Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Thibitisha Ibilisi yupo na si hadithi zako za kijinga tu.Tangu lini ibilisi akawa CHARITABLE?
Unamjua ibilisi wewe? Hebu kajiangalie kwenye kioo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha Ibilisi yupo na si hadithi zako za kijinga tu.Tangu lini ibilisi akawa CHARITABLE?
Unamjua ibilisi wewe? Hebu kajiangalie kwenye kioo.
kama hauna tofauti na binadamu wengit Basi jua wewe ni kiumbe Cha Mungu.Thibitisha ili tujue Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu.
Mimi sijawahi kusema mimi ni mwanamke, na hivyo sina mzigo wa kuthibitisha hilo.
Thibitisha ili tujue Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu..
Kuwepo kwa mpumbavu na kutwangana ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi
kama nafaka iliyopondwa kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.
meth 27°22
Mungu anafanya kwa uhuru maana ni mmiliki wa ulimwengu mzima. Kauumba na hivyo anaweza kuamua chochote.Mnatiki isiyojipinga.
Kwa mfano, usiniambie Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Na aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya.
Halafu, akaumba ulimwengu a,mbao mabaya yanawezekana kuwepo.
Hiyo habari ina logical inconsistency na contradiction.
Mungu huyo habari yake ina mushkeli.
Hujathibitisha Mungu yupo, unahubiri.kama hauna tofauti na binadamu wengit Basi jua wewe ni kiumbe Cha Mungu.
Mungu haitaji kuonekana ndo iaminike mungu yupo.
Mungu anaonekana kwa matendo yake na kwenye vitabu vyake alivyowashushia mitume wake
Hujathibitisha Mungu huyo yupo.Mungu anafanya kwa uhuru maana ni mmiliki wa ulimwengu mzima. Kauumba na hivyo anaweza kuamua chochote.
Ametumia uwezo wake, ujuzi wake na upendo wake kuumba huu ulimwengu. Dhambi imeletwa na uasi.
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu huu uwe hauruhusu mabaya?Anaruhusu lakini hafanyi au kumfanya mtu afanye mabaya.
Kwanza inatakiwa ujue Mungu hahusiki na maovu ya hapa duniani kwahiyo usimhusishe unamkosea. Maovu yote yametokana na binadamu wenyewe ndio maana hadi leo binadamu anazidi kuiharibu dunia. Issaya 63:9, Yohana 12:31Haifuti kuwa huko kukuona ukiwa unafanya anakuona kabla hajakuumba... Hivyo anamalizia kwa kukuumba ukamalizie alichokiona ili aje akuadhibu.
Wapi?Hili swali lako nimelijibu mara nyingi sana.
Mungu anakosaje kuhusika na maovu ya hapa duniani wakati mnasema yeye kaumba dunia na kaachia maovu yaweze kufanyika?Kwanza inatakiwa ujue Mungu hahusiki na maovu ya hapa duniani kwahiyo usimhusishe unamkosea. Maovu yote yametokana na binadamu wenyewe ndio maana hadi leo binadamu anazidi kuiharibu dunia. Issaya 63:9, Yohana 12:31
TAMBUA HATA MUNGU ANACHUKIA MAOVU NA AMEAHIDI KUTIMIZA LENGO LAKE, MAANA AKIPANGA HAKUNA ATAKAPANGUA.
Sasa na umba mbingu mpya na dunia mpya mambo ya zamani hayatakumbukwa tena. Isaya65:17
Ulitaka awazuie wasitwangane?Kuwepo kwa mpumbavu na kutwangana ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, kusingekuwa na mpumbavu wala kutwangana.
Binadamu aliyewaumba na kabla ya kuwaumba anajua matendo na machaguo yao mwanzo mwisho, au sio?Kwanza inatakiwa ujue Mungu hahusiki na maovu ya hapa duniani kwahiyo usimhusishe unamkosea. Maovu yote yametokana na binadamu wenyewe ndio maana hadi leo binadamu anazidi kuiharibu dunia. Issaya 63:9, Yohana 12:31
TAMBUA HATA MUNGU ANACHUKIA MAOVU NA AMEAHIDI KUTIMIZA LENGO LAKE, MAANA AKIPANGA HAKUNA ATAKAPANGUA.
Sasa na umba mbingu mpya na dunia mpya mambo ya zamani hayatakumbukwa tena. Isaya65:17
Siyo mimi ninavyotaka.Ulitaka awazuie wasitwangane?
Utayajuaje mema bila kuyatambua mabaya?Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu huu uwe hauruhusu mabaya?