Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Inategemeana na jibu utalonipaUnauliza maswali na kujiwekea mwenyewe majibu, ndio maana nakuuliza hapo utakuwa umeelewa nini?
Kwenye haya maswali utayajibu vipi ili nikuambie namna nilivyoelewa?
Maswali yangu yenyewe ni haya
Je Mungu hana chanzo au anacho?
Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?