stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Hakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa
Sent using IPhone X
They gonna screw your balls DudeHakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa
Sent using IPhone X
Na kiongozi wa kunyanyapaa walioathirika ni mkuu wa mkoa.Nakuunga mkono yani watu wakipata hata mafua ya kawaida wananyanyaswa Sana mno na kunyapaliwa hiii ni kitu ingne imekuja hapa duniani yani hata ukipata kaugonjwa kakawaida tu inakuwa taaabu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhah pole sana mkuu. Vipi hujisikii joto na homa kali kupanda?Juzi nilienda hosptal flani hapa Upanga, nilikuwa nikisumbiliwa na tumbo na mgongo, wkt namuelezea doctor ninavyojisikia hasa nilipomwambia nasikia maumivu ya mgongo kuelekea mbavuni alionyesha hamaki flani hivi akaanza kuniuliza kama napumua kwa shida? Nikamjibu hapana, akaniuliza kama Nina mavua na kupiga chafya nikamwambia hapana.
Kilichonikera ile kuniuliza Mara nyingi kama napumua kwa shida pamoja na kumjibu bado akawa anauliza kama kwa kulazimisha nikubali, nilimstahi kwakuwa alikuwa mdada na alikuwa mjamzito so nikaona huyu akili yake imempeleka kwenye corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa haaa hapana Mkuu!hahahhah pole sana mkuu. Vipi hujisikii joto na homa kali kupanda?
hakika mkuu vyombo vyte vya abari muda wote wanaongolea corona na maambukizi tu na ukiangalia vyombo vikubwa unaweza kufikiri dunia yote wote ni wagonjwa wa corona na hakuna mwenye nafuu kabisaHakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa
Sent using IPhone X
Basi uko salama. Ungeacha contacts zako waendelee kukufatilia.
Wakianza kupanda ndege watakuwa monitored.Hivi wahdzabe Kuna mtu anawamonitor kweli??
hahahhah pole sana mkuu. Vipi hujisikii joto na homa kali kupanda?
Ni ugonjwa unaua watu wengi kwa pamoja sio kuwa promo, leo mchana nimeangalia BBC tv nimeona wamesema kuwa hadi kufikia leo wamefariki watu 24,000 dunia nzima.
Ugonjwa ambao umeanza mwezi wa kwanza,una miezi 3 tu na kuua watu elf ishilini na nne sio jambo dogo,hata ebola ilikuwa haiui kwa wingi huu kama corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda huko Mabodaboda wamewadindia askari wamekataa lockdown yao,askari wamerusha mabomu ya machozi.Hii lockdown kwa Africa sizani kama itafanyakazi manake asilimia kubwa kazi zao ni deiwaka.