Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Mhu! Kukariri nadharia tu ni shida sana. Wewe ukiuliza swali unataka ujibiwe na linakuwa 'always relevant question'. Wengine wakiuliza, hawajaelewa na 'always wanauliza irrelevant questions au upumbavu'. Hapa tunalishwa matango pori.
Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.

Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.
 
Ndio ni lazima ni lazima ni lazima viwe vimeundwa.

Kwanini?
1. Mwenye uwezo wa kuviunda ni MUNGU PEKEE
Hapa ume assume
2. Kama nyie Atheist mnavyosema havijaundwa na Mungu, niambie vimetokeaje (Formation) yake/?
Umezaliwa humjui mama yako, umekua ukaanza ufanya kjitihada za kumtafuta. Ukaletewa kitoto cha nursery cha miaka minne kua ndio mama yako mzazi, afu ukaambiwa kama unabisha kua huyo sio mama yako mzazi tuambie umejizaa mwenyewe?

Utakubali kua mtoto huyo ni mama yako mzazi kwasababu haiwezekani ukawa umezaliwa bila mama?
Nakufahamisha kuna level mbili za kuumba/kuunda
1. Uwezo wa uumbaji wa MUNGU
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu

Uwezo wa uumbaji wa Mungu
Huu ni uwezo wa uumbaji ambao anao Mungu pekee, katika uwezo huu Mungu ameumba ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited from time, space and matter) kama malaika n.k na ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter) kama sayari zote, jua, mwezi na nyota zote, vimondo, hewa, madini, gas na mafuta ardhini, mito, maziwa na bahari, samaki wa kila aina, ndege wa kila aina, mimea, nafaka, miti na matunda, wanyama wa kila aina na binadamu (mpaka wewe Scars , Kiranga n.k )

NB:UWEZO HUU WA UUMBAJI ANAO MUNGU PEKEE

2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Huu ni uwezo ambao Mungu baada ya kumuumba binadamu akamuwekea akilini mwake, kupitia uwezo huu binadamu akaweza kuunda vitu kama magari, meli, nyumba, treni, ndege za angani, pikipiki, vitabu, peni, meza, viatu n.k

NB: KATIKA UWEZO HUU WA KIBINADAMU, HAUWEZI KUFANYIKA BILA KUTUMIA MALIGHAFI(RESOURCES) ALIZOZIUMBA MUNGU KABLA YA BINADAMU KUUBWA.

Kivipi,
Utaunda gari utatumia madini ya chuma, mafuta , waya nk as ingredients
utaunda meza utatumia mbao zitokanazo na miti aliyoumba Mung n.k

HIVYO,
Kushindwa kwa mtu kuumba kama katika level 1(Uwezo wa uumbaji wa Mungu) kunathibitisha MUNGU PEKEE NDIE ALIYEUMBA.
Mi nimeongelea kuhusu pazi aliyebebwa na jogoo kichwa chini miguu juu na jogoo mdomoni, na uthibitisho wa ku prove kua tukio hilo lilifanyika na mtu huyo yupo ni kutokana na kushindwa kwako kubebwa na jogoo, hapo nitakua nimethibitisha pazi na jogoo pamoja na tukio hilo ni habari za kweli?
Ndio ni lazima viwe na chanzo, vitu vilivyo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho (The limited universe to time, space and matter) vinawezaje kuwepo bila kuwa na chanzo?
kwani kuna aina ngapi za ulimwengu mpaka useme "ulimwengu unaoonekana"
Haiwezekani, kama inawezekana onesha au tuelezee inawezekanaje
ukikubali kua chochote ambacho kipo ni lazima kiwe na chanzo utajikuta unaingia kwenye jukumu la kutafuta chanzo cha mungu. Lakini kama chanzo ni unnecessary why ulimwengu usiwe hauna chanzo?
Vinathibitisha kama ifuatavyo :-

Nakufahamisha kuna level mbili za kuumba/kuunda
1. Uwezo wa uumbaji wa MUNGU
2. Uwezo wa uundaji wa binadamu

