Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Maneno haya kaandika mtu ambaye hata maana ya imani haijuiKweli kabisa Mkuu, ndio maana Atheism ni imani kama imani zingine tu. Unajua wanachojidanganya ni kitu kimoja tu, wengi wao wanakua wanaamini katika sayansi (Eti kwamba ulimwengu wote hasa huu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter) ni kwamba umejiunda wenyewe NATURAL). Hapa ndipo wanapokosea, ukweli wote wanaujua kwamba THE FORMATION OF THE UNIVERSE IS BEYOND HUMAN ABILITY. Hiyo sayansi yenyewe wanayoiamini ni Mungu ndie alieasisi na kuiumba.