mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
asante, mimi najibu kua mtunzi ni muhammad, japo Koran yenyewe inasema mtunzi ni Allah! ila ukiihoji imejuaje kua ni Allah inasema kwakua ameishusha yenyewe(koran). hapo inakua ni circular reasoning!..mzushi flani kwa kukusaidia kdg,, swali langu linasema hv " Qur'an ni maandiko ya nani ? “
Hapo nahitaji unitajie Mtunzi wa kitabu sio mwandishi... Tofautisha hivo vitu viwili
Kuhusu mwandishi wa Qur'an, hili swali itakuwa nimekuonea, bila shaka utakua hujui ( ndo maana umesema Muhammad SAW)...
“ Qur'an ni maandiko ya nani ? “
kwako ewe ndugu mzushi flani
ila kiukweli inabaki kua yalikua ni maneno ya Muhammad tu,
hua sifatilii hadith kwakua siafiki hao wanaozisimulia(maswahaba) maana walikua wanaamini blindly tu mfano mzuri ni abubakari bin siddiq, yeye kila aliloambiwa alikubali tu bila ku-question chochote, inaonesha ni jinsi gani alikua dominated ki fikra.
Kuhusu Quran hatuwezi kuitumia kama reference ya ukweli kwasababu imejaaa vitisho na contradictions,!
sasa unaweza kunithibitishia Mungu yupo!?
na pia, nipe hizo scientific facts unazozisemea wewe, zimethibitishwa(kusemwa) kwenye koran. maana nimekupa yangu na inavo cpntradict ila naona umeikana kijanja janja tu!.
Sent using Jamii Forums mobile app