Uwezo wa uumbaji wa Mungu
Huu ni uwezo wa uumbaji ambao anao Mungu pekee, katika uwezo huu Mungu ameumba ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited from time, space and matter) kama malaika n.k na ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter) kama sayari zote, jua, mwezi na nyota zote, vimondo, hewa, madini, gas na mafuta ardhini, mito, maziwa na bahari, samaki wa kila aina, ndege wa kila aina, mimea, nafaka, miti na matunda, wanyama wa kila aina na binadamu (mpaka wewe Scars , Kiranga n.k )
hizi ni myths
NB:UWEZO HUU WA UUMBAJI ANAO MUNGU PEKEE

2. Uwezo wa uundaji wa binadamu
Huu ni uwezo ambao Mungu baada ya kumuumba binadamu akamuwekea akilini mwake, kupitia uwezo huu binadamu akaweza kuunda vitu kama magari, meli, nyumba, treni, ndege za angani, pikipiki, vitabu, peni, meza, viatu n.k

NB: KATIKA UWEZO HUU WA KIBINADAMU, HAUWEZI KUFANYIKA BILA KUTUMIA MALIGHAFI(RESOURCES) ALIZOZIUMBA MUNGU KABLA YA BINADAMU KUUBWA.

Kivipi,
Utaunda gari utatumia madini ya chuma, mafuta , waya nk as ingredients
utaunda meza utatumia mbao zitokanazo na miti aliyoumba Mung n.k

HIVYO,
Kushindwa kwa mtu kuumba kama katika level 1(Uwezo wa uumbaji wa Mungu) kunathibitisha MUNGU PEKEE NDIE ALIYEUMBA.
swali langu lilisema "hivyo vitu vinathibitishaje kua vimeumbwa na mungu?"
Mungu ameumba binadamu wa kwanza ME na KE ili waijaze dunia, akawawekea uwezo katika akili wa kujitambua, binadamu hao hao kwa lifestyle yao mbovu wakasababisha matatizo duniani,

poor lifestyle in eating
poor moral lifestyle
war effects
poor medications
n.k

Kosa la Mungu ni nini hapo ikiwa alishaumba binadamu kamili, binadamu mwenyewe kwa lifestyle yake mbovu ikasababisha matatizo duniani, Mungu ana kosa gani hapo?

Unavuta sigara, unakunywa pombe, huli mlo kamili n.k Hilo ni kosa la Mungu au lako binadamu?
unafikiri mabaya ni kuvuta sigara tu?

Mafuriko na Matetemeko yanayoua hadi watoto utamlaumu binadamu?

Mkuu wewe unaweza kutembea bila nguo mtaani kama wanyama?
kwa mafundisho yenu, adam na hawa walikua pale eden walikua wanavaa nguo gani?

Ok, labda evidence nilizoziandika hapa akili yako haitaki kuelewa kwa makusudi.
rhetorical unaita evidence?
Evidence ya kwanza ni wewe Scars (kwasababu wewe ni BINADAMU) umeumbwa na Mungu
Mi sijaumbwa usinilazimishe niwakane wazazi wangu
Evidence zingine, unaweza kwa muda wako ukatoka nje kama ni usiku au mchana alafu ukaangalia jua, nyota, mwezi, mimea ardhini, miti na matunda, nafaka na mimea mbalimbali, mito, maziwa na bahari, samaki, ndege, wanyama, binadamu wenzio n.k
Nami nikikuambia nenda kwa wafugaji wa kuku kaangalie majogoo, nitakua nimekuthibitishia jogoo aliyembeba mtu aitwae pazi yupo?
Hizo ni Evidence.
kama ambavyo evidence ya jogoo inavyothibitisha uhalisia wa tukio la pazi kubebwa kichwa chini miguu kuwa ni kweli
Kwa kauli yako hiyo nahitaji kujua:-

Wewe haujui hivyo vitu vimetokeaje?
the same question you should ask yoself

just because you dont know who is your real biological mom,, does it somehow mean a five years old kid is your mom?
 
Ngoja niondoke na hii nukta.

