Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kuna walakini juu ya msimamo wako kama unashindwa kujua Qur'an ni maandiko ya nani...

Inakuwaje unapinga kitabu halafu humjui mwandishi ? Isn’t that stupidity ?
kwanini ulakini usiwe kwako ambaye umepewa jibu umeshindwa kuliona?
 
Watu wa aina hii huwa waovu na huwa hawachuji baya na zuri..wengi wao huwa walabata na .... Ukiona din unayoabudu huielewi hamia nyingine...lkn sio kusema hakuna Mungu....
Vp Kama dini zote hazieleweki!
 
Atheist wote ni waoga na wakimbiaji wa kujibu maswali, pia ni watu wenye imani (Atheism Faith) iliyopotoshwa na waanzilishi wa imani hiyo.
 
Upo sahihi kbs mkuu...
Mm maswali yangu wanayaona, wanayasoma, na wanayakimbia,, wengine hawajibu kbs..

Inatakiwa wajitafakari sana na imani yao !!
Mkuu, hao ndivyo walivyo wanauliza maswali wanapewa majibu yaliyo sahihi, ukiwauliza wao maswali hawana uwezo wa kujibu huishia kukushambulia na kukuingizia concepts tofauti na maswali unayouliza ili kupotosha lengo la swali husika.
 
Atheist wote ni waoga na wakimbiaji wa kujibu maswali, pia ni watu wenye imani (Atheism Faith) iliyopotoshwa na waanzilishi wa imani hiyo.
Ebu onyesha swali ambalo halijajibiwa kutoka kwa theist ukiachana na huyo kibogoyo wa macho
 
Mkuu, hao ndivyo walivyo wanauliza maswali wanapewa majibu yaliyo sahihi, ukiwauliza wao maswali hawana uwezo wa kujibu huishia kukushambulia na kukuingizia concepts tofauti na maswali unayouliza ili kupotosha lengo la swali husika.
Wapi umethibitisha mungu yupo kama kweli mkiulizwa maswali mnayayajibu?
 
Unajuaje katika mambo ambayo binadamu hawezi kufanya sio pamoja na kuthibitisha Mungu yupo kwasababu hayupo?

Unajuaje kua watu walivyoona kua binadamu ana huo udhaifu wakatumia kama mwanya kupenyeza habari za mungu ili kila atayetaka kujua ukweli apewe hizo aya kisha aambiwe "Kuna mambo mwanadamu hawezi kufanya ndiyo maana aya ziko wazi jambo hilo"

Lakini pia kama chain nayo ni ushahidi wa kihistoria unaoonesha ukweli wa jambo kwanini chain yako tu ya kihistoria kutoka dini ya kiislam iwe ya kweli halafu chain za dini zingine zisiwe za ukweli?
Dhana hazina nafasi,tafuta uhakika uje ujenge hoja.

Nipo ....
 
Akili ikitafakari lazima itadai uthibitisho ku verify kama kweli hayo ni maneno ya Allah.
Sasa tafakari kisha uje kuhoji hilo. Najua hujatafakari na tujadili hicho ambacho kimeandikwa humo,maana wakubwa zako walishindwa hili na walikuwa na elimu na maarifa na kujia lugha vilivyo.

Lakini hii haitoshi,mwisho wa siku walikubali ila waliamua tu kukataa kwa sababu zao binafsi.

Sasa tatua hiyo changamoto sababu maneno yanajithibitisha yenyewe.
 
Akili za Kiranga hazichunguziki mkuu, huyu ni miongoni mwa watu wenye uelewa na uwezo mkubwa sana wa kuchambua na kuelezea mambo kwa marefu na mapana, huku yote yakiwa kwa ufasaha.
ni upumbafu tu ameshindwa kuchambua Africa na matatizo yake na kuleta solution ameamua kuanza kumchambua mungu na wewe unamsifia kwamba anauwezo mkubwa
 
Sasa tafakari kisha uje kuhoji hilo. Najua hujatafakari na tujadili hicho ambacho kimeandikwa humo,maana wakubwa zako walishindwa hili na walikuwa na elimu na maarifa na kujia lugha vilivyo.

