Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Ni nini hakika?
Kinachoweza kuhakikiwa na kuthibitishika, meanwhile kisicho thibitishika hakiwezi kuhakikiwa

Kwa maana hiyo ukisema kitu fulani kipo katika imani hakithibitishiki tutakubaliana kua kitu hicho kisichokua na uthibitisho hakina hakika?
 
Ok sawa nimekuelewa.

Sasa kwanini unataka uthibitishiwe Mungu(kitu cha imani) hali unajua hakuna uthibitisho?
 
Sasa ulivyokua unauliza mungu gani ulikua una maanisha nini?

Anyway

Kwa mujibu wa hicho chanzo kilichomzungumzia mungu allah, kilimfafanuaje allah?
We nae acha uboya

Haya maswali wewe mwenyewe unaweza ukagoogle ukapata majibu,
Kisha uje upingane na hoja. Naona unarukaruka kwa kuuliza maswali ya kupoteza muda wa watu ile waache kukujibu kisha ujitangaze bingwa wa mjadala huu.
 
Labda utakuwa huelewi unachokiuliza kijana, nimekwambia kuwa Uislamu umemuelezea Allah ambaye uislamu humtambua kuwa ndio Mungu. Kwahiyo ukiniambia nimuelezee Mungu kwa mujibu wa uislamu maana yake moja kwa moja tunakuwa tunamuelezea Allah na si vinginevyo.
Ndugu naona unamuelezea vizuri sana ili aelewe lakini nakushauru usipoteze muda wako katika mabishano ambayo hayana suluhu na mwisho wa siku kila mtu atabaki katika kile anachokiona ni cha sawa.

Huyu mtu ni Laabu.
 
Ok sawa nimekuelewa.

Sasa kwanini unataka uthibitishiwe Mungu(kitu cha imani) hali unajua hakuna uthibitisho?
Kwa hiyo unakubali kua kilicho katika imani maana yake hakina hakika?
 
We nae acha uboya

Haya maswali wewe mwenyewe unaweza ukagoogle ukapata majibu,
Kisha uje upingane na hoja. Naona unarukaruka kwa kuuliza maswali ya kupoteza muda wa watu ile waache kukujibu kisha ujitangaze bingwa wa mjadala huu.
Unaweza kutumia hiyo google ku google uthibitisho wa kuonesha mungu yupo ukauweka hapa wote tuuone?
 
Akili yako haipo sawa mahali.

Kama ina majibu si ungegoogle hayo maswali yako kisha ulete hoja.
Mbona unajichanganya mwenyewe, hapo juu umesema huwezi ku google majibu ya uthibitisho unao onesha mungu yupo, saizi unanilaumu tena mimi kwa kuto-google majibu ya maswali, nikueleweje?

Mimi sifahamu kama google ina majibu, we kama umeyaona huko basi yalete hapa, mi nitakua nauliza maswali yangu afu we utakua unaenda huko kuyachukua

Tukubaliane hapo kwanza
 
Hujajibu swali langu nililouliza, na swali ulilojibu sijauliza.

Nikikukublia yote uliyoandika 100%.

Halafu nikakuuliza swali langu.

Kwamba.

Nikikwambia mimi ndiye Mungu mwenyewe, una uwezo wa kuthibitisha au kutothibitisha hilo?

Utajibu vipi?