Unaweza kutueleza uhusiano wa huu mfano wako na nadharia ya uumbaji wa Mola ?

Usipoweza kuhusianisha itamaanisha swali lako ni la uongo na la uzushi.
 
Unaukiza maswali irrelevant.

Nikikwambia sijui jibubla hata swali moja katibya hayo lakini najua jibubsi Mungu.

Kama ambavyo naweza kuwa sijui square root ya 2 ni nini, lakini najua si 10, utasemaje?

Unaelewa kwamba sihitaji kuelewa jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi?

Unajua kwamba sihitaji kujua umri wa mama yako mzazi ili kujua kwamba wewe hujamzidi umri?

Maswali yako ni sawa na kubishana na mimi, unaniambia wewe ni mkubwa kuliko mama yako mzazi.

Mimi nakwambia kitu hicho hakiwezekani. Kwa sababu kita cintrqdict ukweli kwamba huyo ni mama yaki mzazi.

Wewe unanijibu kwa kuniuliza umri wa mama yako mzazi ni umri gani.

Mimi nakwambia, hata bila ya kujua umri wa mama yako mzazi, ukweli kwamba huyo ni mama yako mzazi unamaliza mjadala wa nani mkubwa kati yake na wewe, huwezi kuwa mkubwa kuliko mama yako mzazi.

Bado unang'ang'ania nikupe umri wa mama yako mzazi.

Ukiendelea na ujinga huu nitashindwa kujadiliana nawe na kukuunganisha ignore list hata nisione unachoandika.

Sina muda wa kujadili upumbavu over and over again.

That is my first and last warning.
Umeniuliza maswali mengi nimekujibu, sijakimbia swali hata moja kwa kujificha katika dhana yako dhaifu ya irrelevant

Why hilo swali unalikimbia kulijibu?

Mbona nyie Atheist mnauliza maswali tunawajibu.

Kama hulijui hilo swali, nahitaji kupata confirmation kutoka kwako.

Usinitishe kwa maneno ya kupanic eti unanipa last warning, kwanini upanic katika mjadala?

Unasema utaniweka katika ignore list, why uniweke kwenye ignore list ikiwa hujanipa majibu? Nini maana yake. Je umeshindwa mjadala na mimi?

Nahitaji kufahamu,

Wewe haujui majibu ya swali kwenye post #584?
 
Hapa ume assume

Umezaliwa humjui mama yako, umekua ukaanza ufanya kjitihada za kumtafuta. Ukaletewa kitoto cha nursery cha miaka minne kua ndio mama yako mzazi, afu ukaambiwa kama unabisha kua huyo sio mama yako mzazi tuambie umejizaa mwenyewe?

Utakubali kua mtoto huyo ni mama yako mzazi kwasababu haiwezekani ukawa umezaliwa bila mama?

Mi nimeongelea kuhusu pazi aliyebebwa na jogoo kichwa chini miguu juu na jogoo mdomoni, na uthibitisho wa ku prove kua tukio hilo lilifanyika na mtu huyo yupo ni kutokana na kushindwa kwako kubebwa na jogoo, hapo nitakua nimethibitisha pazi na jogoo pamoja na tukio hilo ni habari za kweli?

kwani kuna aina ngapi za ulimwengu mpaka useme "ulimwengu unaoonekana"

ukikubali kua chochote ambacho kipo ni lazima kiwe na chanzo utajikuta unaingia kwenye jukumu la kutafuta chanzo cha mungu. Lakini kama chanzo ni unnecessary why ulimwengu usiwe hauna chanzo?

hizi ni myths

swali langu lilisema "hivyo vitu vinathibitishaje kua vimeumbwa na mungu?"

unafikiri mabaya ni kuvuta sigara tu?

Mafuriko na Matetemeko yanayoua hadi watoto utamlaumu binadamu?

kwa mafundisho yenu, adam na hawa walikua pale eden walikua wanavaa nguo gani?

rhetorical unaita evidence?

