Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Thibitisha ili tujue Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu.

Mimi sijawahi kusema mimi ni mwanamke, na hivyo sina mzigo wa kuthibitisha hilo.
kama hauna tofauti na binadamu wengit Basi jua wewe ni kiumbe Cha Mungu.
Mungu haitaji kuonekana ndo iaminike mungu yupo.
Mungu anaonekana kwa matendo yake na kwenye vitabu vyake alivyowashushia mitume wake
 
Mnatiki isiyojipinga.

Kwa mfano, usiniambie Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Na aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya.

Halafu, akaumba ulimwengu a,mbao mabaya yanawezekana kuwepo.

Hiyo habari ina logical inconsistency na contradiction.

Mungu huyo habari yake ina mushkeli.
Mungu anafanya kwa uhuru maana ni mmiliki wa ulimwengu mzima. Kauumba na hivyo anaweza kuamua chochote.

Ametumia uwezo wake, ujuzi wake na upendo wake kuumba huu ulimwengu. Dhambi imeletwa na uasi.
 
kama hauna tofauti na binadamu wengit Basi jua wewe ni kiumbe Cha Mungu.
Mungu haitaji kuonekana ndo iaminike mungu yupo.
Mungu anaonekana kwa matendo yake na kwenye vitabu vyake alivyowashushia mitume wake
Hujathibitisha Mungu yupo, unahubiri.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Haifuti kuwa huko kukuona ukiwa unafanya anakuona kabla hajakuumba... Hivyo anamalizia kwa kukuumba ukamalizie alichokiona ili aje akuadhibu.
Kwanza inatakiwa ujue Mungu hahusiki na maovu ya hapa duniani kwahiyo usimhusishe unamkosea. Maovu yote yametokana na binadamu wenyewe ndio maana hadi leo binadamu anazidi kuiharibu dunia. Issaya 63:9, Yohana 12:31
TAMBUA HATA MUNGU ANACHUKIA MAOVU NA AMEAHIDI KUTIMIZA LENGO LAKE, MAANA AKIPANGA HAKUNA ATAKAPANGUA.
Sasa na umba mbingu mpya na dunia mpya mambo ya zamani hayatakumbukwa tena. Isaya65:17
 
Mungu anakosaje kuhusika na maovu ya hapa duniani wakati mnasema yeye kaumba dunia na kaachia maovu yaweze kufanyika?
 
Kwanza inatakiwa ujue Mungu hahusiki na maovu ya hapa duniani kwahiyo usimhusishe unamkosea. Maovu yote yametokana na binadamu wenyewe ndio maana hadi leo binadamu anazidi kuiharibu dunia. Issaya 63:9, Yohana 12:31
TAMBUA HATA MUNGU ANACHUKIA MAOVU NA AMEAHIDI KUTIMIZA LENGO LAKE, MAANA AKIPANGA HAKUNA ATAKAPANGUA.
Sasa na umba mbingu mpya na dunia mpya mambo ya zamani hayatakumbukwa tena. Isaya65:17
Binadamu aliyewaumba na kabla ya kuwaumba anajua matendo na machaguo yao mwanzo mwisho, au sio?
 
Back
Top Bottom