Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

bado haujawa specific imani ya Atheism mimi siijui ni kitu gani
Anyway, Atheism ni imani ya kuamini hakuna uwepo wa Mungu, ndio maana nimekuuliza nilitaka nijue wewe unaamini kutokuwepo uwepo wa Mungu?

Namimi nikakujibu vile kwasababu hapo awali ulidai ulitupa uthibitisho ila sisi hatukua tayari kuupokea huo uthibitisho
Ulinielewa vibaya sikusema nilitoa uthibitisho nilisema mkiulizwa maswali hamjibu mnayakimbia maswali

Nimekuomba unipe uthibitisho, unaniuliza tena uthibitisho wa kitu gani. nikueleweje?
Ulikua unakusudia uthibitisho wa kitu gani ambao sisi hatupo tayari kuupokea?
Hapa sasa ulivyoniomba uthibitisho nilikuuliza unataka uthibitisho gani, nilikuuliza vile vipengele vitatu ambavyo haujanijibu.

binafsi umeniacha njia panda kwasababu umetumia neno tata (kuamini/amini) ambalo sijajua target yako katika swali lako ni nini. nimeomba unipatie ufafanuzi wa hilo neno nikujibu kwa ufasaha swali lako
Ok nakupa ufafanuzi. Imani/kuamini/amini -ni kuamini au kuwa na uhakika wa jambo fulani. Mfano unaweza kuamini Mungu yupo na pia unaweza kuamini Mungu hayupo, mitazamo yote hii miwili imejengwa na imani.

Sasa nakuuliza tena vipengele vyangu.

1. Wewe ni binadamu mwenye imani ya (Atheism) au wewe ni Atheist?. Atheism in kuamini hakuna uwepo wa Mungu.

2. Unataka nilete uthibitisho wa kitu gani? (nimeuliza hivi kwasababu wewe ndie uliniambia nilete uthibitisho kwenye post #463)

3. Unaamini katika sayansi? (Bado hujanijibu)
 
Anyway, Atheism ni imani ya kuamini hakuna uwepo wa Mungu, ndio maana nimekuuliza nilitaka nijue wewe unaamini kutokuwepo uwepo wa Mungu?
Hii definition umeitolea wapi?

Ulinielewa vibaya sikusema nilitoa uthibitisho nilisema mkiulizwa maswali hamjibu mnayakimbia maswali
Kwahiyo unakataa maneno yako mwenyewe?

kupitia screenshot hii unaweza kunijibu ni uthibitisho wa kitu gani uliokua unaukusudia hapa?
1620143087668.png

Hapa sasa ulivyoniomba uthibitisho nilikuuliza unataka uthibitisho gani, nilikuuliza vile vipengele vitatu ambavyo haujanijibu.
Hapo ndo unanichanganya.

Haiwezekani useme watu fulani wakipewa uthibitisho hawaukubali halafu at the same time usiUjue huo uthibitisho uliokua unawapa unahusu kitu gani

Tutakesha hapa hapa kama hautasawazisha kauli yako ya mwanzo either ujisahihishe kua ulikosea kusema ulishawahi kuwapa uthibitisho au ujisahihishe kauli yako ya pili kua huo uthibitisho unaujua ni wa kitu gani na hivyo swali la kuniuliza kuhusu uthibitisho wa kitu gani itakua ni invalid
Ok nakupa ufafanuzi. Imani/kuamini/amini -ni kuamini au kuwa na uhakika wa jambo fulani. Mfano unaweza kuamini Mungu yupo na pia unaweza kuamini Mungu hayupo, mitazamo yote hii miwili imejengwa na imani.
Imani inathibitishwa?

Yaani kilichokua ndani ya imani unaweza kukithibitisha in real with no doubts?

Sasa nakuuliza tena vipengele vyangu.

