Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hapana. Inacheza ligi daraja la 2 na Green WarriorsYanga inacheza EPL pia?
Kawaida. Shida huanza msimu unapoanza kuelekea ukingoniMtaa wa Msimbazi sherehe zimeshaanza....
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Chozi limenitoka yaani hii team Sijui imekula maharagwe ya wapi...... Jaman yanga kwa nini lakini daaaaah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Dk 97; yanga 4-2 mbaoYanga tunashinda hii mechi
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Hasira za kudroo na Southampton.
kwa taarifa yako Yanga amebeba ndoo mara nyingi kuliko Manure United