Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hapo unakoelekea utalazimisha fallacy ya "snob approach" itumike kutetea hoja yakoHapa naondoka na aya hii ya mwisho,sababu hizo za mwanzo ni muendelezo wako wa kushindwa katika kulinganisha mambo,yaani mfano wako haukidhi haja na uko mbali na jambo hili.
Hoja yangu ni kwamba ukitafakari hizo aya lazima utakiri ya kuwa haya ni maneno ya Allah na hakuna mwanadamu aliyeweza kuleta mfano wa hayo bali mpaka Kiyama kina simama. Kadhalika sijashindwa kuleta uthibitisho na wala sijawahi kushindwa,mpaka hapa katika hili nimeshatoa ithibati mbili,na hakuna hata moja mliyo ikosoa na hamuwezi hili,zaidi ya kuleta dhana mara "unadhani mara ingekuwa kadha". Hizi si hoja.
Ionekane kua yeyote yule ambaye ataonekana kuja tofauti na wazo la kusema na allah aonekane hajatafakari vizuri.
Kwa hiyo hapa hoja ni kuweka uthibitishwe na sio kuleta stori za wazew wa zamani waliokubali hayo madai