Kinachoweza kuhakikiwa na kuthibitishika, meanwhile kisicho thibitishika hakiwezi kuhakikiwaNi nini hakika?
Beyonce ndio mungu ambaye una muamini wewe?Mungu anayemuamini mimi hana chanzo?
Kinachoweza kuhakikiwa na kuthibitishika, meanwhile kisicho thibitishika hakiwezi kuhakikiwa
Kwa maana hiyo ukisema kitu fulani kipo katika imani hakithibitishiki tutakubaliana kua kitu hicho kisichokua na uthibitisho hakina hakika?
Hapana.Beyonce ndio mungu ambaye una muamini wewe?
We nae acha uboyaSasa ulivyokua unauliza mungu gani ulikua una maanisha nini?
Anyway
Kwa mujibu wa hicho chanzo kilichomzungumzia mungu allah, kilimfafanuaje allah?
Ndugu naona unamuelezea vizuri sana ili aelewe lakini nakushauru usipoteze muda wako katika mabishano ambayo hayana suluhu na mwisho wa siku kila mtu atabaki katika kile anachokiona ni cha sawa.Labda utakuwa huelewi unachokiuliza kijana, nimekwambia kuwa Uislamu umemuelezea Allah ambaye uislamu humtambua kuwa ndio Mungu. Kwahiyo ukiniambia nimuelezee Mungu kwa mujibu wa uislamu maana yake moja kwa moja tunakuwa tunamuelezea Allah na si vinginevyo.
Kwa hiyo unakubali kua kilicho katika imani maana yake hakina hakika?Ok sawa nimekuelewa.
Sasa kwanini unataka uthibitishiwe Mungu(kitu cha imani) hali unajua hakuna uthibitisho?
Ni mungu yupi unaye muamini?Hapana.
Unaweza kutumia hiyo google ku google uthibitisho wa kuonesha mungu yupo ukauweka hapa wote tuuone?We nae acha uboya
Haya maswali wewe mwenyewe unaweza ukagoogle ukapata majibu,
Kisha uje upingane na hoja. Naona unarukaruka kwa kuuliza maswali ya kupoteza muda wa watu ile waache kukujibu kisha ujitangaze bingwa wa mjadala huu.
Siwezi.Unaweza kutumia hiyo google ku google uthibitisho wa kuonesha mungu yupo ukauweka hapa wote tuuone?
Kwa nini huwezi, ina maana google haina majibu?Siwezi.
Akili yako haipo sawa mahali.Kwa nini huwezi, ina maana google haina majibu?
Mbona unajichanganya mwenyewe, hapo juu umesema huwezi ku google majibu ya uthibitisho unao onesha mungu yupo, saizi unanilaumu tena mimi kwa kuto-google majibu ya maswali, nikueleweje?Akili yako haipo sawa mahali.
Kama ina majibu si ungegoogle hayo maswali yako kisha ulete hoja.
Kama wewe ndiye Mungu mwenyewe na unayodai ni ya "kweli kabisa", basi kutokana na huo "ukweli kabisa" wewe ni Mungu. Ila siwezi kuthibitisha kuwa upo au haupo, isipokuwa tu kutokana na wewe kusema "ukweli kabisa" na "ukweli mtupu" na "usio na chembe ya uwongo", basi kwa msingi huo naamini wewe ni Mungu. Kwa mantiki hiyo, kama unachosema siyo "ukweli kabisa" na wewe unajua "siyo Mungu kabisa" na unachosema ni "uwongo mtupu" katika hayo unayoyasema, basi imani yangu ni ya kimakosa maana umeniaminisha kitu kisicho kweli na kisicho kuwepo. Kuna siku niliwahi kusema kwamba kila mmoja wetu ana imani. Nikatoa mfano kwamba ukitoka mfano Dar es Salaam kwenda Dodoma na kuiacha familia yako Dar es Salaam, ukifika Dodoma na kupiga simu kuwajulia hali nyumbani, ina maana unaamini kwamba familia yako - mke na watoto - uliowaacha nyumbani ni wazima/hai. Kama usingekuwa unaamini kuwa ni wazima/hai usingeweza kuwapigia simu. Kwa sababu huenda mara tu ulipotoka nyumbani walivamiwa na kuuliwa au moto ulizuka ukaunguza nyumba na wote wakafariki kwenye hiyo ajali ya moto. Ungeamini hivyo, basi ungerudi nyumbani kwenye msiba na hata wakati wa kurudi, ungerudi kwa kuamini kuwa njia/barabara uliyopita bado iko vilevile ulivyoiacha na ndiyo maana unaitumia tena na hata nyumbani kwako bado ni mtaa fulani, wilaya fulani na kama usingekuwa una hiyo imani basi usingeweza kurudi kwa maana kwa kuwepo kwako Dodoma huwezi kujua kinachoendelea nyumbani kwako Dar es Salaam.Hujajibu swali langu nililouliza, na swali ulilojibu sijauliza.
