Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Unajifurahisha tu, for the sake of arguing, huna!
Kwasababu na behave kama nyinyi?

Mbona mafundisho ya vitabu vyenu vimedai yesu ali behave kama mwanadamu na still mnam consider kama mungu, ina maana alikua anajifurahisha for the sake of what?
 
Ndiyo nakubali kwa tafsiri uliyotoa ya neno hakika.
Kwa maana hiyo kwasababu umekiri kua imani ni kutokua na hakika, maana yake ukisema unaamini mungu yupo tafsiri yake ni kwamba hauna uhakika?
 
Kwasababu na behave kama nyinyi?

Mbona mafundisho ya vitabu vyenu vimedai yesu ali behave kama mwanadamu na still mnam consider kama mungu, ina maana alikua anajifurahisha for the sake of what?
Na yeye alikuwa anajifurahisha kama unavyofanya?
 
Na yeye alikuwa anajifurahisha kama unavyofanya?
Mimi ndo nimekuuliza hilo swali wewe, au wewe huamini yesu kua ni mungu?

Kama huamini niambie nijue kua nimeuliza mtu asiye sahihi
 
Kama tukitumia Mungu wa waislamu tunaona kwenye Qur'an kuna mambo yameelezwa yahusuyo masuala ya uumbaji ni toka karne hizo ambako hata wale wasimuliwaji sidhani kama walielewa kwa kina hizo ila katika zama hizi za sayansi na teknolojia tunakuta maelezo hayo ya uumbaji kwenye Qur'an(ambayo ni maneno ya Mungu) huthibitishwa na Sayansi, hivyo hiyo ni dalili moja wapo kuonesha yale maneno yalikuwa ya kweli na kweli yalitoka kwa Muumbaji mwenyewe ambaye ndio Mungu.

Hivyo hiyo ni dalili ya Uungu.
 
Mimi ndo nimekuuliza hilo swali wewe, au wewe huamini yesu kua ni mungu?

Kama huamini niambie nijue kua nimeuliza mtu asiye sahihi
Kwa hiyo, nikiamini alikuwa Mungu ndiyo kusema alikuwa akijifurahisha kama unavyofanya?
 
ukisema hapa kuna mwizi mwingine akisema hapa hakuna mwizi,yule aliyesema hapa kuna mwizi ndio anatakiwa athibitishe kwamba ameibiwa nini,na huyo mwizi yuko wapi.
 
kama wapi yalielezwa na leo wanasayansi wametibitisha,weka hilo andiko
 
chanzo cha mungu ni nini kwa mujibu wa kanuni yako mwenyewe uliyosema kila kilichopo kinachanzo?
Nimesema kuwa Mungu ndio chanzo hivyo yeye hana chanzo, kwa sababu lazima kiwepo chanzo cha yote.
 
yeye anakataa Mungu hayupo ,wewe unalazimishwa uambiwe MUNGU ni nini,huoni kama umebanwa mkuu
 
Miungu dhaifu hutumia njia dhaifu, usiniweke kwenye rank hizo mimi habari angu nazifanya personal kama ambavyo wewe unavyoweza kunihoji hapa kwasababu mimi nipo lakini huwezi kumhoji mungu wa kwenye kuran kwasababu ni mungu wa uwongo hayupo, ni makanjanja tu wameandika habari za uwongo na mwisho wao naujua maana nimewaaandalia adhabu kali sana

Sema bado hujachelewa, ukimkana huyo mungu wa kwenye quran na kufata njia ya kweli (ambayo ni mimi) nakuhakikishia utajifunza vitu vingi ambapo hapo mwanzo ulivijua ndivyo sivyo
 
We jamaa khaa bora ukajisomee mwenyewe huwezi mlazimisha mtu aanzw kukupa somo la evolution , cosmology nuclear physics, organic and inorganic chemstry . Hayo maswali si umeshajiuliza anza kufanyia uchunguzi kuwa kitu gani kimesababisha nebula mtu hawezi kukujibu ukaridhika hapa unapewa idea. Anza na geology on how gas and fossil fuel happened hapo ita involve chemistry ya olevel tuu kuelewa hizo chemical reactions
 
Nimesema kuwa Mungu ndio chanzo hivyo yeye hana chanzo, kwa sababu lazima kiwepo chanzo cha yote.
Kwa hiyo mtu akisema ulimwengu ndio chanzo hivyo ulimwengu hauna chanzo kwasababu ulimwengu ni chanzo cha vyote utakubali?
 
Kwa hiyo, nikiamini alikuwa Mungu ndiyo kusema alikuwa akijifurahisha kama unavyofanya?
kwani kilichokufanya uone najifurahisha hapa ni kipi?

Hujazoea kuona mungu aki-entertain na viumbe wake?
 
unauliza maswali ambayo nisha elezea mapema kabisa

Nilivyokuambia kua kila kilichomo ndani ya ulimwengu kimesababishwa na ulimwengu except ulimwengu, ulielewaje?
Kumjibu huyo bwana ni kupoteza muda. Maswali ameshayauliza kwanini asiende tafuta majibu maana anauliza nebula anataka umfunishe austrophysics anauliza kitu gani kimesababisha mimeo anataka umfundishe evolution toka mwanza the beginning of earth itself . Huyu ni mvivu wa kutafuta majibu au anajibu moja ambalo ni mungu . Kwasababu kitu chochote asichokijua anahisi jibu ni mungu , ni mtu anayeishi mwaka 6000bc
 
Mambo mengi inaonekana hayajui na hajisumbui kutafuta majibu, vitu vingine vina hitaji miaka kuvisoma afu ye anataka nimuelezee hapa kwa siku moja

Hapa namsubiri aje nigeuze huu mjadala kuwa fursa, nafikiria kufungua online course ambazo itambidi achangie ili nimfundishe hayo maswala
 
Unajuaje mimi si Mungu leo nimeamua kuja JF tu kukuzingua?

After all, kama unaamini Mungu yupo beyond time and space na huwezi kumuelewa vizuri, utajuaje mimi si Mungu nimeamua kuichukua ID ya Kiranga kukuzingua tu?

Unataka kusema Mungu wako hawezi ku hack ID ya JF ya Kiranga?
 
Siku ya kiama nawasikitikia sana.
 
Labda mungu wa Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…