Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

YANGA Africa ya Dar es salaam klabu pekee inayo miliki Swimming Pool hatimae Leo imekipata kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Mbao FC ya Mwanza Kwa bao 2-0 jioni kweupeeee.Mbao FC imeupata ushindi Kwa MBINDE.
 
12c62a17c804adad214d9a2d8e29a03f.jpg
 
Kubakwa mpaka mtu anatupia viwili haiwezi kuwa kwa mbinde
 
Back
Top Bottom