Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Unaelewa maana ya practical demonstration hakuna test tube jamii forum hakuna kifaa chochote Cha biology laboratory HAKIPO hivi sio vitu vya maneno inatakiwa uone kwa macho kwanza ndo maelezo yafate tofauti na hapo ntakuwa najichosha kukueleza
Kwahiyo, unachokifanyia practical, unashindwa kukielezea theoritically? Are you serious
 
Wewe mwenyewe unazunguka hujatupa jibu kama mungu ndio alivileta mungu ye alitokea wapi

Mi jibu nilikupa
Viumbe hai vimeletwa na evolution
Ulimwengu (universe) Big bang theory hiajakamilika lakini mpaka Sasa Ina maelezo yakutosha yenye ushahidi keamba ulimwengu haujaumbwa
Nataka kujua evolution imeletaje viumbe hai? unasema big bang theory haijakamilika kama haijakamilika unawezaje kuiamini?

Unaponiambia A imeletwa na B, uniambie kwanza B imetokea wapi? Na imeform vipi A. Usinipe majibu ya kufikirika.
 
Kutokukamilika haimaanishi haiwezi kuaminika ...... in science we have gaps those gaps are what drive science discovery inaendelea
Mbna unajishtaki mwenyewe kama Sasa kama mungu ndio A kaleta Dunia B mbona hujaniambia mungu huyo alikotokea au alijileta tu
 
Ndio kichaka cha kukimbia swali langu, wewe uliesoma weka hapa majibu
Nimeweka ila umenipa mashaka kwa namna unavyo respond unaonesha hivi vitu hujawahi kuvisoma

Sasa kuna option mbili nimekupa

Ni either ukasome hayo masome uje hapa ukiwa uko full nondo tujadili kwa challenges au nikufundishe mimi afu unilipe?

Ipi rahisi kwako kati ya hivyo viwili?
 
We ndo umenena maan naona tuna discuss na mtu ambae hana idea na tunachokisema
 
Nimeweka ila umenipa mashaka kwa namna unavyo respond unaonesha hivi vitu hujawahi kuvisoma

Sasa kuna option mbili nimekupa

Ni either ukasome hayo masome uje hapa ukiwa uko full nondo tujadili kwa challenges au nikufundishe mimi afu unilipe?

Ipi rahisi kwako kati ya hivyo viwili?
Option rahisi ni moja tu, wewe unaejua hivyo vitu vilitokeaje (formation) zake uziweke hapa hapa.
 
Back
Top Bottom