Kwanini unasema hivyo mkuu?unafikiri Mbao wamebebwa?Soka la bongo lina siasa za kiseng sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unasema hivyo mkuu?unafikiri Mbao wamebebwa?Soka la bongo lina siasa za kiseng sana
Hongera mtani kwa kumaliza mambo mapemaKama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.
Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa
Viva Yanga [emoji123]
Akikupa nitag mkuu[emoji124] [emoji124]Mkuu naomba matokeo
Ndio Mawazo yenu yalipoishia, tatizo yanga mnajitekenya na kucheka wenyewe bila ya kuisema simba hajisikii rahaSimba wamenunua hii mechi, mbao wamepewa hela na Simba.
Endeleeni kuota asubuhi ilifika kitawapata kilichompata Ali yanga KirumbaKwa mashabik wa yanga haya ni matokeo tuliyoyataka ili mikia iumize vichwa kukutana fainali ya patapotea dhidi ya mbao kwani sasa jangwani anajihakikishia ubingwa wake halali wa vpl na msichofaham mikia ni kuwa mbao wako pamoja na yanga na jiandaen kukutana na fitina za yanga&Malinzi. Nimewaonea huruma sana mikia hamjui lait yanga ingeshinda mngekuwa mmejihakikishia nafas ya kombe la shirikisho? sasa mbao inakuwa kama leicester vile mamaee.
Uliza Ali yanga Leo kilimpata nini na ndumba zakeKuna mchezaji alienda kutoa hola hola langon kwa mbao
Wameenda wapi kwan?Ngoja waje mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Mbao atakula 5 - BashiteHiyo ni poor defense mzee.Yanga asingeweza kuifunga mbao bila noti. Kuna watu wanasema mbao aliuza mchezo kwa simba.Sasa mtajionea wenyewe kama anauwezo wa kuifunga simba. Nalitamani sana tukutane ili tuwadhalilishe na mabosi wenu.