Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

The Qur'an and its contradictions: Some concrete examples | carm.org



hapo kuna contradictions zinakinzana na ww hapo juu!..
 
The very same way the universe comes from nothing!.
 
Nasubiri majibu ya maswali yangu.... Nani ameandika zile scientific facts ?
Na kama jibu ni Muhammad SAW,, alijuaje kipindi kile ? Na ikawaje amepata yote ?

Baada ya hapo nitakuja kukuchambulia hizo unazoziita contradictions,,
nlikuonesha kua Qur an imefanya guessing juu ya uumbaji wa mwanadamu kwa kuonesha nadharia zinazotofautiana, kwahyo hainizuii kusema hata huko kwingine ni kubahatisha tu, maana kuna sehemu imesema hvi, na kuna sehemu imesoma vile!.

1.What was man created from: blood, clay, dust, or nothing?

*“Created man, out of a (mere) clot of congealed blood,” (96:2).
*“We created man from sounding clay, from mud moulded into shape, (15:26).
*“The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: “Be”. And he was,” (3:59).
*“But does not man call to mind that We created him before out of nothing?” (19:67, Yusuf Ali).Also, 52:35).
*“He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer! (16:4).

2.Creation of the Heaven and Earth

Which one was created first? As you will see in the verses below, Allah at one time says that Earth was created first and another time he says that the Heaven was created first.

Quran 2: 29 It is He who hath created for you all things that are on Earth; THEN He turned to the Heaven and made them into seven firmaments (Skies)….

Quran 79: 27 - 30 Are you the harder to create, or is the heaven that He built? He raised the height thereof and ordered it; and He has made dark the night thereof, and He brought forth the morning thereof. And after that, He spread (flattened) the earth

Now, does it match modern science? Do you believe that, Earth was created first, after that, God created Heaven? Modern science tells us that? Or How come SEVEN firmaments (layers)? Modern science tells us that, actually there is no such thing Sky is no “roof” over us. It is only a space with no known boundary at all. These verses simply reinforce the ancient idea of ROOF over us which is called SKY, is it not so? How funny!

kutumia hyo mifano hai miwili, unaona kua koran iliandika options kadhaa ili ikikosea huku inapatia kule!

sasa ya nini kujinasibu kua aliandika 1400 years zilizopita kama alikua anaotea tu!?. hizo ni mbili tu nkiendelea kukuchambulia yanayofata ntakua napoteza nguvu maana inatosha kusema kua koran ilo bet na ukweli tu,.

Theory ya gravity ilianza tangu kwa socrates huko karne ya 4, isaac newton ni aliifanyia kazi karne ya 17 ila ilianza zamani sana kabla ya koran
 
Umeshindwa kutetea mfano wako..

Bado nasubiri mfano halisi wa Non-living thing kutengeneza living thing...
okay unataka mfano!?. rahisi tu ni kua chukua chakula kifungie kwenye chombo kisicho na kitu, then after 3 days fungua, utakuta funza!.. katoka wapi!? chakula ni living thing!?. ama utaniambia mungu kamuwekamo maana hamkawii kufikiria kwa kutumia makalio!
 
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Au longolongo tu bado?
 
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Au longolongo tu bado?
Mimi naweza thibitisho Mungu yupo japo toka nikuone na kukufuatilia humu JF nashindwaga kukuelewa na kuelewa maswali yako. Naomba unielewe unataka nikuthibitishiaje? Nipe Muongozo
 
Mimi naweza thibitisho Mungu yupo japo toka nikuone na kukufuatilia humu JF nashindwaga kukuelewa na kuelewa maswali yako. Naomba unielewe unataka nikuthibitishiaje? Nipe Muongozo
Thibitisha Mungu yupo kwa namna ambayo.

1. Inaelezeka kimantiki. Ukisema kitu ambacho hakina mlolongo wa maelezo ya kimantiki, kama "maisha ni uthibitisho kwamba Mungu yupo" au "ushuhuda wangu ni uthibitisho kwamba Mungu yupo" hayo ni mahubiri, si uthibitisho.

2. Thibitisha kwa njia ambayo inaweza kurudiwa na wengine wakapata matokeo yaleyale. Ukisema "Nimepanda Mlima Kilimanjaro nikakutana na Mungu akanithibitishia yeye ni Mungu kwa sababu hii na hii" uweze kuwapa wengine hatua ulizopitia wazifuatishe hivyo hivyo kuthibitisha Mungu yupo na anaweza kuthibitika na wengine, si wewe na washabiki wenzako tu.

3. Ukisema "Mungu yupo kwa sababu Biblia/Quran etc vimeandika yupo" au "Mtume fulani kasema" hayo ni mahubiri, si uthibitisho.

4. Ukisema unathibitisha Mungu ambaye ana contradiction, huo si uthibitisho, huo ni utata ambao hujautatua. Kwa mfano, ukisema kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaumba ulimwengu ambao watu wanakufa sana, wanaugua sana, wanapigwa na majanga ya kiasili kila siku, wanatenganishwa na wapendwa wao, wanazaliwa na vilema vya maisha, wanaishi kwa tabu sana, watoto wadogo wanajiuza miili ili kupata mlo wa siku tu, Mungu huyo hujathibitisha kuwepo kwake kwa sababu hujatatua contradiction katika uwepo wake.

