Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Anyway, Atheism ni imani ya kuamini hakuna uwepo wa Mungu, ndio maana nimekuuliza nilitaka nijue wewe unaamini kutokuwepo uwepo wa Mungu?bado haujawa specific imani ya Atheism mimi siijui ni kitu gani
Ulinielewa vibaya sikusema nilitoa uthibitisho nilisema mkiulizwa maswali hamjibu mnayakimbia maswaliNamimi nikakujibu vile kwasababu hapo awali ulidai ulitupa uthibitisho ila sisi hatukua tayari kuupokea huo uthibitisho
Hapa sasa ulivyoniomba uthibitisho nilikuuliza unataka uthibitisho gani, nilikuuliza vile vipengele vitatu ambavyo haujanijibu.Nimekuomba unipe uthibitisho, unaniuliza tena uthibitisho wa kitu gani. nikueleweje?
Ulikua unakusudia uthibitisho wa kitu gani ambao sisi hatupo tayari kuupokea?
Ok nakupa ufafanuzi. Imani/kuamini/amini -ni kuamini au kuwa na uhakika wa jambo fulani. Mfano unaweza kuamini Mungu yupo na pia unaweza kuamini Mungu hayupo, mitazamo yote hii miwili imejengwa na imani.binafsi umeniacha njia panda kwasababu umetumia neno tata (kuamini/amini) ambalo sijajua target yako katika swali lako ni nini. nimeomba unipatie ufafanuzi wa hilo neno nikujibu kwa ufasaha swali lako
Sasa nakuuliza tena vipengele vyangu.
1. Wewe ni binadamu mwenye imani ya (Atheism) au wewe ni Atheist?. Atheism in kuamini hakuna uwepo wa Mungu.
2. Unataka nilete uthibitisho wa kitu gani? (nimeuliza hivi kwasababu wewe ndie uliniambia nilete uthibitisho kwenye post #463)
3. Unaamini katika sayansi? (Bado hujanijibu)