Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Unaanzaje kumkosoa mtu kuonesha hayuko sahihi kwa kujitanabaisha kwamba wewe ndio uko sahihi kwa kitu ambacho umekiri kua haukijui maana yake?
Niko sahihi sababu hujaonyesha ukweli wa hicho unacho nadai na kama ungekuwa mkweli ule utoto usinge ufanya sababu unajua unafanya utoto.

Lakini jambo langu si kama lako sababu langu lina chain.
 
Niko sahihi sababu hujaonyesha ukweli wa hicho unacho nadai na kama ungekuwa mkweli ule utoto usinge ufanya sababu unajua unafanya utoto.

Lakini jambo langu si kama lako sababu langu lina chain.
kivipi uwe sahihi na wakati hujui keypoint ya hoja yako ina maana gani, na umekiri kua haujui?
 
kabla ya yote unathibitisha vipi kua hizo ni nukuu za Allah na sio kwamba ni mtu tu kaandika kua "Allah mtukufu akasema"
Huwa najiuliza hivi huwa unasoma ninacho kiandika ? Jibi lipo kwenye aya hizo hizo,ndiyo maana kuna "challange" humo.

Kuna mambo mwanadamu hawezi kufanya ndiyo maana aya zika wazi jambo hilo.

Kadhalika kuna chain na ushahidi wa kihistoria juu jambo hilo.

Lakini akili tu ikitafakari hicho kilicho andikwa lazima ikubali ya kuwa hayo ni maneno ya Allah. Sasa ibaki wewe kukubali ila kukiri lazima ukiri,hata wapinzani wa zamani walikuwa wamewazidi nyinyi kwa mengi sana,walikuwa na maarifa,walikuwa wajuzi wa lugha,walikuwa wanakiri ila hawataki kufata sababu walikuwa wanayatafakari maneno hayo. Sasa nyinyi wa leo hamna vyote hivyo. Ndiyo maana hata tukiwapa shahidi elfu hamzikubali na hoja hamna.

Sasa natarajia ukija uje na ukosoaji na usahihi wa mambo,ila baada ya kuzifanyia kazi hizo aya.
 
kivipi uwe sahihi na wakati hujui keypoint ya hoja yako ina maana gani, na umekiri kua haujui?
Ndiyo maana nikakutaka uthubitishe na uniambie huyo ni nani,lakini hukufanya hivyo,na mimi lengo langu na kazi yangu ikawa imeisha yaani nimemaliza.

Kitu kingine ukiwa huna hoja ni bora ukatulia,kuliko kuandika mambo ambayo huwezi kuyajengea hoja.

Nipo ....
 
Huwa najiuliza hivi huwa unasoma ninacho kiandika ? Jibi lipo kwenye aya hizo hizo,ndiyo maana kuna "challange" humo.

Kuna mambo mwanadamu hawezi kufanya ndiyo maana aya zika wazi jambo hilo.

Kadhalika kuna chain na ushahidi wa kihistoria juu jambo hilo.
Unajuaje katika mambo ambayo binadamu hawezi kufanya sio pamoja na kuthibitisha Mungu yupo kwasababu hayupo?

Unajuaje kua watu walivyoona kua binadamu ana huo udhaifu wakatumia kama mwanya kupenyeza habari za mungu ili kila atayetaka kujua ukweli apewe hizo aya kisha aambiwe "Kuna mambo mwanadamu hawezi kufanya ndiyo maana aya ziko wazi jambo hilo"

Lakini pia kama chain nayo ni ushahidi wa kihistoria unaoonesha ukweli wa jambo kwanini chain yako tu ya kihistoria kutoka dini ya kiislam iwe ya kweli halafu chain za dini zingine zisiwe za ukweli?
 
Lakini akili tu ikitafakari hicho kilicho andikwa lazima ikubali ya kuwa hayo ni maneno ya Allah.
Akili ikitafakari lazima itadai uthibitisho ku verify kama kweli hayo ni maneno ya Allah.
 
Unanipa shaka kuhusiana na elimu yako na uelewa wako kama hilo ndo jibu lako...

Qur'an ni maandiko ya nani ?... Mbona swali lipo clear kbs
hiyo link ndiyo ina jibu lako probably kama unatumia freebasics umeshindwa ku access hiyo source

lakini pia nilikuonesha kua sio mara ya kwanza kulikwepa hilo jibu hivyo nilitegemea tu usingeweza kulikubali jibu
 
Sasa ibaki wewe kukubali ila kukiri lazima ukiri,hata wapinzani wa zamani walikuwa wamewazidi nyinyi kwa mengi sana,walikuwa na maarifa,walikuwa wajuzi wa lugha,walikuwa wanakiri ila hawataki kufata sababu walikuwa wanayatafakari maneno hayo. Sasa nyinyi wa leo hamna vyote hivyo. Ndiyo maana hata tukiwapa shahidi elfu hamzikubali na hoja hamna.

