Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Una matatizo ya akili wewe nimesomo kozi zaidi ya 20 ktk LL,B(CRIMINAL LAW,SALES OF GOODS,JURISPRUDENCE I,2,3&,CONTRACT 1&2,EVIDENCE I&2,COOPERATIVE LAW,COMPANY LAW,TAX LAW,LAW OF TORTS,CRIMINAL PROCEDURE,CIVIL PROCEDURE1&2 ,INSURANCE LAW,BANKING LAW nina uelewa mkubwa sana mara1000 zaidi yako tulia wanasheria wasomi tudadavue mada hii kwa manufaa ya LAYMEN wote wa humu jf kama wewe
Unasoma! Mimi nayafanyia kazi mwaka wa 4 huu.
Political science unafananisha na LAW? una akili wewe? unadhani kuwa LEARNED ADVOCATE ni rahisi? kozi ya law unafananisha na political science? kozi ya political science haina umuhimu kabisa !
Ha ha ha haaaaaa haya mkuu said to be "learned" mimi akili ntazitoa wapi bhana nami sio mwanasheria msomi???!!!!!
Indicator za msomi huko sheriani ni zipi kwani???!!!!!
come down you layman kwanza ushafua nguo na kuosha vyombo ?
nasikia unaogesha wazee u.s.a
ushaambiwa ALL LAWYERS ARE LEARNED!! kila mwanasheria ni msomii at least engineers,doctors are just learned
Haaaaa haaaa pole sana.
Njoo State Attoney (Nyanda za juu kusini-Mby)
Kweli taaluma ya Sheria Imevamiwa.
Uzi umegeuka "street fight"....
Ila mtu ana degree moja ya sheria ati na kushinda pale viwanja vya posta sinza "law school" ndio awe msomi kuliko a paediatric surgeon au political scientist!!!!!
Yaani umchukue graduate wa pale Yombo UDSM ajitutumue kuwa msomi mbele ya say Prof Baregu?????!!!!!
Hili neno Learned Lawyer na the like sio kubwa kivile!
Ukifuatilia Vizuri limeshajibiwa mapema sana kwanini wanaitana hivyo.
Halibebi tafsiri ya kuwa wao ni wasomi kuliko Kada zingine za kielimu.
Tatizo ni Wimbi la vijana wa sasa hawaijui asili ya wanasheria kuitana hivyo,wanachojua wao kuwa ukisoma tu dheria wewe ni zaidi ya wengine + inferiority complex iliyopo mtaani juu ya hii professional!
Taaluma imevamiwa,hivyo sishangai sana ninapoziona mada kama hizi Anayejiita msomi anashindwa jenga hoja juu ya matumizi ya neno 'msomi' zaidi anashuka matusi tu.
ushaambiwa ALL LAWYERS ARE LEARNED!! kila mwanasheria ni msomii at least engineers,doctors are just learned
dah aisee kama wewe ni state attorney basi ni kazi kwelikweli LEGAL REASONING yako iko poor sana hata mkuu mpigamsuli japo bado ni mwanafunzi wa LL,B amekuzidi sana! nahisi utakuwa na diploma au cheti cha sheria siamini kama una LL,B

LL.B ina L mbili lakini!!
Sipo kwa Mapambano hapa.
Wewe mwenye LL.B niambie usomi wa Mwanasheria ni upi kuzidi Fani nyingine?
Unajua huwa nawaza hivi...hivi hao wanasheria wasomi huwa wana publish ma journal, mavitabu, na maandiko mengine ya kisomi/ kitaaluma kila mwaka, kwa mfano?
Ningependa sana kusoma publications za baadhi ya hawa mawakili wasomi waliopo humu.
Political science unafananisha na LAW? una akili wewe? unadhani kuwa LEARNED ADVOCATE ni rahisi? kozi ya law unafananisha na political science? kozi ya political science haina umuhimu kabisa !
Political science unafananisha na LAW? una akili wewe? unadhani kuwa LEARNED ADVOCATE ni rahisi? kozi ya law unafananisha na political science? kozi ya political science haina umuhimu kabisa !
Mkuu uko too emotional!!! Kwa hali hii utaweza simama mahakani???Una matatizo ya akili wewe nimesomo kozi zaidi ya 20 ktk LL,B(CRIMINAL LAW,SALES OF GOODS,JURISPRUDENCE I,2,3&,CONTRACT 1&2,EVIDENCE I&2,COOPERATIVE LAW,COMPANY LAW,TAX LAW,LAW OF TORTS,CRIMINAL PROCEDURE,CIVIL PROCEDURE1&2 ,INSURANCE LAW,BANKING LAW nina uelewa mkubwa sana mara1000 zaidi yako tulia wanasheria wasomi tudadavue mada hii kwa manufaa ya LAYMEN wote wa humu jf kama wewe
unamjua kakini??? manake naona umekuja jumla na mitusi iliyoshiba kwa mwenzio ambaye hata kosa lake halionekani.
Na mwanasheria kuna wakati anamuhitaji fundi mwashi, fundi makenika, daktari, mhasibu, fundi umeme, fundi bomba, mchumi, na wataalamu wengineo wengi tu.
Mwanasheria naye hawezi kufanya kila kitu mwenyewe japokuwa ana kidigrii chake kimoja cha sheria.
Na ni kweli, hata wasomi wengine wa fani zingine nao ni wasomi lakini huwaoni wakiitana wasomi kwa sababu wanajua umuhimu wa unyeyekevu. Mtu hajui mambo lukuki lakini bado anajiita msomi. WTF?
Na uko sahihi, kila fani ni muhimu. Ni ujinga kudai kuwa sheria ndo fani bora zaidi au ndo fani inayoheshimika zaidi duniani.