Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Hongera mtani kwa kumaliza mambo mapema
 
Kwa mashabik wa yanga haya ni matokeo tuliyoyataka ili mikia iumize vichwa kukutana fainali ya patapotea dhidi ya mbao kwani sasa jangwani anajihakikishia ubingwa wake halali wa vpl na msichofaham mikia ni kuwa mbao wako pamoja na yanga na jiandaen kukutana na fitina za yanga&Malinzi. Nimewaonea huruma sana mikia hamjui lait yanga ingeshinda mngekuwa mmejihakikishia nafas ya kombe la shirikisho? sasa mbao inakuwa kama leicester vile mamaee.
 
Endeleeni kuota asubuhi ilifika kitawapata kilichompata Ali yanga Kirumba
 
Jana nilisema kuna kila dalili ya vyura kumkwepa simba ili kuepuka fedheha kwa mara nyingine.
 
Kuna mchezaji alienda kutoa hola hola langon kwa mbao
 
Wewe hujui soka piga kimya wenzio akina sembo okwi boban sunzu usione wamekaa kimya ukadhani hawana bando no wanafikiria fainali itakuaje wakiwa wanacheza na mbao yenye baraka za yanga na tff ya malinzi atachofanya yanga ni kubeba premier tu halafu hilo la shirikisho utaona muunganiko wa mbao yanga azam na tff poleni sana mikia
 
Mboa zitachanwa na simba jamani.Yanga wangekuwa pamoja na mbao wasingekimbia kabla ya pambano kuisha. Tulipo wafunga mbao mlichonga tumehonga.Leo mumejionea wenyewe kuwa uwezo wenu mdogo.
 
Mm kama mshabiki wa mbao ninaipongeza timu yangu kwa ushindi tulioshinda leo ..sasa bas ninawaomba mbao wasije wakauza mechi ya fainli kama walivyouza mechi yao na simba kwenye ligi kuu..ninauhakika kua simba tutawapiga goli 3 au 4.
 
Wataalam wa kula dozi za kimataifa wanalishwa dozi hata na miti ya porini (Mbao)? Kwa kweli mashabiki wao watakuwa na muda mgumu kuhamka kesho.
 
Hiyo ni poor defense mzee.Yanga asingeweza kuifunga mbao bila noti. Kuna watu wanasema mbao aliuza mchezo kwa simba.Sasa mtajionea wenyewe kama anauwezo wa kuifunga simba. Nalitamani sana tukutane ili tuwadhalilishe na mabosi wenu.
 
Hiyo ni poor defense mzee.Yanga asingeweza kuifunga mbao bila noti. Kuna watu wanasema mbao aliuza mchezo kwa simba.Sasa mtajionea wenyewe kama anauwezo wa kuifunga simba. Nalitamani sana tukutane ili tuwadhalilishe na mabosi wenu.
Mbao atakula 5 - Bashite
 
Hahaha nayule mchezaji anayecheza mpaka kuna hela alikuepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…