1. Wewe ni binadamu mwenye imani ya (Atheism) au wewe ni Atheist?. Atheism in kuamini hakuna uwepo wa Mungu.
Atheism ni lack of beliefs, ukisema ni "kuamini hakuna Mungu" hiyo ni contradiction

Ni sawa na mtu aseme kutofanya ngono pia ni style ya kufanya mapenzi kama ilivyo doggy style. Mtu huyo akikuambia hivyo utamkubalia?
2. Unataka nilete uthibitisho wa kitu gani? (nimeuliza hivi kwasababu wewe ndie uliniambia nilete uthibitisho kwenye post #463)
kwani post #459 imeandikwa na nani kati yangu mimi na wewe?
3. Unaamini katika sayansi? (Bado hujanijibu)
Matumizi yako ya neno imani/kuamini yamekua ni very ambiguity

kuna "belief, faith, trust, faith" haya yote maneno kwa lugha ya kiswahili yana tafsirika kua ni "imani" ila kimaana yana tofautiana

Sasa nataka unijuze unaposema imani hua unakusudia niimani gani kati ya hayo maneno ya kiingereza hapo juu nilipo yaainisha?
 
Unaweza kunitajia ayah yoyote ya Qur'an ambayo imesema uongo ?

Wewe kama mkosoaji inatakiwa uonyeshe makosa /uongo katika Qur'an,, na sio kukana kwa maneno tu bila uthibitisho...

Kama Qur'an inasema uongo,, vp kuhusu zile tafiti za kisayansi zilizoandikwa zaid ya miaka 1400 iliyopita, wanasayansi wamekuja kugundua ukweli juzi,, vp nazo hizo ayah ni za uongo ?

Hili suala la Authenticity ya Qur'an ni Suala pana sana... Ambapo kuna mambo mengi ya kuchambua mpaka kufikia conclusion hio ya kwamba ni maneno ya kweli ya Muumba..

Uchambuzi huo umefanywa kwenye kile kitabu ambacho nimekituma mara mbili... Je, ulikisoma ? Umekielewa ? Kuna contradiction yoyote ?

Kitu kikubwa katika uchambuzi huo ambacho kiliwafanya wanasayansi wengi kuingia katika dini ya Uislamu ( kusilimu ) ni yale matukio ya kisayansi ambayo wamegundua juzi, ilhali Qur'an ilishataja kitambo tu....
umepona macho tuendelee na mjadala?
 
Hii definition umeitolea wapi?

Kwahiyo unakataa maneno yako mwenyewe?

kupitia screenshot hii unaweza kunijibu ni uthibitisho wa kitu gani uliokua unaukusudia hapa?
View attachment 1773395

Hapo ndo unanichanganya.

Haiwezekani useme watu fulani wakipewa uthibitisho hawaukubali halafu at the same time usiUjue huo uthibitisho uliokua unawapa unahusu kitu gani

Tutakesha hapa hapa kama hautasawazisha kauli yako ya mwanzo either ujisahihishe kua ulikosea kusema ulishawahi kuwapa uthibitisho au ujisahihishe kauli yako ya pili kua huo uthibitisho unaujua ni wa kitu gani na hivyo swali la kuniuliza kuhusu uthibitisho wa kitu gani itakua ni invalid

Imani inathibitishwa?

Yaani kilichokua ndani ya imani unaweza kukithibitisha in real with no doubts?

Atheism ni lack of beliefs, ukisema ni "kuamini hakuna Mungu" hiyo ni contradiction

Ni sawa na mtu aseme kutofanya ngono pia ni style ya kufanya mapenzi kama ilivyo doggy style. Mtu huyo akikuambia hivyo utamkubalia?

kwani post #459 imeandikwa na nani kati yangu mimi na wewe?

