The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru.
Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo.
Kumbuka pia kua nchi za Ulaya na Marekani ama nchi tajiri zinajipanga kuanza kutoa chanjo nyingine ili kuipa nguvu chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kama umechanjwa sasa, utahitaji chanjo nyingine ili kuopa nguvu chanjo ya awali dhidi ya Delta.
Soma zaidi hapa chini👇