There are things which are real even if you cannot prove them. For instance, if I ask you to prove how you were conceived and born, will you be able to do it? And if you don't, will it mean that you were neither conceived nor were you born?if it is real why not proven?
Wewe kwanza unapowaita watu "atheism" unanipa shaka kwamba hata unachoandika unakielewa.Kiranga , Scars na Atheism wote mliopo humu, nawauliza swali mnaweza kuniambia nini asili ya ulimwengu(Formation of all things in the universe)? Vilitokea tokea wapi
Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
Inawezekanaje vitu vilivyopo katika ulimwengu unaoonekana kwa macho (Limited to time, space and matter) vikawa havina chanzo?jibu likisema havina chanzo utakubali?
Kwani yeye amekuambia kuwa vimeumbwa na Mungu, au amewauliza asili ya hivo vitu,, yaani their formation..Wewe kwanza unapowaita watu "atheism" unanipa shaka kwamba hata unachoandika unakielewa.
Hapo kabla sijaenda mbali.
Zaidi, kazi yako ni kuthibitisha Mungu yupo.
Hivyo vitu 1 mpaka 9 havijaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Hujathibitisha hilo.
Kama una uthibitisho kwamba chochote kati ya hivyo kimeumbwa na Mungu, uweke hapa.
Inatakiwa ulete na uthibitisho.. Lasivyo jibu tutalikataa logicallyjibu likisema havina chanzo utakubali?
Kama havijaumbwa na Mungu vimetokea wapi? Mkuu Kiranga.Wewe kwanza unapowaita watu "atheism" unanipa shaka kwamba hata unachoandika unakielewa.
Hapo kabla sijaenda mbali.
Zaidi, kazi yako ni kuthibitisha Mungu yupo.
Hivyo vitu 1 mpaka 9 havijaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Hujathibitisha hilo.
Kama una uthibitisho kwamba chochote kati ya hivyo kimeumbwa na Mungu, uweke hapa.
Haya ni mambo yanayochunguzwa kisayansi na yameandikwa vizuri mpaka sasa, kuna vitabu vimeandikwa vinaelezea vizuri mwanzo wa kila kimoja. Ukimsoma Laplace utajua kuhusu historia ya sayansi ya kufanyika kwa sayari kwa mfano.Kama havijaumbwa na Mungu vimetokea wapi? Mkuu Kiranga.
Bado hujanijibu swali umenipa story tu. Nipe majibu ya swali nililokuuliza. sawa umemsoma Laplace haya weka hapa majibu utuambie.Haya ni mambo yanayochunguzwa kisayansi na yameandikwa vizuri mpaka sasa, kuna vitabu vimeandikwa vinaelezea vizuri mwanzo wa kila kimoja. Ukimsoma Laplace utajua kuhusu historia ya sayansi ya kufanyika kwa sayari kwa mfano.
Ushamsoma Laplace? Mimi nimemsoma Laplace tangu darasa la sita.
Na hata kama hatujui, kuna mambo mengine unaweza kujua hili jibu si sahihi, hata kama hujui jibu sahihi.
Kwa mfano, mtu akiniambia, kwamba, katika base 10 math, "square root ya 2 ni 10", naweza kujua hilo jibu la 10 kama square root ya 2 si sahihi.
Kwa sababu square root ya 2 ni namba ndogo zaidi ya 2 ambayo ukiizidisha kwa yenyewe unapata 2.
10 haiwezi kuwa square root ya 2, kwa sababu 10 ni kubwa kuliko 2 na ukiizidisha 10 kwa 10 unapata 100, hupati 2.
Hapo nimeshajua kwamba square root ya 2 si 10.
Bila kujua square root ya 2 ni nini.
Nimeweza kujua jibu fulani si sahihi, bila hata kujua jibu sahihi ni lipi.
Vivyo hivyo, dhana ya Mungu kuwepo ni sawa na kusema square root ya 2 ni 10. Haina logical consistency na ina contradiction.
Naweza kujua hivyo vyote ulivyovitaja havijaumbwa na Mungu, bila hata kujua vimetokeaje.
How do you know exactly they real, if they can not be proven?There are things which are real even if you cannot prove them. For instance, if I ask you to prove how you were conceived and born, will you be able to do it? And if you don't, will it mean that you were neither conceived nor were you born?
Soma hapa formation of the solar system, wameielezea bila kuhitaji dhana ya Mungu.Bado hujanijibu swali umenipa story tu. Nipe majibu ya swali nililokuuliza. sawa umemsoma Laplace haya weka hapa majibu utuambie.
Nahitaji wewe ulete uthibitisho hapa mimi nitaamini vipi kilichoandikwa humo ni cha kweli? ikiwa kimeandikwa na watu tu.Soma hapa formation of the solar system, wameielezea bila kuhitaji dhana ya Mungu.