Matumizi yako ya neno imani/kuamini yamekua ni very ambiguity

kuna "belief, faith, trust, faith" haya yote maneno kwa lugha ya kiswahili yana tafsirika kua ni "imani" ila kimaana yana tofautiana

Sasa nataka unijuze unaposema imani hua unakusudia niimani gani kati ya hayo maneno ya kiingereza hapo juu nilipo yaainisha?
Ninachokuuliza unakijua lakini unaendelea kuleta concepts zingine ili ubabili lengo la swali, Ok labda kwa mala nyingine tena niliweke swali hivi

1. Wewe ni Atheist?

2. Bado nasisitiza sikutoa uthibitisho nilichosema ni kwamba hata mkipewa uthibitisho hampo tayari kuupokea, ukaniambia leta uthibitisho nilikuuliza uthibitisho gani unaotaka? Hujanijibu.

3. Unaamini katika Sayansi?

NB: nijibu hivyo vipengele maana vipo wazi na vinaeleweka.

Atheism ni imani yenye mlengo wa kuamini hakuna Mungu. Kama wewe ni Atheist basi una imani ndani yako ya kuamini hakuna Mungu.

Maana huwezi kufikia hitimisho la kusema hakuna Mungu, bila kuamini(Imani) kwanza kwamba hakuna Mungu.
 
1. Hakuna sayansi inayoweza ku'prove' au 'disprove' uwepo wa Mungu. 2. Kwa nini? 3. Kwa sababu sayansi inatumia methodolojia ambayo iko limited to place, space and time. 4. Mungu is beyond place, space and time (outside the realm of place, space and time). 5. Kama kuna wanasayansi wanaoweza ku'prove' au 'disprove' uwepo wa Mungu, ina maana wamehama kwenye sayansi na kwenda kwenye 'scientism' - 'unwarranted application of science in situations considered not amenable to application of the scientific method or similar scientific standards'. 6. Huwezi kuhama discipline (yaani huwezi kutumia kanuni za discipline x na bado ukadai uko kwenye discipline y ambayo ina kanuni tofauti).
 
1. Wewe ni Atheist?t
Ndio ila sio kwa maana ile ya atheist uliyoitoa
2. Bado nasisitiza sikutoa uthibitisho nilichosema ni kwamba hata mkipewa uthibitisho hampo tayari kuupokea, ukaniambia leta uthibitisho nilikuuliza uthibitisho gani unaotaka? Hujanijibu.
kwa hiyo unajikosoa mwenyewe kauli yako ya kwanza kua si kweli kwamba atheist wakipewa uthibitisho hawako tayari kuupokea?
3. Unaamini katika Sayansi?
Neno kuamini/amini bado ni paradox nilikupa uwanja ufafanue zaidi umeshindwa
NB: nijibu hivyo vipengele maana vipo wazi na vinaeleweka.

Atheism ni imani yenye mlengo wa kuamini hakuna Mungu. Kama wewe ni Atheist basi una imani ndani yako ya kuamini hakuna Mungu.
Atheism ya wapi hii ambayo inasema atheism ni imani?

Na ndio maaana nakusisitiza uwe specific kwasababu mpaka hapa tunaonekana kujadili vitu viwili tofauti

Atheism nayoijua mimi na ambayo nasimama nayo by definition ni lack of beliefs, hiyo ya kwako mimi siitambui labda unielekeze inahusu nini
Maana huwezi kufikia hitimisho la kusema hakuna Mungu, bila kuamini(Imani) kwanza kwamba hakuna Mungu.
Matumizi yako ya neno imani/kuamini yamekua ni very ambiguity

kuna "belief, faith, trust, faith" haya yote maneno kwa lugha ya kiswahili yana tafsirika kua ni "imani" ila kimaana yana tofautiana

Sasa nataka unijuze unaposema imani hua unakusudia niimani gani kati ya hayo maneno ya kiingereza hapo juu nilipo yaainisha?
 
