwenye microwave au jiko la kawaida.

Usikifunike chote mpka kipoe halaf funika vizur na kiache hadi siku ya pili unapokua tyar unakila kinakua fresh sana tofauti na kuweka kwenye fridge.
 
Shukrani sana. Wali ukiuweka kwenye fridge unabadilika ladha.
 
Nilikuwa nakula viporo hadi nikaona napata kitambi mviringo imebidi niache maana kiporo kitamu. Haswa wali maharage. Huwa siweki kwenye fridge nakiacha jikoni au kukiwa na joto nachukua karai la vyombo naweka maji kidogo nadumbukiza sufuria la wali mambo murua. Best leo umeota kiporo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nitajaribu hii ya karai
 
Kiporo ni kitamu sana lakini inabidi nipike cha kula leo na kesho. Jana ilikuwa Birthday ya shost na chakula kingi kilibaki. Amenipa ki ndoo kidogo cha pilau ninawaza nitakuhifadhi vipi.
 
Usilaze kwenye fridge, hakikisha usiku ukishapakua kile kimebakia kwenye sufuria kama ni wali acha wazi upoe kisha funika kama kuna joto sana waweza wazi hakikisha tu hakiingii wadudu au vinyesi wa wadudu kama mijusi waweza funika kung'uto au chujio kupitisha hewa kwenye yale matundu

Kama ni maharage pakua size unakula yatakayobakia yapashe moto yakipoa finika ubaamka unakuta taste ile ile fresh kabisa tena ukitaka kuongeza usiyatiwe upawa kuchotea waweza mimina tu ukiyachota yatachacha kama hujayapasha
 
Ninapenda kula kipolo cha wali lakini kikishaingia kwenye fridge tena kipashwe moto kwenye microwave kinanishinda.

Nimeshindwa pia kula kipolo asubuhi. Ni kheri nipate matunda asubuhi kipolo kiwe cha lunch time.
Ivi apa ndo nnampango wa kupasha upolo wangu wa wali dah umenikata stim
 
Back
Top Bottom