Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Huwezi kumlocate Mungu maana yeye yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter)
Unajuaje yupo huko kweli na habari za Mungu kuwapo huko si hadithi za kutungwa na watu tu?
 
Hiyo ni fallacy of special pleading

Nini chanzo cha Mungu?

ili kauli yako ya mwanzo isiwe na contradiction kua kila kilichopo lazima kiwe kina chanzo, basi Mungu naye anatakiwa awe na chanzo. Vinginevyo huo ni uwongo
Mungu hana chanzo yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo, kwanini unasema anatakiwa awe na chanzo unassume? wewe ndiye unaye assume na kutaka awe na chanzo wakati yeye hana chanzo.
 
Silazimishi kwamba yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, BALI HUO NDIO UKWELI WENYEWE.

Yaani sio kwamba nalazimisha bali uwezo wa kuumba hivyo ana MUNGU PEKEE

Najuaje kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, najua kwasababu ni yeye pekee ndiye anaweza kuumba hivyo.
Hapo ni sawa na wewe kusema "najuaje kwamba mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani, kwa sababu mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani"

Kusema hilo hakuthibitishi kwamba ulilosema ni ukweli.

Thibitisha ulilosema ni ukweli.
 
beyond time ndio wapi huko?

Kama hauthibitishiki we umeujuaje?
nimejua kwa sababu mimi na viumbe wengine tupo duniani katika ulimwengu ambao upo limited to time, space and matter hivyo huwezi kuthibitisha ulimwengu usioonekana kwa macho. nimekuuliza wewe unaweza kunithibitishia homoni, upendo au hisia physically vinaonekanaje? Mbona hunijibu
 
Mungu hana chanzo yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo, kwanini unasema anatakiwa awe na chanzo unassume? wewe ndiye unaye assume na kutaka awe na chanzo wakati yeye hana chanzo.
kwasababu ulikubali kua kila kilichopo kina chanzo, na Mungu umesema yupo

Nini chanzo cha Mungu?
 
nimejua kwa sababu mimi na viumbe wengine tupo duniani katika ulimwengu ambao upo limited to time, space and matter hivyo huwezi kuthibitisha ulimwengu usioonekana kwa macho. nimekuuliza wewe unaweza kunithibitishia homoni, upendo au hisia physically vinaonekanaje? Mbona hunijibu
nimeuliza "huko beyond time ndio wapi?"

Uwepo wako wewe na viumbe vingine duniani unathibitisha vipi kua ulimwengu usioonekana upo?
 
Hapo ni sawa na wewe kusema "najuaje kwamba mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani, kwa sababu mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani"

Kusema hilo hakuthibitishi kwamba ulilosema ni ukweli.

Thibitisha ulilosema ni ukweli.
Nimeshakuthibitishia hilo bado unaniuliza tena swali hilo hilo, wewe unajuaje kwamba nililosema si kweli?
 
kwasababu ulikubali kua kila kilichopo kina chanzo, na Mungu umesema yupo

Nini chanzo cha Mungu?
Ndio nilikubali kila kilichopo kina chanzo na chanzo ni Mungu.

Yeye ambaye ni chanzo (MUNGU) anawezaje kuwa na chanzo?

Bado nakupa majibu ila unaniuliza swali ambalo jibu nimekupa, wewe mbona hunijibu maswali yangu?
 
nimeuliza "huko beyond time ndio wapi?"

Uwepo wako wewe na viumbe vingine duniani unathibitisha vipi kua ulimwengu usioonekana upo?
Wewe unathibitisha vipi homoni, hisia au upendo?
 
Huelewi kwamba ukishasema yuko beyond space and time tayari ushamlocate beyond space and time?
Kusema yuko beyond space and time, nataka tu kusema he's not subject to scientific investigation/experiment which is limited to space and time and so it is useless to claim, using science, that he doesn't exist.
 
Hao watu inabidi uende nao kwa logic kama wanavotaka,, lasivyo watakubana sana...

Ebu jifunze jinsi nilivyoweza kuwadhibiti huko posts za nyuma
Mkuu hakuna wanachoweza kunibana kwasababu wana weak points za kutetea upotofu wao, sana sana nawaona wanakimbia kujibu maswali na kurukaruka hawana hoja.
 
Mungu gani ambaye unamzungumzia hapa kua huwezi kum locate?

Huyo Mungu ni kutoka dini gani?

Ni huyu aishie mbinguni kwenye kiti cha enzi?

Ni huyu ambaye yuko kila mahali "omnipresent"?

Mathayo 18:20​

Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao
'To locate' means to discover his exact place or position. Mind you, I have said God is beyond space and time, which are the realm of location. If he's in heaven, heaven is not place or position. Even when Jesus says wherever there are two or three in my name I'm in their midst, he doesn't mean a position or location. To say 'God is in your midst' or 'is with you' it simply means that you have been favoured by God.
 
Kiranga , Scars na Atheist wote mliopo humu, nawauliza swali mnaweza kuniambia nini asili ya ulimwengu(Formation of all things in the universe)? Vilitokea tokea wapi

Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
 
'To locate' means to discover his exact place or position. Mind you, I have said God is beyond space and time, which are the realm of location. If he's in heaven, heaven is not place or position. Even when Jesus says wherever there are two or three in my name I'm in their midst, he doesn't mean a position or location. To say 'God is in your midst' or 'is with you' it simply means what you have been favoured by God.
if heaven is not a real place by your definition, then it must be a mythical.

Claiming God is beyond space and time is the same descriptions of something that does not exist.
 
Kiranga , Scars na Atheism wote mliopo humu, nawauliza swali mnaweza kuniambia nini asili ya ulimwengu(Formation of all things in the universe)? Vilitokea tokea wapi

Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
jibu likisema havina chanzo utakubali?
 
if heaven is not a real place by your definition, then it must be a mythical.

Claiming God is beyond space and time is the same descriptions of something that does not exist.
To be beyond space and time is not the same as "not being real" my friend.
 
Back
Top Bottom