1. Hakuna sayansi inayoweza ku'prove' au 'disprove' uwepo wa Mungu. 2. Kwa nini? 3. Kwa sababu sayansi inatumia methodolojia ambayo iko limited to place, space and time. 4. Mungu is beyond place, space and time (outside the realm of place, space and time). 5. Kama kuna wanasayansi wanaoweza ku'prove' au 'disprove' uwepo wa Mungu, ina maana wamehama kwenye sayansi na kwenda kwenye 'scientism' - 'unwarranted application of science in situations considered not amenable to application of the scientific method or similar scientific standards'. 6. Huwezi kuhama discipline (yaani huwezi kutumia kanuni za discipline x na bado ukadai uko kwenye discipline y ambayo ina kanuni tofauti).
Unajuaje Mungu yupo beyond space and time, na hiyo habari si uzushi wa watu tu?
 
Tujiulize kwanza, alianza lini kuamini katika ukatoliki?

Kwa hiari yake mwenyewe kwa kutumia uwezo wake kujiamulia ama kwa sababu ya wazazi wake kuwa wakatoliki?

Baada ya hapo jibu litakuwa rahisi kuwa, punde tu baada ya kujifikiria kwa undani juu ya imani yake akaona haitoshi.. Akajiengua.
Kuna nyuzi humu hua zinawaponda sana WAKATOLIKI na watu povu hua linawatoka; siku moja nimewahi kukutana na padree mmoja aliachana na upadree, nilishangaa sana huenda kuna kitu hua wanasoma huko vyuoni kwao ambacho hatukijui. Huyu jamaa alikua anafanya kazi fulani, nikabahatika kupanda gari lao, akiwa na wenzake kulikua na mjadara fulani kuhusu kazi yao ya siku hiyo, mmoja wao akasema hivi, "Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwamba siku ya leo imeisha" Huyo jamaa (EX Padree ) akajibu, "Hakuna Mungu wewe, Mungu ni we mwenyewe" Mdada mmoja ambaye alikua kwenye hilo gari, wanafanya nae kazi akamjibu, "We John wewe (John sio jina lake halisi ) we si unamjua kabisa Mungu ulikuaga padree wewe, acha kumkufuru Mungu wewe" Niliposikia jamaa alikua padree kidogo nikastuka, nilikua nimewahi kuzisikia habari zake somedays before, ikabidi nidakie mjadara, hadi tunafika tulikokua tunakwenda tulitoshana nguvu kwa kweli, nashukuru Mungu nilimshinda kihoja kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu.
Yupo padre mwingine nae alikua kalewa, nilisikia something fish kuhusu maoni yake binafsi ju ya Mungu, nina mashaka sana huko chuoni na wanacho jifunza.
 
Unajuaje Mungu yupo beyond space and time, na hiyo habari si uzushi wa watu tu?
Asingekuwa beyond space and time, sayansi ingeweza kuthibitisha kuwa yupo au hayupo. Yaani, angekuwa subeject to scientific investigation/experiment.
 
1. Hakuna sayansi inayoweza ku'prove' au 'disprove' uwepo wa Mungu. 2. Kwa nini? 3. Kwa sababu sayansi inatumia methodolojia ambayo iko limited to place, space and time. 4. Mungu is beyond place, space and time (outside the realm of place, space and time). 5. Kama kuna wanasayansi wanaoweza ku'prove' au 'disprove' uwepo wa Mungu, ina maana wamehama kwenye sayansi na kwenda kwenye 'scientism' - 'unwarranted application of science in situations considered not amenable to application of the scientific method or similar scientific standards'. 6. Huwezi kuhama discipline (yaani huwezi kutumia kanuni za discipline x na bado ukadai uko kwenye discipline y ambayo ina kanuni tofauti).
Asante kwa ufafanuzi na hapa ndipo Atheist na baadhi ya wanasayansi walipoanza kupotea kwa kuamini hakuna uwepo wa Mungu kisa sayansi haiwezi kuprove kwa maana ya methodologia, wanasahau kwamba Mungu yupo beyond space, time and matter. Maana yeye Mungu ndie alieumba ulimwengu usioonekana kwa macho (unlimited from time, space and matter) na ulimwengu unaaonekana kwa macho (limited to time, space and matter) kama sayari zote, jua, mwezi na nyota zote, mito, habari, mimea, wanyama, ndege, binadamu nk(ulimwengu ambao upo limited na time, space and matter)
 
