Asante kwa maoni ndugu msikilizajiYanga tunashinda hii mechi
Ni vizuri ajiridhishe mkuuHuku redioni mbona Yanga kashinda 2, haya ni matokeo ya TV?
Hasira za kudroo na Southampton.YANGA wanafanya nini sasa!!!!.....wanapaki basi asubuhi hii!!!!
Yanga inacheza EPL pia?Hasira za kudroo na Southampton.
kwa taarifa yako Yanga amebeba ndoo mara nyingi kuliko Manure United
Wacha kabisa my dear. Nimenuna balaa hapa.Chozi limenitoka yaani hii team Sijui imekula maharagwe ya wapi...... Jaman yanga kwa nini lakini daaaaah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Point 5 hizoMtaa wa Msimbazi sherehe zimeshaanza....