Lakini hii haitoshi,mwisho wa siku walikubali ila waliamua tu kukataa kwa sababu zao binafsi.

Sasa tatua hiyo changamoto sababu maneno yanajithibitisha yenyewe.
We hao wakubwa zako waliweka huo uthibitisho?

Maana ndo kitu ambacho nakuja kukuomba ukiweke hapa
 
Unataka nikiri kwa shurti bila uthibitisho?

Hiyo ni irrelevant ni sawa na mimi niseme haujui hata kuruka sarakasi ya ukutani hivyo haustahili kuhoji nini maana ya kung fu.

Kutokua mjuzi wa lugha sio kigezo cha kukufanya wewe ushindwe kuleta uthibitisho hapa
Hapa naondoka na aya hii ya mwisho,sababu hizo za mwanzo ni muendelezo wako wa kushindwa katika kulinganisha mambo,yaani mfano wako haukidhi haja na uko mbali na jambo hili.

Hoja yangu ni kwamba ukitafakari hizo aya lazima utakiri ya kuwa haya ni maneno ya Allah na hakuna mwanadamu aliyeweza kuleta mfano wa hayo bali mpaka Kiyama kina simama. Kadhalika sijashindwa kuleta uthibitisho na wala sijawahi kushindwa,mpaka hapa katika hili nimeshatoa ithibati mbili,na hakuna hata moja mliyo ikosoa na hamuwezi hili,zaidi ya kuleta dhana mara "unadhani mara ingekuwa kadha". Hizi si hoja.
 
Nithibitishe vipi wakati wewe mwenyewe ulikiri kua haujui?
Nilikiri kwamba huyo simjui sasa wewe ambaye unamjua unawajibika ututhibitishie hilo,ndiyo maana mimi nilihoji na sikukanusha sababu simjui. Lakini ukashindwa,ila nafsi yako inajua kwamba unaleta utoto na mimi lengo langu likawa limetimia.

Sasa usiwe unaleta utoto katika mambo ya kielimu,na usilinganishe mambo yasiyo fanana. Huku ni kuikosea adabu akili na elimu pia.

Shukrani. Nipo ...
 
Hayo ni maswali yanayohoji kujua uhakika wa hicho unachokisimamia

Majibu yake unayo au huna?
Dhana haijengi hoja wala sheria mpaka ikidhi vigezo ndiyo maana sisi huwa hatujibu maswali ya uongo ambayo hayana uhalisia ndiyo maana akili zetu huwa nyepesi sana na makini sababu huwa tunafikiria kwa usahihi na kuepukana na kukosea.

Yaani ajabu unahojo ujinga na hugusi hata matini ya aya. Hii inathibitisha huna uwezo wa kukosoa hii Qur'aan.
 
We hao wakubwa zako waliweka huo uthibitisho?

Maana ndo kitu ambacho nakuja kukuomba ukiweke hapa
Huko mbali unataka niweke mara ngapi ithibati.

Nikekuwekea aya ziko wazi,unachotakiwa usijitoe ufahamu za kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe kama ulivyo fanya kwa yule uliyesema ni mungu (nilicheka sana).

Sasa kosoa ushahidi nilio uweka humu,usiende kwa wakubwa zangu ambao mimi kifaranga wao umenishindwa.

Naonyesha ujinga wako na hatulei ujinga. Natarajia utazifanyia kazi hizo aya aidha kwa kukiri au kuonyesha ni za uongo na uweke ukweli. Kinyume na hapo,kazi yangu imeisha.
 
Wapi umethibitisha mungu yupo kama kweli mkiulizwa maswali mnayayajibu?
Tatizo mkipewa uthibitisho hampo tayari kuupokea akilini kwasababu imani yenu imeshapotoshwa imeamini imani potofu ya (Etheism Faith)
 
Back
Top Bottom