Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

mzushi flani kwa kukusaidia kdg,, swali langu linasema hv " Qur'an ni maandiko ya nani ? “

Hapo nahitaji unitajie Mtunzi wa kitabu sio mwandishi... Tofautisha hivo vitu viwili

Kuhusu mwandishi wa Qur'an, hili swali itakuwa nimekuonea, bila shaka utakua hujui ( ndo maana umesema Muhammad SAW)...

“ Qur'an ni maandiko ya nani ? “

kwako ewe ndugu mzushi flani
asante, mimi najibu kua mtunzi ni muhammad, japo Koran yenyewe inasema mtunzi ni Allah! ila ukiihoji imejuaje kua ni Allah inasema kwakua ameishusha yenyewe(koran). hapo inakua ni circular reasoning!..

ila kiukweli inabaki kua yalikua ni maneno ya Muhammad tu,

hua sifatilii hadith kwakua siafiki hao wanaozisimulia(maswahaba) maana walikua wanaamini blindly tu mfano mzuri ni abubakari bin siddiq, yeye kila aliloambiwa alikubali tu bila ku-question chochote, inaonesha ni jinsi gani alikua dominated ki fikra.

Kuhusu Quran hatuwezi kuitumia kama reference ya ukweli kwasababu imejaaa vitisho na contradictions,!

sasa unaweza kunithibitishia Mungu yupo!?

na pia, nipe hizo scientific facts unazozisemea wewe, zimethibitishwa(kusemwa) kwenye koran. maana nimekupa yangu na inavo cpntradict ila naona umeikana kijanja janja tu!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ana matatizo ya macho kuwa naye makini

Nishawahi mpa hii link iliyojibu swali lake tena kwa muumini mwenzake kabla hata mjadala haujaamishwa jukwaa la dini akasema haoni kitu

hahaaa asante mkuu, itabidi nmpige msasa vizuri huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upeo wako unadhani katika ulicho uliza nastahiki nikujibu ?

Swali langu lina maana sana kuliko kuendelea kujadiliana na wewe.

Nakupa udhuru,nimegundua wewe ni mtoto wa kike,katika jambo gumu kwangu ni kujadiliana na mtoto wa kike juu ya mambo ya kielimu.

Ushauri wangu,endelea kusoma maoni ya wadau,kisha uchague unacho kiona kipo sahihi kwako.

Nipo ....
This is absurd!

Its okay kama huwezi kujibu maswali kwa sababu yameulizwa na mwanamke na naheshimu misimamo yako,

Lakini hili swala la wewe kujifanya umekuwa mshauri, hivi kuna mahala popote nimeomba ushauri wako?
 
Swali lipi kwenye post #584? Una maswali mengi
Hilo ni swali lote, wewe unavyoniuliza/kutuuliza maswali huwa sihoji/hatuhoji kwamba una maswali mengi

naomba unijibu nataka nijue position yako kwanza

Wewe unajua majibu ya swali hilo kwenye post #584?
 
This is absurd!

Its okay kama huwezi kujibu maswali kwa sababu yameulizwa na mwanamke na naheshimu misimamo yako,

Lakini hili swala la wewe kujifanya umekuwa mshauri, hivi kuna mahala popote nimeomba ushauri wako?
Ndiyo maana nimekupa udhuru.

Ushauri siyo mpaka uombe,ila kuna muda tunaamua kuwasaidia kwa kuwapa ushauri muda ambao hujui kama unahitaji ushauri wala huwazi hilo.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Inafaa kusema kitu fulani kimeumbwa na mungu baada ya kutoa uthibitisho kuonesha mungu yupo, na sio sawa ku point kitu ambacho kipo kinacho thibitishika kua ndio uthibitisho wa kingine kisichothibitishika
Ndio maana nilipata wasiwasi kuhusu level yako ya kumbukumbu au kufikiri, nikuuulize vitu nilivyokutajia kuna mtu anaweza kuviunda?

Umeujuaje?

Unaweza kuthibitisha upo na sio hallucinations tu?
Nilishakujibu narudia tena kukujibu, huu ndio ulimwengu alipo Mungu ni ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited from time, space and matter)
unasema nithibitishe, je wewe unaweza kuthibitisha hisia/stress?

Vinathibitishaje mungu yupo?
Vinathibitisha kwamba Mungu yupo kwa maana hakuna anaeweza kuumba hivyo ila Mungu pekee

Uumbaji

hii habari umeipatia wapi?

Unaweza kuthibitisha uumbaji ulifanyika?
Kama uumbaji haukufanyika vilitokea wapi? kuna chochote kwenye ulimwengu ulio limited to time, space and matter kinachoweza kutokea bila kuubwa?

Vyote hivyo havithibitishi mungu yupo
Vyote vinathibitisha Mungu yupo na yeye pekee ndiye anayeweza kuumba hivyo

Vilema, vipofu, viziwi, na wote waliozaliwa na magonjwa ya asili wanathibitisha kua hakuna intelligent being aliyetuumba kwa upekee
Kwahiyo hii ndo sababu unamkosoa Mungu? umewahi kujiuliza nini kilisababisha mpaka wakazaliwa hivyo? hiyo inategemeana na causes za ugonjwa husika

Maamuzi yake kujitegemea unamaanisha freewill?

Kama ni freewill basi basically itathibitisha hakuna hayo maamuzi ya kujitegemea

Freewill ni hadithi kama ilivyo mungu
Nikuulize uwezo wako wa kufikiri na self control unafanana na kuku/ng'ome/mbuzi/samaki/simba?

