Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Ni dhambi kubwa kutokushinda leo,mbao atabeba FA msimu mwingine kwa jitihada zake wenyewe.
Unadhani Matopeni hata wakipanda ndege mwakani watafika mbali basi?

Naam [emoji135]
Uko wapi nifah ha ha ha au Yanga fc wamehongwa na Mbao fc

Wakimataifaaaaaaaa



 
Jamani muwe mnaongea vitu vya maana, Yanga timu? Timu gani kila mwaka wao kazi kula dozi tu kimataifa, hivi hawachoki tu hawa vihiyo?
 
Sasa hizo baraka zimeshindwa kuwasaidia nyinyi watoa baraka zitaweza kumsaidia mpokea baraka au ndo yale dawa ya utajil huku ukiwa unaishi kwenye hema.
 
povu sana
 
mkuu unataka kufa nini mbona povu jingi?
kibao kimoja cha makalio chaaliii
 
Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.

Hongereni mbao,am out.

Bila shaka ' Ubao ' wa Shemela yetu ' utakufariji ' vizuri sana leo Mkuu baada ya ' Mbao ' ya Mwanza ' kung'ang'ania '.
 
Bora Mbao ashinde ili aje achukue kombe la FA na matopeni wabaki matopeni
Na watafungwa kweli hao simba, mbao wako vizuri sana na yule kipa waliyemnunua last match ameshatimuliwa, wajiandae tu
 
Na watafungwa kweli hao simba, mbao wako vizuri sana na yule kipa waliyemnunua last match ameshatimuliwa, wajiandae tu
Simba akishinda kanunua game ila Yanga ndo anashinda kihalali [emoji15]
 
aah jamani tumemkosa mke wetu yanga kaingia period uko mwanza daaaa nimeumia sana mana nilipanga nimpe kazi ya maana daaa ndo basi tena...acha nimsubiri mchepuko wangu mbao
 

Sawa Mkuu ila ' Mbao ' imekatikia ' kunako ' pole sana.
 
Mama mimi ni yanga na nilikuwepo uwanjani, nimekubali tumefungwa, kiukweli wapiga randa wako vizuri wamatopeni a.k.a walalamishi wajipange. Na hiyo mechi tff waipeleke nje ya dar ili mkia achezee kichapo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…