secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Kibongo bongo tuite Lambada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hiyo Bible unayoiamini, ililetwa na nani?Na wala siyo kweli kwamba korona ndio ugonjwa wa kwanza kutengenezwa na hao maduntitu ya kuzimu. Remember Ebola, Zika, UKIMWI, etc. Those guys are after one thing: TOTAL CONTROL of humanity. They seek to tell you what to do, what to eat, where to go, walk and sleep, and even who to worship.
NB: I tend to believe that those of us who appreciate the Bible are very lucky, because these things have been well documented therein since time immemorial.
Ni sababu tu ata huo ugonjwa wenyewe umetengenezwa na wazungu.Hivi kwanini tuna hofu sana na hizi chanjo kisa zimetengenezwa na wazungu? Kwanini hatuogopi wala kujiuliza juu ya dini hizi zilizoletwa na haohao wazungu? Hawa jamaa walshatu-brainwash kitambo sana sema tu waafrika hatupendi kuutafuta ukweli. Hivi hizi dini mnazoringa nazo na kusema ninyi ni wana wa mungu hamuoni kama ni hatari kuliko hata chanjo? This is BULLSHIT!!
Naomba nikujibu katika hili mkuu, Njia za mungu kutimiza mipango yake ni nyingi, pengine ilikua lazima tutawaliwe na hawa mabwana wakubwa ili watuletee hizo bible, wasingefanya ivyo tusingeifaham bible, Wao wameshika uchumi wacha sisi tushike dini, kila mtu ashike anachoona kitamsaidia hapa na huko tuendako.So Biblia yako haikuletwa na hao Maduntitu??
Upo wapi maana unahitaji ulinzi maana suo kwa madini hayaDunia yasasa inataka strong people na intelligent alasivyo sisi akina tia mchuzi tutaendeshwa Kama gari bovu!
Hili sio Kweli.Naomba nikujibu katika hili mkuu, Njia za mungu kutimiza mipango yake ni nyingi, pengine ilikua lazima tutawaliwe na hawa mabwana wakubwa ili watuletee hizo bible, wasingefanya ivyo tusingeifaham bible, Wao wameshika uchumi wacha sisi tushike dini, kila mtu ashike anachoona kitamsaidia hapa na huko tuendako.
Amen
So kwa uelewa wako mkuu, na kwa ajili ya wengine, hichi tulichokikumbatia na kukiita Imani au Dini kinatusaidia au tupo kwenye mtego, sababu haya yote yanayoendelea ni kama maneno ya manabii yanatimizwa tu.Hili sio Kweli.
Kuenea kwa dini ya Mungu ilianza kuenea kabla ya ukoloni, labda kilichokuwa shida ni usafiri ili ienee haraka.
Afrika ya kaskazini na mashariki ya mbali yalielewa dini ya Mungu mmoja miaka zaidi ya 1500K.K
Kwanza ili ijibu swali hili ni lazima ujiulize wewe kamaSo kwa uelewa wako mkuu, na kwa ajili ya wengine, hichi tulichokikumbatia na kukiita Imani au Dini kinatusaidia au tupo kwenye mtego, sababu haya yote yanayoendelea ni kama maneno ya manabii yanatimizwa tu.
Walioandaa Covid na Chanjo zake wana nguvu kuliko serikali yoyote duniani. Washindani wao walikuwa Trump na Magufuli tu. Trump alijaribu kuhoji chimbuko la covid na usahihi wa mbinu zinazotangazwa na WHO wakamuondoa kwa kura za maruhani za njia ya posta na email. Sasa China inafikiria kuwazuilia masomo watoto ambao wazazi wao hawataki chanjo. Sie akina yakhe tutawezaje kukwamisha mipango yao?Kubali kufa au kuishi vyote vipo,uchanjwe au usichanjwe unaweza ukafa au ukaishi
Yani Maandiko waliandika wai na wao wenyewe ndio wanayatimiza.[emoji28]So kwa uelewa wako mkuu, na kwa ajili ya wengine, hichi tulichokikumbatia na kukiita Imani au Dini kinatusaidia au tupo kwenye mtego, sababu haya yote yanayoendelea ni kama maneno ya manabii yanatimizwa tu.
Kuishi ni kugumu sana,Yani Maandiko waliandika wai na wao wenyewe ndio wanayatimiza.[emoji28]
Unaweka update ya chanjo, wenyewe wanaita busta , kama unavyoupdate windows kwenye kompyuta🤣Kwahiyo sisi tuliochanjwa tumefanya kazi bure...?
Sana yani,ukihoji sana wanasema unakufuru.Kuishi ni kugumu sana,