So kwa mujibu wa source yako na mtazamo binafsi wa mungu, siku ya kwanza mungu aliumba watu wenye race zote?
Mungu aliumba binadamu me na ke, hawa binadamu wakazaliana na kuijaza dunia.

Bado hujathibitisha mungu yupo
Nimethibitisha Mungu yupo na nimekupa evidence ya uumbaji wake

NB: KAMA UNASEMA MUNGU HAJAUMBA HIVYO VITU VYOTE UNAWEZA KUNIAMBIA VIMETOKEAJE?
 
Ndio maana nilipata wasiwasi kuhusu level yako ya kumbukumbu au kufikiri, nikuuulize vitu nilivyokutajia kuna mtu anaweza kuviunda?

Nilishakujibu narudia tena kukujibu, huu ndio ulimwengu alipo Mungu ni ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited from time, space and matter)
unasema nithibitishe, je wewe unaweza kuthibitisha hisia/stress?

Vinathibitisha kwamba Mungu yupo kwa maana hakuna anaeweza kuumba hivyo ila Mungu pekee

Kama uumbaji haukufanyika vilitokea wapi? kuna chochote kwenye ulimwengu ulio limited to time, space and matter kinachoweza kutokea bila kuubwa?

Vyote vinathibitisha Mungu yupo na yeye pekee ndiye anayeweza kuumba hivyo

Kwahiyo hii ndo sababu unamkosoa Mungu? umewahi kujiuliza nini kilisababisha mpaka wakazaliwa hivyo? hiyo inategemeana na causes za ugonjwa husika

Nikuulize uwezo wako wa kufikiri na self control unafanana na kuku/ng'ome/mbuzi/samaki/simba?

Mungu aliumba binadamu me na ke, hawa binadamu wakazaliana na kuijaza dunia.

Nimethibitisha Mungu yupo na nimekupa evidence ya uumbaji wake

NB: KAMA UNASEMA MUNGU HAJAUMBA HIVYO VITU VYOTE UNAWEZA KUNIAMBIA VIMETOKEAJE?
HIVYO VITU VYOTE VILIKUEPO TU,(ULIMWENGU ULIKUEPO TU).

nmejibu kulingana na hoja mnayotumia kua MUNGU ALIKUEPO TU HANA MWANZO(ORIGIN).
 
HIVYO VITU VYOTE VILIKUEPO TU,(ULIMWENGU ULIKUEPO TU).

nmejibu kulingana na hoja mnayotumia kua MUNGU ALIKUEPO TU HANA MWANZO(ORIGIN).
Mkuu akili yako inafikiria au haifanyi kazi? hivyo vitu vyote vipo kwenye ulimwengu ulio-limited to time, space and matter vinawezaje KUWEPO BILA KUUNDWA NA MUUNDAJI?
 
NB: KAMA UNASEMA MUNGU HAJAUMBA HIVYO VITU VYOTE UNAWEZA KUNIAMBIA VIMETOKEAJE?
Hili swali huwa hawajibu nimeshawwuliza sana. Wanatumia muda mwingi kuhoji upuuzi na si kufikiria ndiyo maana huwa hawana hoja na hukimbia maswali.

Wenyewe huwq wanajificha kwenye kifaa cha kufoji kiitwacho "Logic" kilicho asisiwa na Aristoto. Vituko sasa huanzia hapa.
 
Kwanini umesema Qur'aan imeandikwa na Mtume Muhammad ?
kwasababu kulingana na uislamu yeye ndie aliekua akivisema hivyo vifungu ama hiyo Quran,.. akiwaambia wenzake huku akisema kashushiwa na Mungu haliyakua uwepo wa Mungu una walakini tosha, na hakuna ushahidi wa kua huyo mungu yupo
 
Thibitisha.

Nani amekwambia hakuna ushahidi wa kuwepo Mola haupo ? Mnapewa shahidi mara ngapi mnazikataa na hoja hamna.

Ushahidi wa uwepo wa Mola ni uwepo wako wewe.
 
Mkuu akili yako inafikiria au haifanyi kazi? hivyo vitu vyote vipo kwenye ulimwengu ulio-limited to time, space and matter vinawezaje KUWEPO BILA KUUNDWA NA MUUNDAJI?
ndio akili yangu inafanya kazi,

sasa, twende polepole kwani kuna ulimwengu mingapi!?. kwa mujibu wa imani yako
 
Hili swali huwa hawajibu nimeshawwuliza sana. Wanatumia muda mwingi kuhoji upuuzi na si kufikiria ndiyo maana huwa hawana hoja na hukimbia maswali.

Wenyewe huwq wanajificha kwenye kifaa cha kufoji kiitwacho "Logic" kilicho asisiwa na Aristoto. Vituko sasa huanzia hapa.
Kweli mkuu hawana hoja wanakimbia mnoo kujibu maswali
 
Mkuu akili yako inafikiria au haifanyi kazi? hivyo vitu vyote vipo kwenye ulimwengu ulio-limited to time, space and matter vinawezaje KUWEPO BILA KUUNDWA NA MUUNDAJI?
Okay naamua ku assume kua unayosema ni sahihi!.(japo si sahihi) sasa my next question is huyo muundaji!? kaundwa na nani?? kama hana aliemuumba unapingana nini na mimi kukuambia pia ulimwengu haukuundwa!?
 
Back
Top Bottom