Tujibizane kwa kutaka kuelewana na kuendeleza mjadala wa kimantiki.
Kama wewe ndiye Mungu mwenyewe na unayodai ni ya "kweli kabisa", basi kutokana na huo "ukweli kabisa" wewe ni Mungu. Ila siwezi kuthibitisha kuwa upo au haupo, isipokuwa tu kutokana na wewe kusema "ukweli kabisa" na "ukweli mtupu" na "usio na chembe ya uwongo", basi kwa msingi huo naamini wewe ni Mungu. Kwa mantiki hiyo, kama unachosema siyo "ukweli kabisa" na wewe unajua "siyo Mungu kabisa" na unachosema ni "uwongo mtupu" katika hayo unayoyasema, basi imani yangu ni ya kimakosa maana umeniaminisha kitu kisicho kweli na kisicho kuwepo. Kuna siku niliwahi kusema kwamba kila mmoja wetu ana imani. Nikatoa mfano kwamba ukitoka mfano Dar es Salaam kwenda Dodoma na kuiacha familia yako Dar es Salaam, ukifika Dodoma na kupiga simu kuwajulia hali nyumbani, ina maana unaamini kwamba familia yako - mke na watoto - uliowaacha nyumbani ni wazima/hai. Kama usingekuwa unaamini kuwa ni wazima/hai usingeweza kuwapigia simu. Kwa sababu huenda mara tu ulipotoka nyumbani walivamiwa na kuuliwa au moto ulizuka ukaunguza nyumba na wote wakafariki kwenye hiyo ajali ya moto. Ungeamini hivyo, basi ungerudi nyumbani kwenye msiba na hata wakati wa kurudi, ungerudi kwa kuamini kuwa njia/barabara uliyopita bado iko vilevile ulivyoiacha na ndiyo maana unaitumia tena na hata nyumbani kwako bado ni mtaa fulani, wilaya fulani na kama usingekuwa una hiyo imani basi usingeweza kurudi kwa maana kwa kuwepo kwako Dodoma huwezi kujua kinachoendelea nyumbani kwako Dar es Salaam.
 
Siku ya kiama wewe na Kiranga mtachomwa moto vibaya sana.
Kila mtu aliye kinyume na imani ya dini nyingine ameandikiwa kuchomwa moto

We kama muislamu usijione upo salama wakati kwenye ukristo umeandaliwa moto kwa ajili yako

Haijalishi una amini nini, ila kumbuka idadi ya wanaopinga imani yako ni kubwa kuliko idadi ya watu wanao amini imani yako

Duniani tunakadiriwa kuwa na population ya watu 7.753 billion, katika hao watu kuna wakristo takribani 2.382 billion sawa na asilimia 31% kwa maana hiyo watu zaidi ya bilion 5 na ushee hawaamini ukristo, na ukumbuke ukristo ndio kinara wa kuwa na waumini wengi kwenye dini
 
Kama wewe ndiye Mungu mwenyewe na unayodai ni ya "kweli kabisa", basi kutokana na huo "ukweli kabisa" wewe ni Mungu. Ila siwezi kuthibitisha kuwa upo au haupo, isipokuwa tu kutokana na wewe kusema "ukweli kabisa" na "ukweli mtupu" na "usio na chembe ya uwongo", basi kwa msingi huo naamini wewe ni Mungu. Kwa mantiki hiyo, kama unachosema siyo "ukweli kabisa" na wewe unajua "siyo Mungu kabisa" na unachosema ni "uwongo mtupu" katika hayo unayoyasema, basi imani yangu ni ya kimakosa maana umeniaminisha kitu kisicho kweli na kisicho kuwepo. Kuna siku niliwahi kusema kwamba kila mmoja wetu ana imani. Nikatoa mfano kwamba ukitoka mfano Dar es Salaam kwenda Dodoma na kuiacha familia yako Dar es Salaam, ukifika Dodoma na kupiga simu kuwajulia hali nyumbani, ina maana unaamini kwamba familia yako - mke na watoto - uliowaacha nyumbani ni wazima/hai. Kama usingekuwa unaamini kuwa ni wazima/hai usingeweza kuwapigia simu. Kwa sababu huenda mara tu ulipotoka nyumbani walivamiwa na kuuliwa au moto ulizuka ukaunguza nyumba na wote wakafariki kwenye hiyo ajali ya moto. Ungeamini hivyo, basi ungerudi nyumbani kwenye msiba na hata wakati wa kurudi, ungerudi kwa kuamini kuwa njia/barabara uliyopita bado iko vilevile ulivyoiacha na ndiyo maana unaitumia tena na hata nyumbani kwako bado ni mtaa fulani, wilaya fulani na kama usingekuwa una hiyo imani basi usingeweza kurudi kwa maana kwa kuwepo kwako Dodoma huwezi kujua kinachoendelea nyumbani kwako Dar es Salaam.
Kwa hiyo umeamini mimi ni Mungu?
 
Back
Top Bottom