Sasa natarajia ukija uje na ukosoaji na usahihi wa mambo,ila baada ya kuzifanyia kazi hizo aya.
Unataka nikiri kwa shurti bila uthibitisho?

Hiyo ni irrelevant ni sawa na mimi niseme haujui hata kuruka sarakasi ya ukutani hivyo haustahili kuhoji nini maana ya kung fu.

Kutokua mjuzi wa lugha sio kigezo cha kukufanya wewe ushindwe kuleta uthibitisho hapa
 
Umeniambia nisichokijua ni kwamba universe ina expand at a speed faster than that of light/

Kwanza sijui umejuaje sijui hili, halafu sielewi relevance yake, halafu, hii dhana ina makosa.

The expansion of the universe does not have a speed, it has speed per unit distance (km/sec/Megaparsec) which is frequency, you can't compare that to the speed of light which is simple speed (km/s)

See Ask Ethan: How Does The Fabric Of Spacetime Expand Faster Than The Speed Of Light?

"...But space itself is expanding, and that accounts for the overwhelming majority of the redshift we see. And space doesn't expand at a speed; it expands at a speed-per-unit-distance: a very different kind of rate. When you see numbers like 67 km/s/Mpc or 73 km/s/Mpc (the two most common values that cosmologists measure), these are speeds (km/s) per unit distance (Mpc, or about 3.3 million light-years).'
Kumbe wanasayansi wamegundua juzi,, Allah alishasema hayo kwenye Qur'an zaidi ya miaka 1400 iliyopita...
Hv nyie mnatumia akili zenu kweli ?

One of the most subtle discoveries in science concerns the expansion of universe, its
tendency constantly to extend its boundaries. This was something completely unknown to
the human being until the last century. This mystery is, however, mentioned by the Qur’an
in the following terms, which again bear witness to its remarkable profundity when
discussing such matters:
“We created the heavens with Our strength and power, and constantly expand
them”. (51:47)
 
Ndiyo maana nikakutaka uthubitishe na uniambie huyo ni nani,lakini hukufanya hivyo,na mimi lengo langu na kazi yangu ikawa imeisha yaani nimemaliza.

Kitu kingine ukiwa huna hoja ni bora ukatulia,kuliko kuandika mambo ambayo huwezi kuyajengea hoja.

Nipo ....
Nithibitishe vipi wakati wewe mwenyewe ulikiri kua haujui?
 
Kumbe wanasayansi wamegundua juzi,, Allah alishasema hayo kwenye Qur'an zaidi ya miaka 1400 iliyopita...
Hv nyie mnatumia akili zenu kweli ?

One of the most subtle discoveries in science concerns the expansion of universe, its
tendency constantly to extend its boundaries. This was something completely unknown to
the human being until the last century. This mystery is, however, mentioned by the Qur’an
in the following terms, which again bear witness to its remarkable profundity when
discussing such matters:
“We created the heavens with Our strength and power, and constantly expand
them”. (51:47)
Scars niambie nani aliandika hayo maneno kwenye Qur'an kuhusiana na expansion of universe zaidi ya miaka 1400 iliyopita ....

Qur'an ni maandiko ya nani ?

Hv mnatumia akili zenu kweli nyie Atheist ?
 
Liko wapi hilo jibu,, Ebu copy and paste hapa tuone hilo jibu

Kwanini nikatae kama ukiLeta jibu na uthibitisho sahihi ( valid proof ) ?

Qur'an ni maandiko ya nani ?
Hili swali ndo dawa yenu aisee,, hamchomoki
hiyo link nilioyokupa umeiona?
 
Scars niambie nani aliandika hayo maneno kwenye Qur'an kuhusiana na expansion of universe zaidi ya miaka 1400 iliyopita ....

Qur'an ni maandiko ya nani ?

Hv mnatumia akili zenu kweli nyie Atheist ?
 
Nimeiona na nimeifungua lakini sijaona jibu lolote kuhusiana na swali langu..
Ndo maana nikakwambia copy and paste hilo jibu utume humu,, yawezekana simu ina matatizo haijanionesha hilo jibu..

Haya nasubiri jibu..
Nigga are you blind?

sasa kama umeiona ukaifungua na kuiona tena lakini bado unasisitiza haujaona, unanihakikishia vipi kua copy and paste ntayoifanya saizi itakufanya uone?
 
Back
Top Bottom