Mi sijaumbwa usinilazimishe niwakane wazazi wangu

Nami nikikuambia nenda kwa wafugaji wa kuku kaangalie majogoo, nitakua nimekuthibitishia jogoo aliyembeba mtu aitwae pazi yupo?

kama ambavyo evidence ya jogoo inavyothibitisha uhalisia wa tukio la pazi kubebwa kichwa chini miguu kuwa ni kweli

the same question you should ask yoself

just because you dont know who is your real biological mom,, does it somehow mean a five years old kid is your mom?
In summury:-

Kila kilichopo katika ulimwengu huu tunaoishi ulio-limited to time, space and matter lazima kiwe kimeundwa na muundaji. Mfano gari limeundwa na muundaji n.k

Naomba kufahamu formation ya swali lifuatalo:-

Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
 
Umeniuliza maswali mengi nimekujibu, sijakimbia swali hata moja kwa kujificha katika dhana yako dhaifu ya irrelevant

Why hilo swali unalikimbia kulijibu?

Mbona nyie Atheist mnauliza maswali tunawajibu.

Kama hulijui hilo swali, nahitaji kupata confirmation kutoka kwako.

Usinitishe kwa maneno ya kupanic eti unanipa last warning, kwanini upanic katika mjadala?

Unasema utaniweka katika ignore list, why uniweke kwenye ignore list ikiwa hujanipa majibu? Nini maana yake. Je umeshindwa mjadala na mimi?

Nahitaji kufahamu,

Wewe haujui majibu ya swali kwenye post #584?
Unasema wewe ni mkubwa kuliko mama yako mzazi, nikikwambia kitu hicho hakiwezekani, unaniuliza umri wa mama yako ni umri gani.

Nakwambia hata nisipoujua umri wa mama yako, wewe huwezi kuwa mkubwa kuliko mama yako mzazi, hiyo ni contradiction.

Unarudia kutaka nikujibu umri wa mama yako ni miaka mingapi.

Ndiyo ujinga unaouendeleza hapa.

Nakupeleka ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post zako.

Hujafikisha viwango vya mjadala wa kueleweka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unasema wewe ni mkubwa kuliko mama yako mzazi, nikikwambia kitu hicho hakiwezekani, unaniuliza umri wa mama yako ni umri gani.

Nakwambia hata nisipoujua umri wa mama yako, wewe huwezi kuwa mkubwa kuliko mama yako mzazi, hiyo ni contradiction.

Unarudia kutaka nikujibu umri wa mama yako ni miaka mingapi.

Ndiyo ujinga unaouendeleza hapa.

Nakupeleka ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post zako.

Hujafikisha viwango vya mjadala wa kueleweka.
Hakuna sehemu niliyosema mimi ni mkubwa kuliko mama yangu.

Ninachohitaji ni majibu ya swali kwenye post #584

Majibu mpaka sasa haujanipa. Katika ulimwengu tunaoishi ulio limited to time, space and matter ni lazima chochote kilichopo kiwe kimeundwa na muundaji.

Nimehitaji unipe majibu ya swali kwenye post #584, mpaka sasa haujanipa majibu

Umeishia kupata hasira na kupanic kwanini upanic? Kwenye mjadala?

Unasema unaniweka ignore list while haujanipa majibu, hii nitaichukulia kama ifuatavyo:-

1. UMESHINDWA KUNIPA MAJIBU YA HILO SWALI KWENYE POST #584 NA HAUJUI KABISA FORMATION YA HIVYO VITU.

2. KAMA UMESHINDWA KUNIPA MAJIBU HAUFAI KUWA ATHEIST

Kwanini?
Unawezaje kusema Hakuna uwepo wa Mungu, ikiwa haujui formation ya hivyo vitu?

Mwisho: Ukiniweka katika IGNORE LIST, unakuwa umeninyima haki yangu ya msingi ya kukuhoji, kama ambayo mimi sijakuweka katika ignore list ili kukupa haki ya kunihoji. LAKINI PIA TAFSIRI YA MWISHO KABISA UKINIWEKA IGNORE LIST UNAKUWA UMESHINDWA MJADALA.