Kuna nyuzi humu hua zinawaponda sana WAKATOLIKI na watu povu hua linawatoka; siku moja nimewahi kukutana na padree mmoja aliachana na upadree, nilishangaa sana huenda kuna kitu hua wanasoma huko vyuoni kwao ambacho hatukijui. Huyu jamaa alikua anafanya kazi fulani, nikabahatika kupanda gari lao, akiwa na wenzake kulikua na mjadara fulani kuhusu kazi yao ya siku hiyo, mmoja wao akasema hivi, "Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwamba siku ya leo imeisha" Huyo jamaa (EX Padree ) akajibu, "Hakuna Mungu wewe, Mungu ni we mwenyewe" Mdada mmoja ambaye alikua kwenye hilo gari, wanafanya nae kazi akamjibu, "We John wewe (John sio jina lake halisi ) we si unamjua kabisa Mungu ulikuaga padree wewe, acha kumkufuru Mungu wewe" Niliposikia jamaa alikua padree kidogo nikastuka, nilikua nimewahi kuzisikia habari zake somedays before, ikabidi nidakie mjadara, hadi tunafika tulikokua tunakwenda tulitoshana nguvu kwa kweli, nashukuru Mungu nilimshinda kihoja kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu.
Yupo padre mwingine nae alikua kalewa, nilisikia something fish kuhusu maoni yake binafsi ju ya Mungu, nina mashaka sana huko chuoni na wanacho jifunza.
Ninachoweza kusema kuwa masomo wanayosoma wanafunzi wa masomo ya mapadri, hasa falsafa na teolojia, ni falsafa za both wale wanaoamini Mungu yupo na wasioamini. Hivyo, mwanafunzi wa upadri anapomaliza masomo yake kwa upande mmoja anakuwa amesoma wanafalsafa na wanateolojia wanaoamini Mungu yupo na pia wanafalsafa na wanateolojia, including wanasayansi, wanaoamini Mungu hayupo. Wakati mwingine inategemea katika kusoma kwake ameegemea upande upi maana lengo la haya masomo ni kumjengea uwezo wa kuwa na independent/good judgement katika kazi yake ya utume.

Lakini all ni all, padri amesoma vizuri sana mambo mengi ambayo wasomi wengine hawajawahi kuyasoma. Imagine pamoja na masomo yote hayo, kuna mapadri wanaoendelea kusoma hata baada ya kumaliza masomo ya upadri. Mfano, pamoja na mambo mengine padri anasoma baada ya Form VI miaka 9-10: moral ethics, social and cultural anthropology, logic, psychology, counselling, epistemology, metaphysics, political philosophy, philosophy of social sciences, a history of philosophy, systematic philosophy, moral theology, including moral dilemma issues - genetic engineering, cloning, masturbation, suicide, divorce, just war, murder, civil disobedience, homosexuality, sexuality (including sexual ethics), premarital & extramarital intercourse, euthanasia, apartheid, genocide - canon law, scripture, liberation theology, world religions with particular interest in Christianity, Islam & African traditional religions, inculturation, polygamy, church history, spirituality (spiritual psychology), sacraments, Christology, pastoral theology, natural theology, Ecumenism, Trinity, Revelation, pastoral care of the sick + special courses on health, environment, politics etc. Na kwa baadhi ya mapadri baada ya kumaliza masomo hayo wanasoma pia masomo ya udaktari wa binadamu na wengine wanasoma sheria za nchi na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya sehemu ya kazi padri alipo. Baada ya kuhitimu masomo haya padri akiwa na imani anakuwa nayo kweli na ikitokea akapoteza imani anapoteza kweli.
 
