Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kwaiyo shida yako Ni mfumo wakuabudu au .. mahna zipo dini azifanyi yote hayo but still wanahbudu na wanamuabudu mungu uyo uyo ..
 
Mnakosea Sana ku mix mambo yaki roho na sayansi ivi Ni vitu viwili tofauti
 
Joshua 10:12 kweny li biblia lao ina huo huo mtazamo kuwa jua linatembea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wala simshangai!!!Pale unapozama kwenye imani fulani ghafla ukagundua hiyo taasisi unayosali ni Idara ya kijasusi inayojitahidi kuitawala Dunia kijamii,kisiasa na kiuchumi!!Hapo Lazima utadata tena sana!!!!
Ila imani ipi ndyo ya kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujawahi kuniangusha mkuu, [emoji122][emoji122] sana.
 
Unamaanisha Wema Sepetu na mpenzi wake Diamond ambao umri wao ni chini ya miaka 40 ukikubali ndiyo wazazi halali wa Rais Mwinyi, Mzee wa Rukhsa mwenye miaka 96 hupungukiwi na chochote siyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekuuliza Mungu gani? Taja Mungu mmoja tumchambue.

Hujataja Mungu yeyote.

Inawezekana nikakukubalia yupo.

Kuna watu wanaamini Beyonce Mungu wao, hao sijawabishia kwamba Mungu wao Beyonce yupo.

Mungu ni nini? Hujajibu swali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had BEYONCE? khaaaaaah
 
Uhalisia juu ya kuabudu au nini
 
Labda ni mhanga wa vile vitendo vya makasisi wa katoliki!😁.

Wengi wao hu-hold grudges na kuishia kwenye upagani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu ataenda kwa Mungu wake anae muamini.
 
Unauliza swali halafu ukijibiwa unalazimisha jibu lako unalotaka wewe?

Kwa nini unaogopa sana kumtaja huyo Mungu wako tumjadili?

Unamuonea aibu?

Unajua ukimtaja huwezi kutetea uwepo wake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anamuonea aibu tena? Ila wee mtu jaman daaah
 
Kiranga Ni Genius hawezi kuwa Catholic aanze kuabudu misanamu na kuvaa misalaba.
Binafsi nimekuzwa na Catholic ila nachukia uongo walio ueneza duniani, jitu zima linapigia goti msalaba na kubusu msalaba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…