NB: KAMA UMESHINDWA MJADALA HUNA MANDATE YA KUWA ATHEIST NA HUNA MANDATE YA KUSEMA HAKUNA UWEPO WA MUNGU.

Asante.
 
Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.

Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.
Hakuna nadharia niliyokariri na sijatumia nadharia yoyote katika posts zangu kama wewe unavyofanya kwa kutumia nadharia ya Einstein na nje ya mawazo yake unapotea njia. Mimi naamini Mungu yupo na siwezi ku'prove' kwako kuwepo kwake kwa kutumia methodolojia ya sayansi, naweza ku'prove' kwako kwa methodolojia ingine, ambayo wewe kwenye post yako mojawapo umesema huikubali. Na hata kama huikubali, you are not the measure or the criterion of truth. Hivyo, kutokubali kwako hakufanyi methodolojia yangu isiwe ya kweli.
 
Kiranga Ameniweka katika ignore list, ikimaanisha ameshindwa kunipa majibu na ameshindwa mjadala, naendelea kusubiri majibu ya swali kwenye post #584 kutoka kwa atheist wengine kina Scars n.k
 
Mhu! Kukariri nadharia tu ni shida sana. Wewe ukiuliza swali unataka ujibiwe na linakuwa 'always relevant question'. Wengine wakiuliza, hawajaelewa na 'always wanauliza irrelevant questions au upumbavu'. Hapa tunalishwa matango pori.
Mkuu, jamaaa amepanic na kushindwa kutoa majibu, ameshindwa mjadala lakini nilishajua tangu mwanzo na kutoa tahadhari kwamba atheist huwa wanakimbia sana kujibu maswali, lakini wao maswali yao tunawajibu.

NB: Atheist yoyote anayeshindwa kutuambia formation ya vitu nilivyouliza kwenye post #584, HANA SIFA YA KUWA ATHEIST.

Kwanini?
Kama wao wanasema hakuna uwepo wa Mungu na hivyo vitu havijaumbwa na Mungu, SASA BASI WATUAMBIE FORMATION YA HIVYO VITU VILITOKEAJE?

Ikiwa hivyo vitu vipo katika ulimwengu ulio-limited to time, space and matter. Ulimwengu ambao chochote kilichopo lazima kiwe kimeundwa na muundaji.
 
Hakuna nadharia niliyokariri na sijatumia nadharia yoyote katika posts zangu kama wewe unavyofanya kwa kutumia nadharia ya Einstein na nje ya mawazo yake unapotea njia. Mimi naamini Mungu yupo na siwezi ku'prove' kwako kuwepo kwake kwa kutumia methodolojia ya sayansi, naweza ku'prove' kwako kwa methodolojia ingine, ambayo wewe kwenye post yako mojawapo umesema huikubali. Na hata kama huikubali, you are not the measure or the criterion of truth. Hivyo, kutokubali kwako hakufanyi methodolojia yangu isiwe ya kweli.
Umekariri nadharia ya kuwepo Mungu, na huwezi kuthibitisha yupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Ngoja niondoke na hii nukta.

Unaweza kutueleza uhusiano wa huu mfano wako na nadharia ya uumbaji wa Mola ?

Usipoweza kuhusianisha itamaanisha swali lako ni la uongo na la uzushi.
Tatizo macho
 
In summury:-

Kila kilichopo katika ulimwengu huu tunaoishi ulio-limited to time, space and matter lazima kiwe kimeundwa na muundaji. Mfano gari limeundwa na muundaji n.k

Naomba kufahamu formation ya swali lifuatalo:-

Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
Hilo ni jibu ambalo huja ambapo umeweka dhana kichwani kua kuna super intelligent being aliye facilitate. Jibu hili labda irrational thinker ndo atakua willing kulikubali. Kwasababu pemise ya hoja ni infinite chain haina jibu la hitimisho

Ikiwa sijui formation ya hivyo vitu, itathibitisha sijui jibu haitathibitisha mungu ndio jibu

Ni kama vile ambavyo wewe humjui SNDANGUJA.. Au unamjua?