Ndio ila sio kwa maana ile ya atheist uliyoitoa
Katika vipengele 3 nilivyokuuliza hiki cha kwanza hatimae nimepata jibu lake kwamba najadiliana na Atheist. Asante

Atheism nayoijua mimi na ambayo nasimama nayo by definition ni lack of beliefs, hiyo ya kwako mimi siitambui labda unielekeze inahusu nini
Unasema Atheism unayoijua wewe ni lack of beliefs, nijuavyo mimi maana ya neno (lack of beliefs) ni kutokua na imani. Sasa wewe umewezaje kusema (hakuna uwepo wa Mungu) bila kuamini hiyo dhana yako kwanza? kuwa Atheist ni lazima uamini hakuna uwepo wa Mungu(hapa imani lazima ifanye kazi ya kuamini hakuna uwepo wa Mungu)

Hivyo basi, Atheism inaundwa na watu wanaosimamia imani yenye dhana ya hakuna uwepo wa Mungu.

Matumizi yako ya neno imani/kuamini yamekua ni very ambiguity

kuna "belief, faith, trust, faith" haya yote maneno kwa lugha ya kiswahili yana tafsirika kua ni "imani" ila kimaana yana tofautiana

Sasa nataka unijuze unaposema imani hua unakusudia niimani gani kati ya hayo maneno ya kiingereza hapo juu nilipo yaainisha?
Wewe ndio unajichanganya (Belief, faith, trust) maneno haya yote yana maana ya imani tofauti ni maneno tu na uwasilishwaji wake, ni sawa na kusema (NAKUAMINI, NAAMINI, NINA IMANI) bado maneno hayo yana maana ile ile imani.

Sasa nirudi katika kipengele changu cha tatu
Wewe unaamini katika Sayansi?
 
Labda alirithishwa ukatoliki kama wengine, alipokomaa kiakili akagunduwa ni porojo na ulaji wa kulazimishwa kwa matapeli wa imani za watu..
 
Asante kwa ufafanuzi na hapa ndipo Atheist na baadhi ya wanasayansi walipoanza kupotea kwa kuamini hakuna uwepo wa Mungu kisa sayansi haiwezi kuprove kwa maana ya methodologia, wanasahau kwamba Mungu yupo beyond space, time and matter. Maana yeye Mungu ndie alieumba ulimwengu usioonekana kwa macho (unlimited from time, space and matter) na ulimwengu unaaonekana kwa macho (limited to time, space and matter) kama sayari zote, jua, mwezi na nyota zote, mito, habari, mimea, wanyama, ndege, binadamu nk(ulimwengu ambao upo limited na time, space and matter)
Actually, atheist anachokifanya ni kukana kwamba Mungu yupo na kama hayupo, then kukana kwamba "hayupo" kunatoka wapi? Wanasayansi ambao ni atheists wanaanzia wapi kusema walishafanya scientific investigation/experiemtn na kwa kutumia methodolojia ipi na kuja na conclusion kwamba Mungu hayupo? Hivyo, utakuta kwamba atheists ni wengi wa maneno ya kuunga unga and then wanakuja na conclusion ambayo siyo related na premises walizoanza nazo.
 
Ninachoweza kusema kuwa masomo wanayosoma wanafunzi wa masomo ya mapadri, hasa falsafa na teolojia, ni falsafa za both wale wanaoamini Mungu yupo na wasioamini. Hivyo, mwanafunzi wa upadri anapomaliza masomo yake kwa upande mmoja anakuwa amesoma wanafalsafa na wanateolojia wanaoamini Mungu yupo na pia wanafalsafa na wanateolojia, including wanasayansi, wanaoamini Mungu hayupo. Hivyo, wakati mwingine inategemea katika kusoma kwake ameegemea upande upi maana lengo ya haya masomo ni kumwezesha kuwa na independent/good judgement katika kazi yake ya utume.

