Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unajuaje yupo huko kweli na habari za Mungu kuwapo huko si hadithi za kutungwa na watu tu?Huwezi kumlocate Mungu maana yeye yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter)