holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Unaesema mungu yupo tupe ushahidi alikotokeaNasisitiza tena mkuu, naomba kujua hivyo vitu vimetokea wapi (formation) zake? Wewe unasema hakuna uwepo wa Mungu, naomba kujua (formation) ya hivyo vitu.
Kwahiyo, unachokifanyia practical, unashindwa kukielezea theoritically? Are you seriousUnaelewa maana ya practical demonstration hakuna test tube jamii forum hakuna kifaa chochote Cha biology laboratory HAKIPO hivi sio vitu vya maneno inatakiwa uone kwa macho kwanza ndo maelezo yafate tofauti na hapo ntakuwa najichosha kukueleza
Nipe kwanza jibu nililouliza. Kama haujui uniambie kama unajua pia niambieBasi kama wewe unasema mungu alivileta tupe ushahidi
Unataka nianze kueleza Evolution nzima hapaKwahiyo, unachokifanyia practical, unashindwa kukielezea theoritically? Are you serious
Jibu hujaliona hapo juu kuhusu big bang na evolutionNipe kwanza jibu nililouliza. Kama haujui uniambie kama unajua pia niambie
Haya zamu yako sasa mungu katokea wapiNipe kwanza jibu nililouliza. Kama haujui uniambie kama unajua pia niambie
Aliyekuambia B lazima iwe na chanzo nani?Unaniambia A imetokana na B, bila kuniambia B imetokea wapi kwanza na imesababishaje A. Je B imetokea tu gafla?
Nataka kujua evolution imeletaje viumbe hai? unasema big bang theory haijakamilika kama haijakamilika unawezaje kuiamini?Wewe mwenyewe unazunguka hujatupa jibu kama mungu ndio alivileta mungu ye alitokea wapi
Mi jibu nilikupa
Viumbe hai vimeletwa na evolution
Ulimwengu (universe) Big bang theory hiajakamilika lakini mpaka Sasa Ina maelezo yakutosha yenye ushahidi keamba ulimwengu haujaumbwa
Inamaana wewe haujui hivyo vitu vimetokeaje? (formation) kwanini unashindwa kunipa jibu.Unaesema mungu yupo tupe ushahidi alikotokea
Kutokukamilika haimaanishi haiwezi kuaminika ...... in science we have gaps those gaps are what drive science discovery inaendeleaNataka kujua evolution imeletaje viumbe hai? unasema big bang theory haijakamilika kama haijakamilika unawezaje kuiamini?
Unaponiambia A imeletwa na B, uniambie kwanza B imetokea wapi? Na imeform vipi A. Usinipe majibu ya kufikirika.
Ina maana wewe hujui mungu wako unaemwamini alikotokea maan sijaona jibu hapoInamaana wewe haujui hivyo vitu vimetokeaje? (formation) kwanini unashindwa kunipa jibu.
Wewe unajua hivyo vitu vimetokeaje? (formation)Unataka nianze kueleza Evolution nzima hapa
Bado hujasema mungu alikotokea
Nimeweka ila umenipa mashaka kwa namna unavyo respond unaonesha hivi vitu hujawahi kuvisomaNdio kichaka cha kukimbia swali langu, wewe uliesoma weka hapa majibu
Najua ndioWewe unajua hivyo vitu vimetokeaje? (formation)
Nimeviumba mimi, kwasababu mi ndo Mungu wa kweliWewe unajua hivyo vitu vimetokeaje? (formation)
Hiyo big bang na evolution zina uthibitisho gani wa kisayansi kwa vimesababisha hivyo vitu? Au unanipa jibu la kufikirika tu.Jibu hujaliona hapo juu kuhusu big bang na evolution
Nahitaji jibu la swali nililouliza kwanza, kama haujui uniambie kwanzaHaya zamu yako sasa mungu katokea wapi
We ndo umenena maan naona tuna discuss na mtu ambae hana idea na tunachokisemaNimeweka ila umenipa mashaka kwa namna unavyo respond unaonesha hivi vitu hujawahi kuvisoma
Sasa kuna option mbili nimekupa
Ni either ukasome hayo masome uje hapa ukiwa uko full nondo tujadili kwa challenges au nikufundishe mimi afu unilipe?
Ipi rahisi kwako kati ya hivyo viwili?
Option rahisi ni moja tu, wewe unaejua hivyo vitu vilitokeaje (formation) zake uziweke hapa hapa.Nimeweka ila umenipa mashaka kwa namna unavyo respond unaonesha hivi vitu hujawahi kuvisoma
Sasa kuna option mbili nimekupa
Ni either ukasome hayo masome uje hapa ukiwa uko full nondo tujadili kwa challenges au nikufundishe mimi afu unilipe?
Ipi rahisi kwako kati ya hivyo viwili?