Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Alafu sisi katuandalia Jehanamu ya moto mkali ,how come God have no mercy to their children?
 
Alafu sisi katuandalia Jehanamu ya moto mkali ,how come God have no mercy to their children?
Sasa kma hutaki kufuata mafundisho yake Mungu akufanye nini? Mtoto wako tu akikosea utampiga au huna huruma na mtoto wako wewe lakini akikosea mbona unampiga? why Mungu asikuadhibu kama umekataa kufuata maamrisho yake?
 
Mtoto wako adhabu gani umempa ya milele inayofanana na moto wa jehanam?
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kma hutaki kufuata mafundisho yake Mungu akufanye nini? Mtoto wako tu akikosea utampiga au huna huruma na mtoto wako wewe lakini akikosea mbona unampiga? why Mungu asikuadhibu kama umekataa kufuata maamrisho yake?
Kwa hiyo Mungu wenu ambae mnasema ana uwezo wote, ikiwemo kuyaondoa mabaya ili yasimkasirishe mnamfananisha na binadamu ambae hana uwezo wote?

Hivi kwa akili yako ungekuwa na uwezo wa kutamka tu mwanao asikosee na kweli akashindwa kukosea ungekuwa unajisumbua tena kumchapa kwa lipi?
 
Nikikuunga na wewe unamiini uchawi upo?
Umetumia msamiati unaoitwa uchawi, eleza uchawi ni nini ili nikujibu upo ama haupo.

Mimi nikikuuliza hiki kitu kiitwacho "umukorokwade" kipo ama hakipo unaweza nijibu pasipo mimi kuelezea kwanza umukorokwade ni kitu gani? Uchawi ni nini?
 
Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.
 
Wapo watu wamewaadhibu watoto wao kwa kuwatia kilema cha maisha na wengine hadi wameua kabisa watoto zao.
Iyo ni individual haijaandikwa popote mtoto umtie kilema au kuua lakini nazungumzia hukumu ya Jehanamu if you go against ten commandments of God as the book of bible said
 
Maarifa yanaweza kukufanya mwenye hekima au mpumbavu
Seminarini mnasali hadi sala inakuwa ni kawaida na sio Imani tena
Muongo umepigwa za mbavu ''upumbavu'' ni kwa mwenye kumuona mpumbavu. lkn ndani yake ni yu Mwelevu wa mwalimu wako! Yesu na hata Manabii wote ndugu zao waliwaona wapumbavu lkn hao ndo waliongea hekima ya Mungu mpaka sasa!

Anae hukumu upumbavu! ni mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…