new level
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 274
- 583
Kwaiyo shida yako Ni mfumo wakuabudu au .. mahna zipo dini azifanyi yote hayo but still wanahbudu na wanamuabudu mungu uyo uyo ..Just imagine inawezekanaje mtu mwenye akili kwenda kukanyaga mafuta ya upako, mtu mwenye akili kunena sandandalalababbbbbbbbbb!!!
Mtu mwenye akili kuinamia misanamu, mtu mwenye akili kwenda kutoa siri zake eti anatubu na kumwambia binadamu mwenzake eti asamehewe dhambi zake,.
Wengi wenye akili wameshindwa ku a doubt huu mfumo kwasababu unatakiwa uwe mjinga sana ndio uwe kwenye hizi dini za ajabu.
Kiranga yupo sahihi