#COVID19 Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

#COVID19 Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

Kwani mara ya kwanza kuwa na pandemic mwaka huu. Kulikuwa na spanish flu 1918. Iliua watu mil 500. Nyie wenye imani za kichawi mnafikiri kuna mtu anawaroga.
It's not true that vaccines haziwezi kupatikana ili kuidhibiti korona kabisa; variants wanaendelea kuibuka kwa sababu idadi ya death toll haijatimia kama walivyopanga mabourgeoisies kwenye huu mradi wao wa kupiga hela na kuharibu uumbaji wa Mola.
 
It's not true that vaccines haziwezi kupatikana ili kuidhibiti korona kabisa; variants wanaendelea kuibuka kwa sababu idadi ya death toll haijatimia kama walivyopanga mabourgeoisies kwenye huu mradi wao wa kupiga hela na kuharibu uumbaji wa Mola.
I somehow I concur with you. It has always been & always will be about making money (I mean a lot of money).

👇👇👇👇👇
 

Attachments

So Biblia yako haikuletwa na hao Maduntitu?
Vipi hiyo Bible unayoiamini, ililetwa na nani?
Tumieni akili basi.

Mnajua bible ina miaka mingapi toka ifike mikononi mwetu??
Na mnajua wazo wa kuiongoza dunia limewajia hawa watu lini!!!

Ili hoja iwe na nguvu popote lazima uelewe unachokiongea kwanza.
 
Nyie ndio mpatapo shida hushinda kulialia na Kumlilia Mungu ambaye hata humjui na huwa haumtambui Ila ukipata vishida vyako vya magojwa kufiwa mpendwa wako ndio unaanza kumlilia Mungu sijui unamlilia Mungu yupi?
Yote uliyoyataja sijawahi kuyafanya na kamwe sitokuja kuyafanya, shida na changamoto zipo kwa ajili ya kuimarisha fikra zetu na si vinginevyo, mnaojidai mna yesu ndani yenu ndo mnaongoza hata kwa maovu nenda kachunguze mkuu. Madhaifu yenu na kutokuwajibika kwenu mnamsingizia shetani, mnajificha nyuma ya dini kuhalalisha uhalifu na ukishaharibu badala ya kukubali umekosea eti unasingizia SHETANI ALINIPITIA, shetani wapi ww tumieni akili zenu vizuri. Kama mungu alikuumba kwa mfano wake ya nini kila siku kulialia shida?? Tupambaneni waafrika haya yote (dini) yapo kwa ajili ya kutugawa ili tukose nguvu. Cheki kuna wapumbavu kila siku wanajilipua na kuua ndugu zao eti kisa dini, wtf!! Huo ni utumwa wa kifikra AMKA MWAFRIKA.
 
'''WALAANIWE WOTE WALIOBUNI AINA HII YA BIASHARA ILI WATENGENEZE CHANJO WAUZE NA KUZIKOPESHA NCHI MASIKINI ILI WAENDELEE KUZIDUMAZA KWA KUZIDAI MADENI YATAKAYODUMU MILELE""

izo nchi masikini hazijakatazwa kutengeneza chanjo zao
 
Akili matope
It's not true that vaccines haziwezi kupatikana ili kuidhibiti korona kabisa; variants wanaendelea kuibuka kwa sababu idadi ya death toll haijatimia kama walivyopanga mabourgeoisies kwenye huu mradi wao wa kupiga hela na kuharibu uumbaji wa Mola.
 
Utopolo. Akili zako kama za Zinjathropus
Na wala siyo kweli kwamba korona ndio ugonjwa wa kwanza kutengenezwa na hao maduntitu ya kuzimu. Remember Ebola, Zika, UKIMWI, etc. Those guys are after one thing: TOTAL CONTROL of humanity. They seek to tell you what to do, what to eat, where to go, walk and sleep, and even who to worship.

NB: I tend to believe that those of us who appreciate the Bible are very lucky, because these things have been well documented therein since time immemorial.
 
Kwa nini unatumia kichwa chako kama mfuko wa kubebeba meno tu?
Walioandaa Covid na Chanjo zake wana nguvu kuliko serikali yoyote duniani. Washindani wao walikuwa Trump na Magufuli tu. Trump alijaribu kuhoji chimbuko la covid na usahihi wa mbinu zinazotangazwa na WHO wakamuondoa kwa kura za maruhani za njia ya posta na email. Sasa China inafikiria kuwazuilia masomo watoto ambao wazazi wao hawataki chanjo. Sie akina yakhe tutawezaje kukwamisha mipango yao?
 
anaetunga hayo majina ni nani huyo ndo tumbane vizuri kuna kitu anakijua mara deta mara Lampada aaaah[emoji28]
 
Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru.

Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo.

Kumbuka pia kua nchi za Ulaya na Marekani ama nchi tajiri zinajipanga kuanza kutoa chanjo nyingine ili kuipa nguvu chanjo iliyopo. Kwa maana kwamba kama umechanjwa sasa, utahitaji chanjo nyingine ili kuopa nguvu chanjo ya awali dhidi ya Delta.

Soma zaidi hapa chini👇


Chanjo inazuia

Acha urongo
 
Back
Top Bottom