Unaweza kuthibitisha SNDANGUJA yupo? Unaweza kuthibitisha hayupo?

Well, kama huwezi haimaanishi hayupo, kwasababu yuko kichwani mwangu ameniambia yeye ndio muumba wa huyo mungu wako na sio kweli kua mungu wako ndo kaumba huu ulimwengu

Ushahidi wa kuonesha kua kaumba ulimwengu ni kupitia na vitu vilivyomo ndani ya ulimwengu

Na kwakuthibitisha kuwa SNDANGUJA yupo kihalisia nitamuacha aandike mstari wa mwisho kwenye hii post

MIMI NI SNDANGUJA MUUMBA WAKO NAONGEA KUPITIA SCARS UNATAKIWA KUTUMA 8,000,000 KWA SCARS HARAKA IWEZEKANAVYO
 
Bado haujanijibu mkuu, umenipa tu maelezo ambayo hayana majibu, na mimi nahitaji majibu. Usiseme neno 'ikiwa sijui'

Kama unafahamu jibu nipe majibu na kama haufahamu jibu pia niambie sifahamu.
 
Nimekujibu hapa, nisome kiumakini

Ni kama vile ambavyo wewe humjui SNDANGUJA.. Au unamjua?

Unaweza kuthibitisha SNDANGUJA yupo? Unaweza kuthibitisha hayupo?

Well, kama huwezi haimaanishi hayupo, kwasababu yuko kichwani mwangu ameniambia yeye ndio muumba wa huyo mungu wako na sio kweli kua mungu wako ndo kaumba huu ulimwengu

Ushahidi wa kuonesha kua kaumba ulimwengu ni kupitia na vitu vilivyomo ndani ya ulimwengu

Na kwakuthibitisha kuwa SNDANGUJA yupo kihalisia nitamuacha aandike mstari wa mwisho kwenye hii post

MIMI NI SNDANGUJA MUUMBA WAKO NAONGEA KUPITIA SCARS UNATAKIWA KUTUMA 8,000,000 KWA SCARS HARAKA IWEZEKANAVYO
 
Hakuna nadharia niliyokariri na sijatumia nadharia yoyote katika posts zangu kama wewe unavyofanya kwa kutumia nadharia ya Einstein na nje ya mawazo yake unapotea njia. Mimi naamini Mungu yupo na siwezi ku'prove' kwako kuwepo kwake kwa kutumia methodolojia ya sayansi, naweza ku'prove' kwako kwa methodolojia ingine, ambayo wewe kwenye post yako mojawapo umesema huikubali. Na hata kama huikubali, you are not the measure or the criterion of truth. Hivyo, kutokubali kwako hakufanyi methodolojia yangu isiwe ya kweli.
Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.

Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.
 
Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.

Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.

Kama wewe hujakariri nadharia, thibitisha Mungu yupo.

Ukishindwa, na wewe umekariri nadharia pia hivyo unaposhambulia waliokariri nadharia unashambulia kijinga,kwa sababu hata wewe umekariri nadharia.
Nilishakwambia huwezi mijadala kwa sababu hoja zako ni theories za watu wengine na uko rigid sana kuelewa wengine wanasema nini. Unataka ushinde hoja kwa nguvu zote. Kwenye post yako mojawapo umedai au rather ume'paraphrase' anayodai Einstein. Umesema: "By the way, watu wanaweza challenge Einstein's Relativity succesfully na 'time ikabaki kuwa illusion' kwa sababu ya Quantum Physics." Lakini hujathibitisha hii claim yako ili ionekane hivyo kama wewe unavyotaka nithibitishe kuwepo kwa Mungu kwa wewe kumwona kwa macho yako.
 
Hayo maandishi unayotumia tu ni nadharia za watu wengine.

Au ulitunga wewe alphabet?

Tunga maandishi yako, uyatumie kwenye internet yako utujulishe kwamba hutumii nadharia za watu wengine.

Wewe ngumbaru unaelewa kwamba ukitumia internet tu umeshatumia nadharia za Einstein?
 
Back
Top Bottom