Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.
Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters
My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters
Nyerere alikuwa anaenda kanisani kusali kila siku.
Kila siku alivyokuwa Dar, alikuwa anasimama kanisa la St. Peters Oysterbay, akiwa njiani kutoka Msasani kwenda Ikulu.
Huyu Mzee alikuwa si Mkristo wa Jumapili mpaka Jumapili. Alikuwa anasali kanisani kila siku.
Lakini hakuna hata siku moja Nyerere aliyokwenda mbele kanisani pale St. Peters akasema neno.
Nishasali naye kanisani St. Peters, hakuna siku Nyerere aliyoenda mbele pale.
My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.