5. Ukijificha nyuma ya pazia kwamba Mungu haeleweki kwa akili ya kibinadamu hapo hujathibitisha Mungu yupo, unathibitisha kwamba hujui unachoongelea. Zaidi, yeyote anaweza kusema uingo wowote ni ukweli ila haueleweki kwa akili ya kibinadamu tu.

6. Uthibitisho wako wa Mungu unatakiwa usiweze kukanushika. Ukiweza kukanukisha huyo si Mungu ni hadithi tu.

7.Uthibitisho wako wa Mungu uweze kujibu swali lolote kuhusu ulimwengu ulivyo, pamoja na kujibu kwa nini Mungu kaachia ulimwengu uwe na watu wenye tofauti kubwa sana kwenye dini, hata wale wanaotaka kukubali uwepo wake na kumuabudu wamegawanyika kimsingi kutokana nandini za baba zao, wanapigana mpaka vita kwa jina la Mungu. Mungu kashindwa kumaliza vita hata kwenye masuala ya dini?

8. Uthibitisho wako utueleze kwa nini Mungu hakuweka habari zake zote kwenye DNA kila mtu akizaliwa amjue Mungu bila kuhitaji mhubiri, mtume, kitabu wala kujua Kiarabu, Kiyahudi au Kiyunani au Kimakonde kumjua Mungu.

9. Uthibitisho utueleze tutahakiki vipi kimantiki kwamba habari za kuwepo Mungu ni za kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu.

10.Uthibitisho utueleze inakuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote, anayegawa uelewa kwa watu, anayewapa akili za kumjua anaowataka, na kuwanyima anaotaka, aende kuhukumu watu ambao hawajamuelewa, kwa kuwa hajawapa uelewa wa kumjua?
 
nikununulie miwani ukaisome hyo poat vizuri!?. nlipewa angalizo kua kuna vipofu humu,ila naona ni muda wa kulizingatia
Hujaonyesha,na kuna maswali mengine zaidi ya sita nimekuuliza najua umeuakimbia.
 
1. Inaelezeka kimantiki. Ukisema kitu ambacho hakina mlolongo wa maelezo ya kimantiki, kama "maisha ni uthibitisho kwamba Mungu yupo" au "ushuhuda wangu ni uthibitisho kwamba Mungu yupo" hayo ni mahubiri, si uthibitisho.
Mantiki ni nini na kwanini iwe mantiki na isiwe uhalisia na ubainifu ?

Mahubiri ni nini na kwa vipi yasiwe uthibitisho...?
Uozo mwingine naona umesahau unataka uthibitishiwe nini. Katika kitu mnachofeli na nineshawahi kuwaambis zaidi ya mara tatu, ni utoaji wa mifano,yaani mnatoa mifano ambayo hailingani na kile kinachopigiwa mfano.

Suala la ithibati juu ya Mola ni suala jepesi sana na si la kimchakato,linahitaji tafakari na kuchukua hatua.
 
Thibitisha Mungu yupo. Acha longolongo.
 
3. Ukisema "Mungu yupo kwa sababu Biblia/Quran etc vimeandika yupo" hayo ni mahubiri, si uthibitisho.
Vipi yawe mahubiri na si uthibitisho ?

Mathalani Qur'aan inasema :

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)

Hii aya imethibitisha uwepo wa Allah. Sasa thibitisha kama huu si uthibitisho na ujibu swali hilo.
 
Thibitisha Mungu yupo. Acha longolongo.
Nimecheka sana,hapo hakuna longo longo. Longo longo unaleta wewe kwa kurudia nukta moja zaidi ya mara sita na kubadilisha namba tu.

Jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Mzee unataka nikuthibitishie Mungu kwa namna upendavyo wewe na sio nipendavyo wala utaratibu ulivyo. Umejifunga fikra bro hutaki mawazo mbadala. Leo ndio nimejua tatizo lako. Ebu ndugu yangu@kiranga acha moyo wako wazi bro naamini Mungu atajifunua kwako. Mimi nilikuwa kama wewe. Nimekulia Lutheran, nimeshiriki sakrament zote za Kilutheli ila Dunia ikaja niyumbisha na nikakana uwepo wa Mungu tokana na baadhi ya fikra za kibinadamu zilizokuwa zinanitatiza na hoja za kisayansi kwa elimu yangu ya kidunia wakati huo. Lakini pamoja na yote niliachilia moyo wangu wazi na Mungu kujifunua kwangu hadi sasa namtumikia.

Nakushauri Mpendwa, ebu acha moyo wako wazi ili Mungu aseme nawe. Wewe ni wa thamani sana mbele yake. Anakupenda na kuthamini. Maswali na vigezo unavyotumia kutaka uthibitisho wa Mungu ni vya kitoto zaidi kwani ulimwengu wa Roho ni tofauti na ulimwengu wa Mwili.
 
Hskuna siku uliyo weza kuonyesha "contradictions" na ukazijengea hoja zaidi ya ku copy na ku paste,hili najua huliwezi mpaka unakufa.

Hapa unabaki kuwa muongo na mbabaishaji. Sasa usilete ubabaishaji weka hoja na ujibu hoja.
 
Nimecheka sana,hapo hakuna longo longo. Longo longo unaleta wewe kwa kurudia nukta moja zaidi ya mara sita na kubadilisha namba tu.

Jibu maswali niliyo kuuliza.
Huyu anajifanyisha na maswali yake ni ya upande mmoja na hataki jifunza kwa wengine. Maswali na logic zake ni za kitoto pia anashindana na hataki kuelewa wala kueleweshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…