Solar System: Facts - NASA Science
Our solar system includes the Sun, eight planets, five dwarf planets, and hundreds of moons, asteroids, and comets.solarsystem.nasa.gov
Thibitisha Mungu yupo.
Halafu tueleze imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea na kimondo kimoja tu kinaweza kuipiga dunia na kuua watu wote.
Tueleze kwa nini Mungu huyo kaumba ulimwengu ambao watu wanakufa kwa njaa, ma tsunami, matetemeko ya ardhi, wana magonjwa yasiyopona etc.
Kwani wapi nimetaka uamini?Nahitaji wewe ulete uthibitisho hapa mimi nitaamini vipi kilichoandikwa humo ni cha kweli? ikiwa kimeandikwa na watu tu.
Wewe si umemsoma Laplace lete hapa uthibitisho wa formation.
Maana hata mimi ningekupa source ya andiko ukasome usingeliamini ungesema limeandikwa tu na watu.
Mkinga bwana π€¦πΎββοΈπ€¦πΎββοΈπ€¦πΎββοΈπ"If you think you understand quantum mechanics, you don't understand quantum mechanics."
- Richard Feynman.
Tuendelee na lengo la swali usijaribu kulipotezea, nahitaji unijibu swali nililokuuliza kwenye post #584. Tafadhali nahitaji majibuKwani wapi nimetaka uamini?
Argument yako ni invalid kwasababu huo mfano ulotoa sio sahihi..Haya ni mambo yanayochunguzwa kisayansi na yameandikwa vizuri mpaka sasa, kuna vitabu vimeandikwa vinaelezea vizuri mwanzo wa kila kimoja. Ukimsoma Laplace utajua kuhusu historia ya sayansi ya kufanyika kwa sayari kwa mfano.
Ushamsoma Laplace? Mimi nimemsoma Laplace tangu darasa la sita.
Na hata kama hatujui, kuna mambo mengine unaweza kujua hili jibu si sahihi, hata kama hujui jibu sahihi.
Kwa mfano, mtu akiniambia, kwamba, katika base 10 math, "square root ya 2 ni 10", naweza kujua hilo jibu la 10 kama square root ya 2 si sahihi.
Kwa sababu square root ya 2 ni namba ndogo zaidi ya 2 ambayo ukiizidisha kwa yenyewe unapata 2.
10 haiwezi kuwa square root ya 2, kwa sababu 10 ni kubwa kuliko 2 na ukiizidisha 10 kwa 10 unapata 100, hupati 2.
Hapo nimeshajua kwamba square root ya 2 si 10.
Bila kujua square root ya 2 ni nini.
Nimeweza kujua jibu fulani si sahihi, bila hata kujua jibu sahihi ni lipi.
Vivyo hivyo, dhana ya Mungu kuwepo ni sawa na kusema square root ya 2 ni 10. Haina logical consistency na ina contradiction.
Naweza kujua hivyo vyote ulivyovitaja havijaumbwa na Mungu, bila hata kujua vimetokeaje.
Na huu ndo ugonjwa wa Atheists wengi...Argument yako ni invalid kwasababu huo mfano ulotoa sio sahihi..
Umejuaje kuwa square root ya 2 haiwezi kuwa 10 ? Bila shaka utakuwa na base answer kichwani mwako,, and you can prove it..
Sasa unajuaje kuwa hili jibu sio sahihi wakati huna base answer kuhusiana na hilo swali. ( umesema hapo juu kuwa hujui chanzo cha ulimwengu )
It's a pure fallacy !!
Mkuu, Atheists hawana facts. wao wamekaririshwa misleading concepts(specifically not to acknowledge GOD THE CREATOR OF THE UNIVERSE ) alafu cha ajabu wanaamini kila kitu kimejiform chenyewe naturally (scientifically) wanasahau hiyo sayansi yenyewe alieiasisi au kuiumba ni Mungu mwenyewe.Na huu ndo ugonjwa wa Atheists wengi...
Mifano yao haina uhusiano na kitu kinachojadiliwa,, na hichi ndo kinachowaponza
Unahitaji majibu gani? Nimekuwekea link, umeisoma hata kuisoma?Tuendelee na lengo la swali usijaribu kulipotezea, nahitaji unijibu swali nililokuuliza kwenye post #584. Tafadhali nahitaji majibu
Hivi ni suala la imani tu ndio tunaona wazazi wanatuamulia huko utotoni?Tujiulize kwanza, alianza lini kuamini katika ukatoliki?
Kwa hiari yake mwenyewe kwa kutumia uwezo wake kujiamulia ama kwa sababu ya wazazi wake kuwa wakatoliki?
Baada ya hapo jibu litakuwa rahisi kuwa, punde tu baada ya kujifikiria kwa undani juu ya imani yake akaona haitoshi.. Akajiengua.