Lakini all ni all, padri amesoma vizuri sana mambo mengi ambayo wasomi wengine hawajawahi kuyasoma. Imagine pamoja na masomo yote hayo, kuna mapadri wanaoendelea kusoma hata baada ya kumaliza masomo ya upadri. Mfano, pamoja na mambo mengine padri anasoma baada ya Form VI miaka 9-10: moral ethics, social and cultural anthropology, logic, psychology, counselling, epistemology, metaphysics, political philosophy, philosophy of social sciences, a history of philosophy, systematic philosophy, moral theology, including moral dilemma issues - genetic engineering, cloning, masturbation, suicide, divorce, just war, murder, civil disobedience, homosexuality, sexuality (including sexual ethics), premarital & extramarital intercourse, euthanasia, apartheid, genocide - canon law, scripture, liberation theology, world religions with particular interest in Christianity, Islam & African traditional religions, inculturation, polygamy, church history, spirituality (spiritual psychology), sacraments, Christology, pastoral theology, natural theology, Ecumenism, Trinity, Revelation, pastoral care of the sick + special courses on health, environment, politics etc. Na kwa baadhi ya mapadri baada ya kumaliza masomo hayo wanasoma pia masomo ya udaktari wa binadamu na wengine wanasoma sheria za nchi na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya sehemu ya kazi padri alipo. Baada ya kuhitimu masomo haya padri akiwa na imani anakuwa nayo kweli na ikitokea akapoteza imani anapoteza kweli.
Kweli Mkuu, wasome wawezavyo lakini uwezi kupotea kiasi cha kuamini hakuna uwepo wa Mungu. Kuamini hakuna Mungu ni upotevu uliopitiliza viwavyo vyote
 
Actually, atheist anachokifanya ni kukana kwamba Mungu yupo na kama hayupo, then kukana kwamba "hayupo" kunatoka wapi? Wanasayansi ambao ni atheists wanaanzia wapi kusema walishafanya scientific investigation/experiemtn na kwa kutumia methodolojia ipi na kuja na conclusion kwamba Mungu hayupo? Hivyo, utakuta kwamba atheists ni wengi wa maneno ya kuunga unga and then wanakuja na conclusion ambayo siyo related na premises walizoanza nazo.
Kweli kabisa Mkuu, ndio maana Atheism ni imani kama imani zingine tu. Unajua wanachojidanganya ni kitu kimoja tu, wengi wao wanakua wanaamini katika sayansi (Eti kwamba ulimwengu wote hasa huu unaoonekana kwa macho(limited to time, space and matter) ni kwamba umejiunda wenyewe NATURAL). Hapa ndipo wanapokosea, ukweli wote wanaujua kwamba THE FORMATION OF THE UNIVERSE IS BEYOND HUMAN ABILITY. Hiyo sayansi yenyewe wanayoiamini ni Mungu ndie alieasisi na kuiumba.
 
Katika vipengele 3 nilivyokuuliza hiki cha kwanza hatimae nimepata jibu lake kwamba najadiliana na Atheist. Asante
Kama umepata jibubasi nakiri kwamba umejifunza kuwa maana yako kuhusu atheist uliyoiweka mwanzo ni potofu
Unasema Atheism unayoijua wewe ni lack of beliefs, nijuavyo mimi maana ya neno (lack of beliefs) ni kutokua na imani. Sasa wewe umewezaje kusema (hakuna uwepo wa Mungu) bila kuamini hiyo dhana yako kwanza?
contradiction

ukisema "kutokua na imani" maana yake hakuna dhana ya imani ya kuamini chochote au kinyume chake vinginevyo dhana ya kutokua na imani iwekwe pembeni.

