Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Uponyaji na uzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
666
Reaction score
1,255
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.

Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters



My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
 
Tujiulize kwanza, alianza lini kuamini katika ukatoliki?

Kwa hiari yake mwenyewe kwa kutumia uwezo wake kujiamulia ama kwa sababu ya wazazi wake kuwa wakatoliki?

Baada ya hapo jibu litakuwa rahisi kuwa, punde tu baada ya kujifikiria kwa undani juu ya imani yake akaona haitoshi.. Akajiengua.
 
Kwangu mimi dini ni doctrine inayojaribu kutoa majibu ya kwanini tunakufa na tukifa tunaenda wapi. Watu wanaogopa kutojua wanapoenda kuna nini, patupu? Bila hata uhakika wa nini kitakupata?

Dini zinakava hayo.

Reincarnation ikatoa majibu mengine. Most of atheists utaona wana namna yao ya kuperceive kifo na kinachotokea baada ya kifo. Wanaamini ukifumba macho hakuna la zaidi so kama unaweza donate mwili wako watu wafanyie majaribio.

Naamini kuna percent ya atheists wamefikia hapo kutokana na kutafuta ukweli juu ya kifo. Nisimsemee sana hayo ni mawazo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…