Nakufahamisha kuna level mbili za kuumba/kuunda
1. Uwezo wa uumbaji wa MUNGU
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Uwezo wa uumbaji wa Mungu
Huu ni uwezo wa uumbaji ambao anao Mungu pekee, katika uwezo huu Mungu ameumba ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited from time, space and matter) kama malaika n.k na ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter) kama sayari zote, jua, mwezi na nyota zote, vimondo, hewa, madini, gas na mafuta ardhini, mito, maziwa na bahari, samaki wa kila aina, ndege wa kila aina, mimea, nafaka, miti na matunda, wanyama wa kila aina na binadamu (mpaka wewe
Scars ,
Kiranga n.k )
NB:UWEZO HUU WA UUMBAJI ANAO MUNGU PEKEE
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Huu ni uwezo ambao Mungu baada ya kumuumba binadamu akamuwekea akilini mwake, kupitia uwezo huu binadamu akaweza kuunda vitu kama magari, meli, nyumba, treni, ndege za angani, pikipiki, vitabu, peni, meza, viatu n.k
NB: KATIKA UWEZO HUU WA KIBINADAMU, HAUWEZI KUFANYIKA BILA KUTUMIA MALIGHAFI(RESOURCES) ALIZOZIUMBA MUNGU KABLA YA BINADAMU KUUBWA.
Kivipi,
Utaunda gari utatumia madini ya chuma, mafuta , waya nk as ingredients
utaunda meza utatumia mbao zitokanazo na miti aliyoumba Mung n.k
HIVYO,
Kushindwa kwa mtu kuumba kama katika level 1(
Uwezo wa uumbaji wa Mungu) kunathibitisha MUNGU PEKEE NDIE ALIYEUMBA.