Nikikukublia yote uliyoandika 100%.
Halafu nikakuuliza swali langu.
Kwamba.
Nikikwambia mimi ndiye Mungu mwenyewe, una uwezo wa kuthibitisha au kutothibitisha hilo?
Utajibu vipi?
Tujibizane kwa kutaka kuelewana na kuendeleza mjadala wa kimantiki.
Kila mtu aliye kinyume na imani ya dini nyingine ameandikiwa kuchomwa motoSiku ya kiama wewe na Kiranga mtachomwa moto vibaya sana.
Naamini Mungu mwenyewe sifa za kuwa hana mwanzo wala mwisho, na ndiyo muumbaji wa huu ulimwengu.Ni mungu yupi unaye muamini?
NdioKwa hiyo unakubali kua kilicho katika imani maana yake hakina hakika?
Kwa hiyo umeamini mimi ni Mungu?Kama wewe ndiye Mungu mwenyewe na unayodai ni ya "kweli kabisa", basi kutokana na huo "ukweli kabisa" wewe ni Mungu. Ila siwezi kuthibitisha kuwa upo au haupo, isipokuwa tu kutokana na wewe kusema "ukweli kabisa" na "ukweli mtupu" na "usio na chembe ya uwongo", basi kwa msingi huo naamini wewe ni Mungu. Kwa mantiki hiyo, kama unachosema siyo "ukweli kabisa" na wewe unajua "siyo Mungu kabisa" na unachosema ni "uwongo mtupu" katika hayo unayoyasema, basi imani yangu ni ya kimakosa maana umeniaminisha kitu kisicho kweli na kisicho kuwepo. Kuna siku niliwahi kusema kwamba kila mmoja wetu ana imani. Nikatoa mfano kwamba ukitoka mfano Dar es Salaam kwenda Dodoma na kuiacha familia yako Dar es Salaam, ukifika Dodoma na kupiga simu kuwajulia hali nyumbani, ina maana unaamini kwamba familia yako - mke na watoto - uliowaacha nyumbani ni wazima/hai. Kama usingekuwa unaamini kuwa ni wazima/hai usingeweza kuwapigia simu. Kwa sababu huenda mara tu ulipotoka nyumbani walivamiwa na kuuliwa au moto ulizuka ukaunguza nyumba na wote wakafariki kwenye hiyo ajali ya moto. Ungeamini hivyo, basi ungerudi nyumbani kwenye msiba na hata wakati wa kurudi, ungerudi kwa kuamini kuwa njia/barabara uliyopita bado iko vilevile ulivyoiacha na ndiyo maana unaitumia tena na hata nyumbani kwako bado ni mtaa fulani, wilaya fulani na kama usingekuwa una hiyo imani basi usingeweza kurudi kwa maana kwa kuwepo kwako Dodoma huwezi kujua kinachoendelea nyumbani kwako Dar es Salaam.
Kranga katika ubora wakeKwa hiyo umeamini mimi ni Mungu?