The premise of your argument is not only invalid but it is pure fallacy
kuwa Atheist ni lazima uamini hakuna uwepo wa Mungu(hapa imani lazima ifanye kazi ya kuamini hakuna uwepo wa Mungu)
Imani ikifanya kazi itakua bado ni lack of belief?
Hivyo basi, Atheism inaundwa na watu wanaosimamia imani yenye dhana ya hakuna uwepo wa Mungu.
Hii ni personal perspective, ni vile wewe umeamua kuchagua definition yako kwa kuwa describe atheist kwa namna ambayo hisia zako zinakutuma
Wewe ndio unajichanganya (Belief, faith, trust) maneno haya yote yana maana ya imani tofauti ni maneno tu na uwasilishwaji wake, ni sawa na kusema (NAKUAMINI, NAAMINI, NINA IMANI) bado maneno hayo yana maana ile ile imani.
Maneno hayo yote kwa kiswahili yanawakilishwa na neno moja "IMANI" ila yanatofautiana kimaana, na kama yanatofautiana kimaana basi hata kimatumizi vile vile lazima yatofautiane. Pahala pa kutumia faith hauwezi ukaweka trust na sentesi ikaleta maana ile ile iliyokusudiwa. Mfano atheism is lack of beliefs kinyume ukisema atheism is lack of trust ni invalid umepoteza maana ya sentensi nzima japokua trust nayo kwa kiswahili ni imani

Sasa nipe mchanganuo wa hayo maneno "faith, belief, trust" kwa kufanya hivyo nitakua nimekuelewa lengo lako kwenye matumizi ya neno imani ambayo umekua ukitumia frequently

Sasa nirudi katika kipengele changu cha tatu
Wewe unaamini katika Sayansi?
Kamilisha swali lako vizuri kwa kuelezea keypoint ya hoja yako "kuamini"

Kuamini kupi ambako unakusudia hapa refer zile aina tatu nilizokupa?
 
Asingekuwa beyond space and time, sayansi ingeweza kuthibitisha kuwa yupo au hayupo. Yaani, angekuwa subeject to scientific investigation/experiment.
Umeanza kwa msingi kwamba yupo, ila hawezi kuthibitishwa na sayansi tu.

Unajuaje yupo?

Sayansi haiwezi kuthibitisha joka lenye macho matatu na kofia ya dhahabu linaishi au haliishi juu ya mlima Kilimanjaro.

Chochote utakachosema kuhusu sababu za kisayansi za kutoweza kuthibitisha joka hilo lipo au halipo hakitabadilisha ukweli kwamba sayansi haiwezi kuthibitisha joka hilo lipo au halipo.

Unaweza kusema joka hilo linajua sana kukimbia kukamatwa na wanasayansi.

Unaweza kusema joka hilo linaishi nje ya time and space.

Sasa, kuweza kupiga hii hadithi hakuthibitishi joka hilo lipo.

Kunathibitisha unaongelea vitu ambavyo huwezi kuthibitisha.

Sasa wewe unayeanza kusema kwamba Mungu yupo, ila yupo nje ya time and space, unawezaje kuthibitisha hiyo si hadithi tu kama ya joka la ajabu lenye macho matatu na kofia ya dhahabu linaloishi juu ya mlima Kilimanjaro.

Ukikubali uwepo wa Mungu, mantiki hiyo hiyo ya kukubali uwepo wa Mungu inakufunga ukubali uwepo wa joka hili.

Na hapo hapo itabidi ukubali kila mtu atakayekuambia "Mimi ni bilionea wa US dollars, ila ubilionea wangu uko nje ya time and space huwezi kuuthibitisha".

It is a ridiculously lazy Deus ex Machina non argument.
 
Kweli Mkuu, wasome wawezavyo lakini uwezi kupotea kiasi cha kuamini hakuna uwepo wa Mungu. Kuamini hakuna Mungu ni upotevu uliopitiliza viwavyo vyote
Kuamini hakuna mungu ndio kukoje huko?
 
Back
Top Bottom