Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Jibu nalijua, lipo ndani ya lile swali ambalo umelikwepaNasikitika kusema bado unakwepa kujibu swali Mkuu.
Kama unalijua jibu naomba uniambie/utuambie.
Kama haujui jibu pia naomba uniambie/utuambie.
Unakubali kua SNDANGUJA yupo?